Uwanja wa siasa kokote pale duniani haujawahi kuwa uwanja wepesi. Siku zote, mtawaliwa anaitamania nafasi ya mtawala, wakati mtawala anajiimarisha kila leo nafasi yake isichukuliwe na mtawaliwa...
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limewakamata watu wote waliokuwa ofisi za CHADEMA kanda ya Nyasa akiwemo Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara Mhe. Tundu Lissu, Katibu Mkuu. John Mnyika na Mwenyekiti wa...
Tukiwa tunaendelea na majonzi ya kumpoteza kiongozi wetu Membe basi tuangazie pia yaliyojiri huko kwingine.
Chadema kupitia uongozi wa juu umejibu shutuma na kauli za lissu na kusema "madai yake...
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, chadema pamoja na yote. Kuna sehemu wanakuwaga na mambo mazuri, leo wametufurahisha kwa kuitikia CCM hoyeee. Hapa sasa tupo pamoja.
Haya mambo ya kujifanya...
CHADEMA siku ya jana walifanya mkutano chunya, mkutano huo ulikosa watu kabisa hali ambayo imeacha maswali kwa viongozi wa chadema.
Tuliwaambia kuwa watanzania wengi hawapo nanyi. Watanzania wapo...
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/askari-polisi-matatani-akidaiwa-kumvunja-mguu-mtuhumiwa-kituoni-4726664
Omari Mahita amvunja mguu mtuhumiwa na kumbambikia kesi ya wizi wa kutumia silaha
Moja kati ya miradi ya kimkakati nchini Tanzania ni pamoja na mradi wa Daraja la Magufuli almaarufu daraja la Kigongo Busisi linalopita juu ya ziwa Victoria linalounganisha jiji la Mwanza na mikoa...
https://www.youtube.com/watch?v=-XzJJFDbKNc
========
Kipenga cha uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2024, kitapulizwa leo Alhamisi, Agosti 15, 2024 wakati Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
"....Viongozi na wanachama wa CHADEMA, tumekamatwa sana toka enzi za Mkapa, Kikwete na Magufuli na haikuwahi kutokea kiongozi wa CCM kusema hadharani tuachiwe mara zote walikuwa wanashindilia...
Wasalaam
Zote tunajua kwamba bwana mchengerwa ni mkwe wa mama Samia kwa maana kamuoa mtoto wa rais. Na nakumbuka mwaka jana bwana mchengerwa alikula kiapo mbele ya rais Samia na kujiapiza kwamba...
Licha ya kuomba kuchangiwa kwa hali na mali na waTanzania, kwajili ya kununua gari jipya ya kufanyia shughuli zake binafsi za kisiasa, lakini pia pesa nyingine kwaajili ya matengenezo ya gari lake...
Harare, Zimbabwe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC unafanyika tarehe 17 Agosti 2024 mjini Harare,
Zimbabwe chini ya mada: "...
Habari wana JF? Kipindi Cha nyuma tulikuwa tunawajua viongozi na vitengo vyao vya kazi. Walikuwa wanahudumu kwa mda mrefu bila kutenguliwa au labda ajiuzulu.
Kwa Sasa tunawajua majina lakini...
Tetesi mitaani ni kwamba Ummy alishindwa kabisa ku manage fungu la fedha ndani ya NHIF.
Agha Khan walimvimbia na kuikataa NHIF kwa vile hawalipii huduma inayotolewa kwa wateja/wagonjwa walio...
Kizimkazi festival Haina ubaya wowote ni nzuri kwa maendeleo ya eneo husika na kwa historia ya kiongozi wetu hasa Huko paje! Basi yafanyike Yale yenye manufaa haswaa! Kwa nchi nzima, tuwe makini...
Huduma za bodaboda na bajaj nchini zimechukuliwa kuwa za kisiasa zaidi kuliko kuwa huduma inayo hitaji udhibiti kimamilifu kwama vyombo vingine vya moto.
Kinachosikitisha zaidi ni hata vyombo vya...
Kuna watu wanajadili kuhusu tamasha au kongamano au kutaniko la Kizimkazi huko Zanzibar; limebeba wasanii wengi na wana habari; kutoka kwenye tamasha husika tutapata DC na RC au wagombea ubunge wa...
Tanzania raha sana, matukio ni mengi, na watu wanakwenda na matukio. Tukio moja lina trend wiki 2 , mwezi, miezi 3 na kubwa sana linachukua miezi 4-6 kisha linazimika.
Issue ya ukodishaji wa...
Nani yupo nyuma ya huu mchakato mchafu wa kumchafua waziri wa Afya Ummy Mwalimu?
Kwa maoni yangu Waziri Ummy japo sio mhalisia katika sekta ya afya ...yaani sio mtaalamu wa afya lakini...
Hayo ni maoni ya Wakili maarufu wa kutetea haki za binadamu
Wakili Peter Madeleka ameshauri ufanyike usahili wa utimamu wa akili kwa Askari Polisi waliopo kwenye Majeshi.
Wakili Madelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.