Rais Samia angelikuwa amechukizwa na udhalimu alioufanya Awadhi, basi angelikuwa amemfukuza kazi kama alivyowafukuza akina Ummy, Kairuki na wengine wengi baada ya ku underperform to her...
Ukimdhihaki Mungu kawaida majibu yake ni baya kwa baya na ubaya kwa Ubaya hainaga Ubwela.
Awadhi ajutie makosa yake mbingu hufunguka kwenye maombi na toba.
Chadema na vyama vingine ni...
Wakuu wakati tunavuta mashuka nimeona nipite kidogo....
Wenye nchi wameshatujua, tunapenda umbea kuliko hata uhai, wanapiga mziki ule ule ambao tumezoea kuusikia na sisi bila hiyana hao rumba...
Kwa bahati nzuri sana viongozi Wakuu wa CHADEMA Mbowe na Tundu Lissu wote wamepitia mafunzo mbalimbali ya Ulinzi na Usalama ikiwemo JKT
Mnyika, Sugu, Lema, Heche ni wakusamehewa tu maana hata...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi, Amos Makalla kimemjibu Mbunge wa Mtama Nape Nnauye kuhusu imani yake juu ya ushindi katika chaguzinchini.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape: Matokeo...
Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya sauti ya Watanzania jinsi tunapoelekea kwenye uchaguzi kazi yao ni kumkosoa Mbowe tu au kutoa mijadala yenye kuchonganisha ndani ya chama kisambaratike.
Je...
Haya ndiyo mambo ya kutumbuliwa ili kutambuliwa. Mawaziri wa zamani Nape Nnauye na January Makamba wamejumuishwa kwenye Kikosi Maalum cha CCM kinachoandaa Ilani ya CCM ya mwaka 2025 hadi 2030...
Mambo mengi ya kukemea…
Naanza na kumpongeza KAGAME
1. Ufungui Dini Hovyo hovyo nchini kwake kwa Mgongo wa uhuru wa kuabudu lazima tuwaratibu hawa watu!
2. Kakataza Azana za Asubuhi ni Kelele...
Pigo la pili kwa January Makamba na Nape Nnauye kwa Marais wawili tofauti Ni wao kujiona special toka enzi za CCJ.
Wadau kwa mtizamo na jicho la kitafiti mtakubaliana nami kuwa January Makamba na...
Nipende kusema kuna kasumba inaonekana Kama kuna kundi linahaki miliki ya Inchi ya Tanzania kwa kupitia mgongo wa CCM, na kundi hili si wasafi bali ndiyo wanayoihujumu inchi yetu kuanzia...
Kila lenye heri bwana Makonda nenda kasimamie ustawi wa Umoja na mshikamo wa Taifa na sio vurugu na Mapambano.
Soma Pia:
Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
Waziri wa Afya amewatumbua Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Bima wa Taifa na Vigogo wengine watatu kwa Ufisadi wa Tshs Billioni 3 zilizokuwa zimeelekezwa kwa mkoa wa Mara.
TAKUKURU walifanya uchunguzi...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema Wabunge wa Bunge la JMT wamejiongezea Mishahara kutoka TSH 13 million walizokuwa wanalipwa awali hadi TSH 18 million
Mbowe amesema mshahara huo ni...
Wakuu nipo mahakamani Mbele ya mheshimiwa Godfrey Mwambapa. Tunasikiliza Kesi ya Mheshimwa Tundu Lissu inayohusu Udikteta Uchwara. Nipo na Mr. Maxence Melo nafikiri naye ana kesi leo hapa...
Ni wazi kuwa mpinzani mkuu wa CCM ni CHADEMA! Ndiyo maana hata sisi tusio na vyama vya Kisiasa si shida kutambua kuwa kati ya wanasiasa wanaoipa tabu CCM ni Mbowe na Lissu!
Kwa miaka nenda Rudi...
Nichukue nafasi kukipongeza CHAMA cha MAPINDUZI,BUNGE la JAMHURI ya MUUNGANO na WAHESHIMIWA sana WABUNGE wetu kwa KUJIPANDISHIA MISHAHARA MINONO kutoka TSH.13,000 000/=mpaka Tsh.18,000,000/=
Huku...
Salaam, Shalom!
Mimi ni MMOJA wa wananchi anayepinga wabunge kulipwa zaidi ya milioni 5 tano kwa mwezi kutokana na Pato kiduchu linalokusanywa ,maana ubunge ni KAZI ya kujitolea, ni seasonal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.