Ndugu zangu,
Wanafunzi wa sekondari na wa elimu ya juu ngazi mbalimbali nchini karibuni sana chama Tawala...
Kwanza hongerini sana kwa kuhamasika kiasi hicho na kuamua kujiunga na Chama Cha...
Waziri Kombo akutana na kufanya mazungumzo na Watumishi wa Ofisi ya Mambo ya nje - Zanzibar
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.)...
"Msininyanyase, mimi si mpinzani," alisikika kada wa CCM wakati polisi wakimbembeleza kama mwana mtukutu apande gari wamsindikize kwenye tawi lao mjini Dodoma baada ya kufanya maandamano...
Wanajamvi,
Moja kwa moja kwenye maudhui.
Kamatakamata ya Viongozi wakuu na makada wa CHADEMA, imemletea mfadhaiko mkubwa mkuu wa nchi, kutokana na Matokeo yake watu walivyopokea Tanzania hasa...
Naandika ujumbe huu kwa masikito makubwa juu ya Kauli zako ulizozitoa kwenye mkutano wa ndani wa viongozi wa CCM pale Tarafani Kanadi Wilaya ya Itilima siku ya Tarehe 25.4.2024 kuhusu Luhaga...
Hatutaki lawama zozote kwamba hatukukuambia Mapema.
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Kiongozi wa Juu zaidi wa Kanda ya Nyasa anapeleka cheo chake kipya nyumbani kwao Mbeya Mjini, kutakuwa...
Hiki chama kimebarikiwa sana na ni suala la muda tu kitaingia madarakani. Haitakuwa rahisi ila itatokea. Baba wa Taifa aliwahi kuitabiria CHADEMA makubwa, na hili jambo linaitesa CCM sana. CHADEMA...
Binafsi nilikua nawaangalia tu mlipoitwa kujadili maridhiano ambayo hamkuelezwa mmekosewa wapi. Mkajibeba mzobe mzobe na rais akaja na mziki wake mpya akawaomba muingie kucheza.
Bila aibu...
Ndio Sababu Vyama Vyote vya Upinzani viliasisiwa na Wastaafu wa Serikali kasoro ACT wazalendo tu ya bwana mdogo Zitto Kabwe.
Natoa tu tahadhari kwa vijana wajifunze kwanza historia ya Nchi hii...
Inaniwia vigumu sana kuona watu wenye akili ya kawaida kupinga uwepo wa shetani
Ni kama vile unaamini umeme upo, unaamini kitu kinachoitwa data (MB), ila je je ushawahi kuziona mb zenyewe rangi...
Kipindi cha JK hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari ambaye hakupata ajira serikalini labda usiende kulipoti wewe mwenyewe kwa sababu private sector napo kulikuwa very strong hivyo mtu anafanya...
Wajumbe wa Baraza Kuu La UVCCM Taifa wanaotokana na Vyuo na Vyuo Vikuu Nchini Tanzania leo Wametembelea Bodi ya Mikopo Ya Elimu ya Juu na Kukutana Na Mkurugenzi DR Bill Kiwia.
Imeelezwa kuwa...
CEO mpya TISS hajapitisha hata week mbili tunaona haya tuliyaona.
Safi sana anaijua kazi yake na anaonekana ana uchungu na Taifa hili.
Rai yangu haya mambo yasiishie juu kwa juu wapigaji wote wa...
GTs,
Ni dhahiri Rais wetu Samia ameonesha uwezo mkubwa sana wa uongozi katika kupindi ambacho amekuwa na haya madaraka ya Urais. Na muitikio wa Watanzania wa kumuunga mkono 2025 ni mkubwa sana na...
Nilikuwa nafuatilia swala la ajira za Vijana katika mataifa mengine hasa yenye Population kubwa sana kama India na nimegundua kwamba India pamoja na kuzalisha pikipiki hizi za Boxer na kuwa na...
Wakuu kwema?
Tumekuwa tukishuhudia wasanii na wanasiasa kutoka vyam vya upinzani kuchukiliwa hatua wakikosoa upinzani kwa kupewa kesi za ugaidi na uchochezi. Akina Nay Wamitego na aliyeimba...
Haifahamiki inatetea nini kwa sasa, na kiongozi wake ni nani kwa sasa.
Haijulikani mikutano inayoendelea kwa sasa ina baraka na inagharamiwa na chama au ni mikutano ya mtu binafsi tu.
Uelekeo...
Mkurugenzi Mkuu wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali ya JMT Mhe David Kafulila akiwa kwenye kipindi Cha DAKIKA 45 kinachorusha katika runinga ya ITV ameuambia umma wa Watanzania mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.