Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amemteua aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Msemaji wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi, DCP Ahmed Msangi kuwa Naibu Mkurugenzi wa...
PROFESA PALAMAGAMBA KABUDI, ANAKAA KWENYE MZANI MMOJA NA DAKTARI NAMDI AZIKIWE, KWAME NKRUMAH, JULIUS NYERERE, W.E.B.DUBOIS, GEORGE PADMORE, MARCUS GARVEY, PATRICE LUMUMBA NA JOHN MAGUFULI.
Leo...
Ni udhaifu mkubwa sana kuteua viongozi wa kitaifa halafu kuwatengua muda mfupi baadaye na kuwateua tena.
Haya yote yanadhihirisha ukosefu wa umakini katika kufanya maamuzi mazito kwa maslahi ya...
Hii pangua pangua za kila leo za Samia zingejadiliwa kwa muktadha wa strentghs and Weaknesses za waliotenguliwa na walioingizwa/chaguliwa! What more do we expect from the new appointees? compared...
Ahsante Rais wetu kumteua Kabudi, Kabudi ni miongoni mwa binadamu wenye akili sana, watanzania wenye akili kubwa ni pamoja na Sospeter Muhongo, Kitila Mkumbo, Palagamamba Kabudi, William Lukuvi...
>>>I don't fight for the money. I fight for my legacy. I fight for history. I fight for my people and country.
>>>Legacy is not what I did for myself or my family. It's what I'm doing for the...
Viongozi wa Chadema na Wanaharakati waliochukizwa na kina Mbowe, Lissu, Mnyika, Sugu na wanachama wao wamelalamika kwamba Lissu ni mgonjwa. Anatumia dawa muda wote lakini Polisi walimkatalia...
Habari zenu wana jamvi!.
Siku za karibuni Rais wa JMT Mh. Samia S. Hassan amekuwa akifanya teuzi na tenguzi za mara kwa mara, tena this time sio tu amekuwa akitengua wale ambao hakuonekana...
Kitendo cha chama cha CHADEMA kukosa ofisi ya maana kwa miaka 30 kimetafasiriwa kama ni kukosa nia ya dhati ya viongozi wakuu wa chama hicho kwa sababu familia za viongozi hao siyo raia wa...
Baada ya kuhangaika kutafuta usajili wa chama cha Umoja nimegundua chama hiki kinaogopwa kupita kiasi kuanzia na uongozi wa juu mpaka chini.
Waziri wa wizara husika hataki kabisa kusikia chama...
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha...
Naamini hawa Viongozi wa CHADEMA ni waumini, tena asilimia kubwa ni wakristo kwa nini Viongozi wa Dini wamekaa kimya au wanaona walichofanyiwa walistairi?
Inashangaza sana, hata wabunge wanaopinga ufisadi na kutetea masilahi ya taifa kama Luhaga Mpina wanabatizwa kuwa hao ni kundi ka Sukuma gang!
Kwanza hiyo kitu haipo. Kilichopo ni sera. Sisi...
Tundu Lissu aliongoza wafuasi wake wa CHADEMA kupinga ujenzi wa barabara ya njia nane kutoka Kimara hadi Kibaha kwa kisingizio kwamba hayo ni maendeleo ya vitu na siyo ya watu!
Leo barabara hiyo...
Mimi kawaida huwa nikimuona mtu yeyote anaongozwa na mihemko katika kuongea kama Jenista Mhagama alivyokuwa leo kwenye bunge la Jumapili huwa napenda kujua historia yake fupi kwani unaweza...
Baada ya Viongozi na wanachama wa CHADEMA kukamatwa na Jeshi la Polisi Agosti 11, 2024 walipokuwa wakielekea Jijini Mbeya kwenye kongamano la Vijana Duniani na kisha kuanza kuachiwa kuanzia 12...
Chadema ni chama Cha Mbowe hili lipo wazi. Hizi kauli hapa chini ni ishara tosha kuwa kiti kinalindwa haswa!
Chadema ni cha Mbowe na Lissu, hivyo kama chama kikiyumba ni Lissu ndiye kayumbisha na...
Moja ya jambo linalojitokeza kwenye mikeka ya uteuzi na kutumbua ni kujirudia kwa majina. Tumekuwa tunawaapisha watu walewale kila siku na hivyo hata maono yamebaki ni yale yale.
Je, kuendelea...
Kauli hii ya Profesa Kabudi inadhihirisha kuwa Lissu alikuwa sahihi Sana kwa sababu hata kama ni mbinu za kutaka mjadala, kwa wasomi kama maprofesa kutumia mbinu ya uongo "ulio dhahiri" kiasi hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.