Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kuwashikilia na kuwahoji viongozi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapatao 520 na kuwaachia huru baadhi yao kwa dhamana. Pia...
2 Reactions
127 Replies
6K Views
Alipowaondoa, alisema kawapandisha vyeo ili wawe viranja wa mawaziri wote isipokuwa Waziri Mkuu. Sasa kawarudisha tena. Hiyo inamaanisha nini? 1. Kazi ya kuwasimamia mawaziri imeisha(wameshuka)...
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Tanzania ni Moja chini ya muungano. Kwanini Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania lazima akae bara hata kama ni mzanzibar? Hawezi kukaa Zanzibar na kuiongoza nchi?
1 Reactions
12 Replies
620 Views
Raisis Samia nahisi ana washauri wazuri sana kwenye nyanja za Propaganda, hii eneo Raisi naweza mpatia 100. Anacho Fanya ni kucheza na kili za wajinga wa hili Taifa na ameisha ambiwa na watu wa...
3 Reactions
13 Replies
652 Views
Huyu mama alianza kwa kuondoa mawaziri wa mtangulizi wake na kuweka aliowaondoa mtangulizi sasa sijui nini kinaendelea huko ndani!?
1 Reactions
9 Replies
448 Views
Bwana Mbunge ameeleza sintofahamu iliyopo kati ya Zanzibar na Bara kwenye Biashara Kwa sababu Kuna utofauti mkubwa kiasi kwamba maingiliano ya biashara ni kama Nchi ziko Vitani wakati ziko kwenye...
6 Reactions
47 Replies
2K Views
Shule ya msingi Kitefu iko Halmashauri ya Wilaya Meru mkoa wa Arusha. Kuna mtoto amefanyiwa ukatili na anadaiwa ni baba yake kwa kumchoma na nyaya za umeme, huyu bwana alikuwepo leo shuleni baada...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
'".... Profesa amekuwa akiomba mda mrefu apumzike lakini Boss lady alikuwa akikuna kichwa amweke nani pale. Sasa yeye na watu wake wa sheria naona waliamua wamwondoe kuwa AG na wamrejeshe Mahakama...
1 Reactions
6 Replies
495 Views
Inawezekana sijui sana ila CHADEMA yapaswa mbadilike kwenye ungwe hii ya siasa CHADEMA is a story teller, na watu wote wanaojiita wananchi na kuhuzunika na CHADEMA mnajipotezea muda na kujitukana...
1 Reactions
22 Replies
689 Views
Panga pangua kwenye mabaraza ya mawaziri,makatibu wa wizara n.k , Limewahi kuleta kitu gani chanya Au mnataka kuteka attention ya watu tu
0 Reactions
0 Replies
113 Views
Kinyume na Watangulizi wake,Raisi wetu, hakuchaguliwa Kwa nafasi anayoishikilia,Alipata baada ya Boss wake kitwaliwa. Mtangulizi wake alikuwa jeuri, mjuaji, katili na mwenye kiburi. Alipenda...
4 Reactions
13 Replies
547 Views
Kwa mfano Prof Kabudi, mh Lukuvi nk wamerejeshwa na Nape Nauye, Angela Kairuki, January Makamba nk walirejeshwa na sasa wametumbuliwa tena Kuna Siri gani katika kuwaamini Mno Watendaji wa Shujaa...
3 Reactions
59 Replies
3K Views
KUNA mwanasheia mmoja anaitwa HAMZA JOHARI ndiye anayetolea ufafanuzi vipengele vya Mkataba wa Bandari kunaopigiwa kelele na watanzania kila siku kwenye vyombo vya habari. JE YEYE NDIYE...
9 Reactions
102 Replies
10K Views
Hili sina wasiwasi nalo kabisa kwamba Nafasi ya Makamu mwenyekiti wa CCM itamuendea Mzee Job Ndugai Ahsanteni Sana 😂
1 Reactions
11 Replies
572 Views
Pamoja na kwamba wapo Mawaziri ambao wamekuwa Barazani Kwa zaidi ya miaka 14 ila kudumu miaka 9 kama Waziri kwenye Wizara 1 tuu ni rekodi ambayo ameiweka Ummy Mwalimu. Ukidumu mda mrefu kunakupa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa sasa Mijadala yote ya Kisiasa ikiwemo Viongozi wa Chadema kutandikwa imesimama na Watu wote wanajadili Uteuzi wa Prof Kabudi Kinachonishangaza ni kwanini Prof Kabudi amekuwa Mjadala...
0 Reactions
1 Replies
237 Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu Moto Chini ameandika Ukurasani X " Rais na Amiri Jeshi Mkuu TUMEFIKAJE huku tena?" Sugu ameandika akiwa Chumba cha Wagonjwa...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Samia anateua kwa ajili yake au kwa ajili ya Umma? Kabudi alifanya Nini akatumbuliwa na Sasa anarejeshwa akafanye Nini? Ccm inauaba wa WANACHAMA sio lazima ateue ccm kwa Nini tuna mawakili...
1 Reactions
4 Replies
200 Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, ambalo jibu lake rasmi litapatikana baada ya October 28, 2020, ila kama una majibu, unaweza kuchangia kujibu na sio lazima tusubiri hadi hiyo October 2020...
8 Reactions
27 Replies
6K Views
Nawakumbusha tu ndugu zetu wa Chadema kwamba siyo kila siku ni Jumapili Zama hizi jitahidini Kuishi kwa kutii sheria bila shuruti Mtanishukuru baadae 😄 Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🌹
2 Reactions
26 Replies
709 Views
Back
Top Bottom