Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mwanadada wa mapingili shingoni Out Jeni wa kuhusu utaratibu wa muhaga maaaa Out Ndumba Aroooo out Wa ma mineral out February mauzi out Kwanini mtoto wa millet sioni jina Tusubiri Britanicca
19 Reactions
74 Replies
8K Views
Sugu yupo hospitali mahututi baada ya kuumizwa na polisi walioagizwa na Kamisha wa Operesheni na Mafunzo Awadhi Juma Haji. Sugu ni msanii wa nyimbo za hip hop aliyewainua wasanii wengi, lkn cha...
3 Reactions
22 Replies
666 Views
Mama alichukua nchi na alikubali kuwaudhi watu ndani ya chama na serikali pale aliporudisha mikutano ya hadhara, akaingiza falsafa zake za 4 R yaani Reconciliation, Rebuilding, Reform na...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimepenyezewa habari kutoka chanzo cha kuaminika kabisa kabisa kwamba usiku wa leo, kuanzia mida ya saa 3 usiku kuna mkeka utatoka huo mkea haukuwa kwenye mpango wa Samia ila ni maalumu kwa ajili...
13 Reactions
54 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 15 Agosti, 2024. Uapisho huu unahusisha Mawaziri, Mwanasheria...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA AFRIKA KUSINI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kufanya...
0 Reactions
0 Replies
182 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mtumishi wa Mungu Mchungaji peter Msigwa ambaye kwa sasa ni kada mtiifu na Mzalendo kwa chama cha Mapinduzi na ambaye anajutia uamuzi wake wa kupoteza nguvu zake na muda...
1 Reactions
48 Replies
1K Views
Tumeshtushwa sana na taarifa za kuaminika kwamba polisi walitumia nguvu kupita kiasi wakati wa kuwakamata viongozi wa Chama cha siasa cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA, washiriki vijana, na...
25 Reactions
87 Replies
4K Views
"....kaka, Mary mda wowote ataundiwa zengwe na kutupwa nje ya uringo. Si una kumbuka alimshikia bango dogo kuhusu wanawake kudhalilishwa kule mkoani? Basi bwana, kumbe dogo hakufurahishwa! Na mama...
3 Reactions
15 Replies
868 Views
Misimamo ya Sukuma gang ipo wazi Demokrasia sio kipaumbele ni kazi tu CHADEMA hawana chochote wanachosimamia ,haijulikani wanapinga ufisadi au la
0 Reactions
5 Replies
248 Views
Janabi amekuwa akisisitiza sana ulaji mwema. Na "LISHE BORA" Huyu mtaalamu wa Vyakula na Lishe. Hivi ndivyo anatamani watanzania wote tuwe, tuwe na mwonekano huu wa Siha njema na Afya pia...
10 Reactions
60 Replies
2K Views
Wapenda Nchi waliopewa jina maarufu la Sukuma gang wana haya machache na kama ntakuwa nimesahau mengine wataongezea , lakini kiujumla wanafurahishwa na mwenendo wa Mama . 1. Wanaomba suala la...
2 Reactions
11 Replies
580 Views
Katika maisha ni muhimu kujiepusha kutafuta vyeo, madaraka, nafasi kwa kutesa na kuumiza watu. Tusiruhusu mikono yetu kujaa damu za watu wasio na hatia mwisho huwa sio mzuri. Tusifanye kazi...
5 Reactions
13 Replies
534 Views
Dkt. Abbas hawezi kuwagusa. Vyombo vya Dola vinachekelea tu
2 Reactions
71 Replies
14K Views
Mjadala wa leo katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star tv mada ni Hotuba ya Rais aliyoitoa wakati wa anawaapisha wateule wake. Pascal Mayalla anasema...
15 Reactions
130 Replies
10K Views
Rais Samia amemteua Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Y. Sefue kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Wengine walioteuliwa kuwa Wajumbe wa Tume hiyo ni Omar Issa ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya...
6 Reactions
83 Replies
11K Views
Naona mtu anatenguliwa then anarejeshwa, anatenguliwa then anarejeshwa, anatenguliwa then anarejeshwa. Nadhani hata Nape na January wamepumzika tu. Sikosoi ila natamani kujua kuna siri gani...
1 Reactions
1 Replies
164 Views
Kuna ya taarifa za kufungwa kwa baadhi ya vituo vya kutolea huduma ya afya vilivyopo chini ya Taasisi ya Aga Khan, Tanzania kwa sababu za changamoto za kiuendeshashaji. Fununu hizo zinaeleza kuwa...
9 Reactions
79 Replies
5K Views
Wakuu, Hizi hapa Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji, Wajumbe, wa Halmashauri ya Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Wilaya za mwaka 2024. Pia soma ~ Je, umeziona na...
2 Reactions
1 Replies
635 Views
Ni wakati muafaka sasa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ifanyiwe mabadiliko makubwa. Viongozi wakuu katika ofisi hiyo wamekaa pale muda mrefu na wengine hata zaidi ya miaka kumi. Mara...
0 Reactions
3 Replies
370 Views
Back
Top Bottom