Vitisho vya aina yoyote ile na Lobbying yoyote ile kwenye Media kuelekea Press conference ya Mhe. Freeman Mbowe @freemanmbowetz havina nafasi kwenye Uhuru wa Habari.
Kwani Freeman Mbowe hapaswi...
Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, halijapiga marufuku kufanya mikutano ya nje ya hadhara na ile ya ndani ili mradi inafuata matakwa ya sheria za nchi.
Pia soma: Uzi Maalum wa Matukio...
Mimi ni MZAZI, Mimi ni mlezi, Mimi ni mhanga mkubwa wa ukatili unaoendelea dhidi ya watoto wa kike.
Nina hakika kupitia hapa wasomaji wa Jamii forums mtakumbuka kisa kimoja nilikileta hapa nacho...
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 26 Julai, 2024 alitoa...
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Florent Kyombo ameongoza kikao cha kamati hiyo kilichopokea Maelezo ya Waziri wa Katiba na Sheria kuhusu Muswada...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, atazungumza na Dunia kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika 14/08/2024 kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Mikocheni, Dar es Salaam...
Habari!
Nami leo nimeona nitie neno juu ya Paul Makonda. Huyu jamaa Mimi simwiti mheshimiwa. Hata kama atakuwa Rais kwa mifumo yetu bado nitamwita Rais Makonda sitaweka neno Mh.
Makonda akiwa...
Unaanzaje kukataa 3bn kwenye nchi ambayo mabepari wanapambana ili kuzidiana katika Upigaji.
Wewe ni sio mzalendo wewe ni mshamba mpaka kesho, Ona leo wanakuita muhamiaji haramu.
Hiyo pesa...
Wanabodi
Kama kawa, kila nipatapo fursa hushuka na kwa maslahi ya taifa ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe.
Swali la leo ni kuhusu kuijua katiba yetu. Je wajua kuwa kila kura...
"Ninaona na ninaamini mchakato ule wa maridhiano umetekwa, siwezi kusema Rais ndiye ameuteka kwa sababu yeye ndiye aliyeuanzisha ila ninahisi kuna nguvu nyingine tusiyoiona ambayo imeteka mchakato...
Ni suala la muda tu, mahangaiko yatarejea tena kama ilivyokuwa hapo jana kwa mwamba. Mbinu na mitego yote ipasayo kumnasa, i mikononi mwao na inangojea mtegwa anase.
Chiba juzi asingenasuliwa na...
Askofu ambaye kimsingi hanaga uoga wala kujipendekeza ametema nyongo.
Amesema anawashangaa watawala kuiogopa sana CHADEMA kwa kuwakamata wanachama na viongozi wa Chama hicho ambao walikuwa...
Tanzania ni nchi ya amani na kila mtu anaitamani.
Sasa hawa jamaa wanapokuja kucheza mpira hapa,
Maisha ya hapa yanawavutia mno.
Wamebuni mbinu ya kuzaa hapa.
Mali zao wanasajili kwa majina...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanyau teuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi kama ifuatavyo:
i) Amemteua Mhe. Deogratius John...
Katika kujibu hoja aloileta Mbunge kuwa Magufuli atake asitake tutamlazimisha kuongeza Muda, Naibu Spika wa Bunge amemalizia kwa kusema NADHANI TUNAJUA MSIMAMO WA RAIS UKOJE JUU YA HILO, HATAKI...
Hakuna binadamu aliye mkamilifu hata mmoja isipokuwa Mola peke yake.
Rais wangu John Joseph Pombe Magufuli, katika kipindi cha miaka mitatu umefanya mengi mazuri na mabaya, ili kukamilisha ndoto...
Hii si sawa na lazima isemwe.
Mhe.Rais samia ameendelea kuwa mwenye nia njema sana ya kuondosha malalmiko ya jamii hususani katika muktadha wa kisiasa.
Baada ya tuhuma za uongo na zilizosukwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.