Dah.....bunge linogile.
Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na...
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam yatawajia muda mfupi ujao kupitia vyombo vya habari vya Redio, Televisheni na Mitandao ya Kijamii. Aidha, waweza kutazama kupitia...
Mungu wangu mwema siku zote , na amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,imekua
Wakuu andiko langu litakua fupi sana.
Uchaguzi wa 2025 kama ukifanyika (,zingatia kama ukifanyika...
Kama alivyosema Mwanafalsafa Prof. PLO LUMUMBA kwamba Mnenguaji mzuri lazima ajue ni wakati gani wa kushuka kwenye Jukwaa ("A good Dancer must know when to leave a stage") imekuwa tofauti kwa...
Nawaza tu kwa sauti kubwa, je Kamishina Awadhi Haji akigoma wito wa mahakama kujibu mashtaka ambayo Chadema inakusudia kumshtaki nani atamkamata?
Tukumbuke huyu ana support ya Rais Samia kuna...
WATANZANIA WENGI HAWAJIHUSISHI NA SIASA KWA SABABU WANAJUA HAWAPO HURU. NI KAMA WAPO CHINI YA UKOLONI.
Robert Heriel
Mtibeli
Nilitaka kuwalaumu. Nilitaka kuwaona NI wajinga. Kûna Muda unaweza...
Nimefuatilia Sana kwa ukaribu mkubwa sakata la kijana huyo media nyingi zimepaza sauti hadi Sasa polisi wanasema wanafanya uchunguzi , NI uchunguzi gani huo usioisha na nimeona sakata Hilo...
Hivi Karibuni tumeshuhudia Mawaziri Ndalichako, Nape, Kairuki, Oddo Ummi na Makamba Jr wakitumbuliwa.
Je, wanalipwa pesa yoyote kwa Miaka waliyotumikia Uwaziri? Ikiwa Ndio, pesa hizo zinatoka...
Ndugu Tundu,
Nakuandikia barua hii ya wazi, kwa afya na mustakabali wa taifa letu na hali ya kisiasa ilivyo sasa nakusihi uachane na wazo lako la kugombea urais tena mwaka ujao!
Na badala yake...
ikiwa hali ya kisiasa nchini na mipango mikakati kuelekea uchaguzi mkuu 2025 itakwenda kama ambavyo iko hivi sasa, basi ni dhahiri mgombea makamu Mwenyekiti Chadema taifa atabaki Ezekia Wenje...
Kilichopelekea Lowassa kukatwa na CCM mwaka 2015 ilikuwa ni kuwahi kufanya kampeni kwa kutia Nia mapema
Je, Tundu Lissu hajavunja kanuni kama Lowassa?
Nawatakia Sabato Njema 😄
Wakuu kwema?
Tumeshuhudia mara kadhaa siasa kupenyezwa taratibu kwenye michezo na wakati mwingine hata kushawishi baadhi ya baadhi maamuzi kufanyika kwa utashi wa kisiasa!
Mara watu kwenda na...
Katika mataifa ya magharibi ambako ndiko chimbuko la demekrosia duniani mataifa yao yenye demokrasia ya vyama vingi vya siasa ni jambo la kawaida kwa wanasiasa wanaotaka kugombea nafasi yeyote ya...
Kwa watoto wadogo na wasiojua mambo wanadhani hayati Magufuli alianza kuwa mkali alipokuwa rais wa nchi tu wakati ukweli ni kwamba Magufuli alikuwa mkali na mfuatiliaji tangu akiwa naibu waziri...
Vijana wanaochipukia katika Siasa nchini wanapaswa kujifunza kutoka kwa Dr Spika Tulia, Ackson, LLD (Mbunge) na Rais wa Mabunge yote duniani (IPU).
Hakika sisi Wana Mbeya Mjini tunajisikia wenye...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu ameishukuru sana CCM kwa Mchango wa kutengeneza Gari lake
Lisu amesema yeye anapokea Mchango kutoka kwa Mtu yoyote kama ambavyo hata matibabu...
Tume ya Kamari ni chombo cha udhibiti kinachowajibika kwa kusimamia shughuli za kamari na kuhakikisha kuwa zinafanywa kwa haki na salama. Kuhusu wachezaji, majukumu yake muhimu ni pamoja na...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.