Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nakumbuka baada tu ya kuapishwa Rais Samia Hassan. Nilikua najadiliana na rafiki yangu kuhusiana na mwenendo mzima wa Samia. Tulijadili mambo mengi ikiwemo pia kauli yake ya na hilo mkalitazame...
1 Reactions
2 Replies
379 Views
Taarifa zinaonyesha kwamba Mashahidi wa serikali kwenye kesi inayoitwa ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na Wenzake wako 24 , kati yao 21 ni maofisa wa Polisi wa Tanzania , akiwemo Kingai na Omari...
70 Reactions
187 Replies
31K Views
1. January Makamba 2. Nape Moses Nnauye 3. Ummy Mwalimu 4. Babu Tale 5. Bashiru Ally Kakurwa 6.Stergomena Tax 7. Liberata Mulamula 8. Stella Manyanya 9. Ole Sendeka 10. Job Ndugai. 11. Vita Kawawa...
7 Reactions
60 Replies
3K Views
Wananzengo, mu Hali gani? Kwa masikitiko makubwa Leo nawatangaza hadharani maadui wakubwa wa taifa letu. Laiti tungekuwa na uongozi imara tungekuwa mbali sana kwenye mafanikio ya kiuchumi. DP...
22 Reactions
56 Replies
4K Views
Upungufu wa fedha za kutosha NHIF ndiyo chanzo kikubwa cha migogoro NHIF , hiki ndicho husababisha >>Baadhi ya huduma kutolipiwa na mfuko >>Hospitali kukatwa au kutolipwa madai yao kwa wakati...
2 Reactions
7 Replies
349 Views
Ukiwasikiliza Chadema wayasemayo vinywani mwao unaweza kudhani wana angalau chochote cha kuifanya CCM kumbe wapi. Chadema yao matamko, maandamano na mwisho wa yote huishia Ikulu kuhongwa juice na...
4 Reactions
42 Replies
1K Views
Tumeshuhudia kwa macho na masikio. Viongozi wetu wamenyanyaswa na kuteswa. Ni wazi wanahitaji ulinzi. Na kwa mantiki hii basi Red brigade wapatiwe mafunzo ikibidi wapelekwe nchi kama Korea na...
0 Reactions
8 Replies
291 Views
Kwa miaka zaidi ya kumi Sasa wanasiasa wamekosa nidhamu na weledi wa utoaji huduma katika ngazi tajwa. Naamini watumishi wa Umma wengi hawafungamani na sana na vyama vya siasa, kwao wao kazi ndo...
18 Reactions
34 Replies
5K Views
umesikitishwa na umekatishwa tamaa kwa kiwango gani kwa hadithi, maelezo, simulizi na malalamiko yasiyo na mashiko ya viongozi waandamizi wa chadema? Je, uamuzi wa kuishitaki serikali mahakamani...
3 Reactions
94 Replies
1K Views
Nimesikiliza kwa umakini Mbowe, Lissu na Mnyika kuwa wamepigwa sana na Jeshi la Polisi.Mbowe amedai kuwa hawataenda kuripoti katika vituo vya Polisi kwa madai kuwa ni kesi hewa. Asante babanMbowe...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Uhusiano wa nchi ya China na Tanzania kwa sasa ni jambo la kushangaza saana! Kuna mambo mengi yanashangaza. Leo hii mwanadiplomasia wa China, balozi wa China nchini Tanzania kaamua kuisaidia CCM...
11 Reactions
361 Replies
28K Views
kwa kiasi kibuwa Tanzania imepiga hatu za kimaendeleo chini ya serikika sikivu ya CCM ya awamu ya sita kwa kuinua vipato na hali bora sana za maisha ya waTanzania, kwa kuzingatia uhakika wa hali...
0 Reactions
29 Replies
556 Views
Wakuu, JAL flight 123, few seconds to impact, kapteni alimwambia co-pilot, "it is the end". Ni maneno ambayo aliniambia mkuu mara baada ya kufika ofisini kwake. Nilijua hapa anao ujumbe fulani...
79 Reactions
365 Replies
66K Views
Kuna tetesi Kuwa Balozi wa Marekani nchini atamtembelea Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu hospitalini alikolazwa Ikumbukwe Kuwa Sugu na Balozi wa Marekani ni...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote...
0 Reactions
2 Replies
400 Views
Licha ya tuhuma nzito kuhusu kuhatarisha amani na utulivu nchini, Muungwa, Kiongozi wa Taifa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kupitia wasaidizi wake, ameelekeza Jeshi la polisi nchini...
-2 Reactions
125 Replies
3K Views
Tangu serikali ya awamu ya sita iingie madarakani inaelekea kazi ya kuteua na kutengua imegeuka kama sehemu mojawapo ya majukumu muhimu sana ya serikali hiyo. Mpaka imefikia hatua wananchi...
2 Reactions
7 Replies
389 Views
Ikiwa Leo ndio siku ya mwisho ya Kuuaga mwaka 2023 ambao umekuwa na mafanikio na Changamoto zake ikiwa ni kawaida kama miaka tuu mingine. Kiujumla Kisiasa mambo yamemwendea vizuri Rais Samia...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye Mkutano ulioitishwa na Chama hicho amesema Viongozi wa Chama hicho wamefunguliwa mashtaka na kisha kujidhamini na...
18 Reactions
84 Replies
4K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto BIteko leo tarehe 15 Agosti, 2024 ameshiriki kikao cha 19 cha pamoja cha Mawaziri wa Nishati ambao ni Wanachama wa Umoja wa soko la pamoja la...
0 Reactions
0 Replies
270 Views
Back
Top Bottom