Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema yeye hatagombea Uenyekiti wa Chadema Taifa bali atatetea nafasi yake ya makamu mwenyekiti aliyohudumu kwa muhula mmoja tu kuanzia 2019...
Hili suala la raia wote kupiga kura kuchagua viongozi halijakaa sawa, naona kama lina madhara mengi na makubwa zaidi kuliko faida kwa sababu kuna watu wengi wanapiga kura lakini hawaelewei uzito...
MAKONDA AAINISHA MPANGO KAZI WA VIPENGELE SITA: LETS MAKE ARUSHA GREAT AGAIN!
April 8, 2024
Arusha
⦁ Mapokezi yamenitia moyo wa kuwa mtumishi mwema na mtetezi wa wanyonge. Kamwe sitaungana na...
Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao.
Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule?
Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali imeweka mipango na mikakati ya kuhakikisha watoto wanapata malezi bora...
Nashauri uongozi mkuu utoe maelekezo maalum kwa taasisi na mashirika. Kama taasisi au shirika lina semina/ mafunzo/ vikao 10 kwa mwaka, kwa kuanzia, walau kikao/ semina moja ifanyikie katika mikoa...
Salum Kikeke ni mmoja wa waandishi wa habari mahiri na wenye uwezo mkubwa wa kuhoji na kwa bahati nzuri kuwahi kwake kufanya kazi BBC kumesaidia kumpa jina.
Lakini baada ya kumfatilia jana katika...
Waandishi wa habari nchini mbona mmekosa ubunifu wa kuwapa wasikilizaji/ watazamaji/ wasomaji habari za maisha ya Mawaziri wa Zamani (waliostaafu/ kutumbuliwa) kwamba maisha kwa sasa yapoje...
Hapa ni kenya, huwezi kuta vitu kama hivi vimwjengwa na tanroad. Kimara kibaha barabara imekua kero kwa sababu hawakutumia akili, stop over, suka, temboni, kwa msuguri, kibamba, kiluvya etc ni...
Ni kweli kwamba mtu akihama Chama hawezi tena kukisifu Chama alichotoka ama sivyo ataulizwa kwanini alikihama.
Lakini haiwezekani Msigwa azunguke nchi nzima aanze kusema,"Mbowe ni...
ASKOFU AMEONGEA MAMBO MAZITO SANA, MSIKILIZE
https://www.youtube.com/watch?v=GTiX8kpt13U
POINTS TAKEN FROM THE CLIP:
1. Walitumwa au walijituma na hao wanaotamani kubaki na chama kimoja, naona...
Ummy Mwalimu aliteuliwa kuwa Waziri Nov 2015, ndani ya miezi 7 akaamuru Bodi ya NHIF iwafukuze kazi Wakurugenzi/ Wakuu wa Vitengo wote pamoja na DG wao kwa tuhuma za uwongo.
Katika hiyo timu ya...
Ndugu zangu watanzania,
Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda,Kijana Jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara, Field Marshal,jabali la Siasa. Mwamba Mwamba Mwamba Mwenyewe Makonda Hatimaye kwa mara...
Nikweli mkuu wa mkoa ni mteule wa Rais lakini ni mdogo kuliko mawaziri na viongozi wengine wa kitaifa. Kile anakifanya Rais wetu mpendwa chini ya mkuu wa mkoa fulani kiuhalisia sio sawa na hata...
Wananchi wanahitaji muda kuwapima wale wanaotaka kuongoza taifa. Naamini kadri watakavyowafahamu mapema ndivyo pia watakavyokuwa na muda wa kutosha wa kuwapima uwezo wao katika nyanja zote. Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.