Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mheshimiwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antipas Lissu naomba unisikilize Kwa makini! Hoja na kitendo cha Katibu Mwenezi na Msigwa kuendeshea harambee kukuchangia ni cha kinafiki. Mchango...
4 Reactions
6 Replies
528 Views
Hivi Marais na mawaziri wa Marekani huwa hawajihusishi na vitendo vya rushwa wakiwa madarakani au wanafanya kijanja sana? Huwa nasikia viongozi hawa wakitajwa kwenye skendo mbalimbali lakini ni...
2 Reactions
8 Replies
336 Views
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii wapinzani na wanaharakati wakishambulia na kulaumu tamko la ubalozi wa Marekani kuhusu kukamatwa na kuwachiwa kwa viongozi wa CHADEMA kwamba ni tamko dhaifu...
4 Reactions
8 Replies
640 Views
Kuna mjumbe wa mtaa wangu leo aliniambia CCM inaandikisha kadi za chama na pia inachukua namba za NIDA! Nani ameruhusu zoezi hili?
1 Reactions
30 Replies
1K Views
Mara kwa mara nikikutana nao baa wanauliza braza Idu 2025 utachukua fomu? Idu wewe pamoja na kuwa kada wa CCM tunakukubali sana. Mimi huwa nawapa ukweli. Mimi sio kada bali msema kweli. Hoja...
0 Reactions
5 Replies
336 Views
Tangu ashangiliwe kwa nguvu kubwa na wabunge siku ya kupitisha bajeti Kuu ya Serikali, Spika aliyejiuzulu Job Ndugai hajaonekana tena je yuko wapi mwanasiasa huyu
5 Reactions
37 Replies
3K Views
WARAKA WA KICHUNGAJI (PASTORAL LETTER) KWA RAIS SAMIA BAADA YA JESHI LA POLISI KUWAPIGA NA KUWAUMIZA WAPINZANI MBEYA. Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan! Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
20 Reactions
115 Replies
5K Views
Tuna vyama vya siasa lakini kiuhalisia vyama hivyo kuna wana harakati tu ndio wengi hakuna watu ambao kama chama kinaingia madarakani basi watakuwa ndio engine ya serikali Hivyo tunalalamika...
0 Reactions
1 Replies
249 Views
Huyu jamaa ni mkiburi kishenzi - yaani anaonesha ukatili wa wazi wazi kwa sababu kazi ake imekuwa ni kuiteka Bodi yake na kujikomba kwa Mawaziri mpaka Makatibu wakuu. Huyu analazimisha ili watoto...
12 Reactions
50 Replies
6K Views
Bado sijawa na uhakika kama Mchungaji Msigwa na Upendo Peneza ndimi zao huteleza mara kwa mara Nimeona Ukurasani X kwake Hilda Newton clip ya Mchungaji akisema Tumaini la kweli liko ndani ya...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
Binafsi nina Imani sana na Mombo Suleiman, baada ya uteuzi huu Rais Samia tutolee mawaziri wafuatao na Nchi itakwenda tu bila hawa :- 1 . January Makamba 2. Mwigulu Mchemba 3. Nape Nnauye...
39 Reactions
144 Replies
13K Views
Masaa machache tuliambiwa na kuwekewa picha sugu kalala hoi kitandani, dakika chache baadae, Sugu mzima,.tena kasimama kapiga picha na Balozi wa Marekani
1 Reactions
23 Replies
930 Views
Ndugu zangu Watanzania, Arusha kumekucha,kanda ya kaskazini imesimama, wananchi wanatetemeka kwa furaha, shughuli zote zimesimama, habari ni moja tu, stori ni moja tu ni juu ya ujio wa Mwamba...
6 Reactions
76 Replies
4K Views
Mojawapo ya mijadala mikubwa si kwa Tanzania tu bali hata nchi nyingine ni suala hili la chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19. Nchi mbalimbali zimejaribu na zile tajiri zimefanikiwa kwa haraka...
10 Reactions
66 Replies
4K Views
Karma Is real mwaka 2025 kutakuwa na mgombea Urais kupitia CCM mpya, kutakuwa na mgombea Mwenza mpya kutakuwepo na timu mpya ya kampeni za mgombea Urais mpya Nnauye Moses Nape ana kiburi cha...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza wizara na TAMISEMI imetuletea DMO kutoka Mtama DC. DMO huyu alikuwa na tuhuma lukuki huko alikotoka na ikafikia madiwani kuazimia kumtoa madarakani lakini cha kushangaza...
1 Reactions
9 Replies
352 Views
Kuna sehemu CHADEMAnawakubali Sana, mm sio irrational Mimi ni mtu makini na mwenye akili timamu. Sio sababu siipendi chadema basi nitakua nachukua kila kitu chao. Kuna sehemu chadema nawakubali...
5 Reactions
13 Replies
861 Views
WAZIRI KOMBO ASISITIZA AMANI NA USALAMA KATIKA KANDA YA SADC Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amesisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha amani...
1 Reactions
2 Replies
227 Views
Huyu dada kama ilivyo msigwa,wako CCM kimaslahi ila kiroho na kimwili wako Chadema. Akihutubua mkutano wa adhara mbele ya katibu mkuu wa CCM Emanuel Nchimbi na katibu wa itikadi na uenezi Amos...
18 Reactions
54 Replies
3K Views
Back
Top Bottom