Mara baada ya kuanguka kwa Umoja wa kisoviet, mataifa mengi ya Ulaya Mashariki yalikuwa bado na mentality za Ujamaa na sasa ikabidi wawe wanatafuta mbinu za kuwapumbaza Raia wao na siku zinasongo...
Pamoja na mapungufu yao, lakini ni wazi vijana wa Hayati Magufuli ndio pekee wenye uwezo wa kumpambania Samia ki siasa.
Timu Magufuli pamoja na mapungufu yao ya kibinadamu, lakini ndiwo wenye...
Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na taarifa iliyozua gumzo ambayo inahusu Hospitali ya Aga Khan kuiiomba NHIF isitishe mkataba wake wa utoaji wa huduma kwa sababu za kiuendeshaji...
Makonda anateuliwa kwa lazima fulani lakini huwa mambo hayo yana mwisho wake.
Ana makosa flani anafanya kila wakati tangu alipokuwa RC Dar na ameendelea kuyafanya siku zote.
Kitendo cha kuingia...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Wakuu.... wengi wetu hapa JF na nchini kwa ujumla, tunajua kwamba raisi wa JMT mh Samia S. Hassan anapambana usiku na mchana, ili kuhakikisha serikali yake inaleta...
Chikulupi Njelu Kasaka ambaye ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) tarehe 14.08.2024.
Chikulupi Njelu Kasaka amechukua fomu...
Naona kuna watu wanadanganyana kwamba wanaweza kumshitaki kwa jina lake Afisa wa serikali anayetekeleza majukumu ya serikali.
Mwanasheria Mkuu wa serikali anaweza kuomba kuingila katika kesi...
Na Mwandishi Wetu
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), katika kipindi hiki ambacho nchi inajiandaa kwenda katika uchaguzi wa serikali za mitaa kimejipanga kuvuruga uchaguzi lakini pia...
Chadema sio taasisi ni mali Mbowe, Mbowe amewahi kusema chadema ni Mbowe na Mbowe ni CHADEMA, Nikiamua kusema yote ninayoyajua hamtaamini, wengi wenu hamna taarifa kama mimi kwanini mnashindwa...
“Huu uliofanyika ni ukandamizaji ambao sio wa kawaida na wala usionekane ni tukio dogo, sisi kama Chama tunachukua jambo hili kwa uzito mkubwa sana na tunaamini jambo hili ni mkakati wa makusudi...
Ni wasimuliaji wazuri sana wa stori,
Maelezo, ufafanuzi, uchambuzi wa wanasiasa wanaodai kunyanyasika wakiwa katika shughulu za kisiasa katika jiji la mbeya, haisisimui sana na wala haitii huruma...
Kamati ya Bunge yapongeza zoezi la ufutaji wa leseni na maombi yasiyokidhi vigezo.
● Maombi 2648 ya utafutaji wa madini yafutwa.
Dodoma
Imeelezwa kuwa katika kipindi cha kuanzia mwezi Oktoba...
Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia...
Nauliza tu tena kwa upendo, je, mpo tayari kufanya kazi na boss wenu mpya ( Bashi..)?
Chama cha Mapinduzi (Halmashauri kuu) kinatarajiwa kuitisha kikao cha dharula hivi karibuni ili pamoja na...
Kabla ya uchaguzi wa 2015 mlikuwa na nguvu sana mikoa ya Mwanza, Mara na Geita. Mlishinda chaguzi na kupata mafiwani, wenyeviti wa vijiji , vitongoji na hata Wenyeviti wa serikali za majiji...
Maadui wenu mnawafahamu ila mnawakalia kimya kwa nini?
Imani zenu za kimila na kidini ni za kazi gani sasa?
Mnashindwa kuwa shughulikia kimila mmoja baada ya mwengine maana madaraka ya kuwa...
Mwenyekiti Ngome ya Vijana- ACT Wazalendo, Abdul Nondo amesema "Serikali iwatumie vijana wengi wahitimu ambao ni Surveyors, Town planners. Wapo mtaani hawana kazi Serikali iwape majukumu hawa...
Mkitaka kujua kuhusu uchaguzi unaendaje ulizeni watu hawa:-
i, Polisi
iii, JWTZ
iii, JKT
Nyongeza waalimu
Nyie wananchi wa kawaida sidhani kama mchakato mzima wa uchaguzi huwa hata mnaufahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.