Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ni kweli Kabisa Chadema wanaweza kuleta vurugu na uvunjifu wa Amani lakini tusiwape kichwa kwamba wanaweza kufanya kama Gen Z Fikiria Chadema wanasafiri kwa Mabasi na Malori kwenda mkutanoni...
3 Reactions
23 Replies
893 Views
MGODI WA GGM WAANZA KUTUMIA UMEME WA GRIDI BADALA YA MAFUTA 📌 Dkt.Biteko azindua kituo cha kupoza umeme cha GGM (MW 34) 📌 Asema kitaongeza mapato ya mgodi kwa Serikali 📌 Aipongeza GGM kuzipa...
1 Reactions
9 Replies
576 Views
Mzee Freeman Mbowe salaam! Nataka unipe mrejesho tu, ni lininuliitisha maandamano ya kitaifa ya CHADEMA Moshi mjini? Pia soma: Kilimanjaro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na...
3 Reactions
75 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Msajili wa vyama vya Siasa amepiga Marufuku Kongamano la Chadema mkoani Mbeya lililokuwa kifanyike kesho Jumatatu. Msajili amesema matamko ya Chadema yanaashiria uvunjifu wa Amani. Amesema kwa...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Tumepokea vyema taarifa za kuachiliwa kwa viongozi wa vyama vya siasa, vijana, waandishi wa habari, na mawakili waliokamatwa walipokuwa wakitaka kutekeleza haki yao ya kikatiba ya uhuru wa...
5 Reactions
68 Replies
4K Views
1. Nilipoona mshikaji ana pingu nikajua ni polisi nilirelax nikajua niko mikono salama. Hii ni statement imeniuma sana sana Sativa alikuwa na trust kwa hili jeshi ambalo si ajabu lina kundi ambalo...
18 Reactions
58 Replies
4K Views
Tumeshuhudia la wama nyingi katika mitandao ya kijamii wa kilaumu polisi mbeya kwa kuwatia nguvuni viongozi wa chama cha CHADEMA. Hivi ukiwa mpinzani ukikosea hutakiwi kukamatwa? Tanzania...
-1 Reactions
16 Replies
947 Views
Angalizo: Uzi huu hauna mahusiano yoyote na Ubaguzi wa Rangi, Dini ama Ukanda, nimeuandika ili kutoa elimu tu kwa maono yangu. Ni kweli kwamba Tanzania ni Nchi iliyotokana na muungano wa nchi...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Swali ili limetokana na lawama ambazo watu wamekuwa wakizitoa kwa Freeman Mbowe kuwa kwanini alikwenda kwenye maridhiano na kwanini alipotoka jela alikubali kwenda Ikulu kwa Rais Samia. Kila mmoja...
1 Reactions
33 Replies
1K Views
Polisi msipoteze pesa za wananchi kwa kufanya kazi za manufaa binafsi ya wachache wana CCM na viongozi wa usalama wa taifa ambao wanaangalia kazi zao. Fujo hewa na za kutunga mtazianzisha nyie...
2 Reactions
6 Replies
395 Views
Kuna kakikundi kalikoaminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana. Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani. B
37 Reactions
171 Replies
12K Views
Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:- (1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba...
20 Reactions
281 Replies
20K Views
Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ Wanafunzi UDSM tuliokosa mikopo 2023 na waliopata mikopo kidogo tunaambiwa lazima tuwe na Kadi ya CCM ndio tutahudumiwa UFAFANUZI: UANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA...
2 Reactions
57 Replies
3K Views
Shujaa Magufuli alisema wanaosema kuna Maagizo kutoka Juu ni viongozi waongo,. waoga na Wasijiamini kwani hakunaga Kitu kinachoitwa Maagizo kutoka Juu Juu ni mbinguni tu, alisisitiza Mlale Unono 😀😀
1 Reactions
1 Replies
140 Views
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) 2022/2023, imezitaja sekta zinazoongoza kwa vitendo vya rushwa nchini, huku Jeshi la Polisi likishika nafasi ya kwanza kwa...
16 Reactions
56 Replies
2K Views
Umasikini ndio mtaji namba moja usio teteleka wa CCM na kwa bahati mbaya sana wameongeza mataji wa pili ambao ni Yanga na Simba. Ni wakati wa msikini kutumiwa kama kondomu na kupewa sh 2000/...
7 Reactions
14 Replies
720 Views
Ni dhahiri, Msigwa alipojiunga CHADEMA, kama ilivyo kwa wengi waliokuja kukengeuka baadaye na kuamua kuwa mapandikizi, alikuwa ni mwanachama halisi aliyekuwa ameamua kuwa CHADEMA. Lakini wakati wa...
3 Reactions
10 Replies
466 Views
Kuwakamata viongozi wa chama kikuu cha ushindani CHADEMA mkoani Mbeya kinaweka rehani ubunge wa Mbunge wa Mbeya ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na Chama chake cha...
2 Reactions
8 Replies
777 Views
Ndugu zangu wa CHADEMA na Watanzania wote, kumekuwa na hujuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikifanywa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Hujuma hizo ni pamoja na uchaguzi na kuwakandamiza...
0 Reactions
3 Replies
220 Views
Back
Top Bottom