Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ma-Ded waanza kushushiwa moto,Sasa kuwapisha wenye uwezo wa kukusanya Mapato, Wakati halmashauri 85 zikikusanya mapato chini ya kiwango zilichopangiwa, Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Vyombo vya dola, ni taasisi muhimu sana katika nchi. Mkikosea kwenye vyombo vya dola, basi mmetengeneza mateso na maangamizi kwa watu wengi, tena wasio na hatia. Tanzania, kama kuna chombo cha...
0 Reactions
0 Replies
180 Views
Mtu huyo ni Rais Samia! Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani]. Ref: Uchaguzi...
135 Reactions
381 Replies
26K Views
Ukiangalia Mbowe anaruka na helikopta halafu anasema mwaka huu kunja ngumi, kunja ngumi tunachukua nchi, nikimwangalia Mbowe anasema atachukua nchi hebu angalia 'line up 'yake unamwona Waziri Mkuu...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Serikali ya CCM tuliipa nchi yetu tangu 1961 tulipopata Uhuru. Tumewapa Kodi na rasilimali zetu zote ili watupatie huduma kwa miaka yote hiyo. Bila shaka wamefanya mengi yanayoonekana kwa macho ya...
5 Reactions
10 Replies
516 Views
Serikali imesema itaupatia Mji mdogo wa Katoro Mkoa wa Geita Wilaya ya Kipolisi na kuujengea Kituo kipya cha Polisi chenye hadhi ya Wilaya ili kuimarisha Ulinzi na Usalama wa raia na mali zao...
0 Reactions
6 Replies
494 Views
Mara nyingi nimesema kwamba Polisi Tanzania wanafanya kazi kwa namna ambayo ni very unprofessional na kwa lengo la kuwafurahisha CCM. Wanajikomba, wanajipendekeza kwa CCM kupita kiasi, hadi inatia...
3 Reactions
14 Replies
655 Views
Ndugu zangu Watanzania, Tuwe tunaeleweka tunaposema ya kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe , Ameinuliwa na mkono wa Mungu Mwenyewe, aliandaliwa na Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa...
8 Reactions
132 Replies
4K Views
1R =Reverse katika usalama wa wananchi TLS wametoa taarifa ya waliotekwa, zaidi ya asilimia 90 ya walioripotiwa kutekwa katika ripoti hiyo, wametekwa toka mwaka 2021 kipindi cha utawala wa awamu...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Ni dhahiri haina washauri kabisa, haina malengo, mipango, dira wala uelekeo wa kueleweka. Unaweza kusema imebumba. Hebu check, hakuna wanachama, mashabiki au wakereketwa, wanaojali, wanaostuka...
0 Reactions
67 Replies
1K Views
Wahenga walisema "kadri unavyopambana kuufumbata mchanga ndivyo unavyozidi kudondoka". Vivyo hivyo na kwa upande wa madaraka, kadri kiongozi anavyopambana na watu ili kuyalinda ndivyo anayozidi...
17 Reactions
56 Replies
2K Views
Kwa kuwa tangu kukamatwa Kwa viongozi wa CHADEMA na baadhi ya wanachama wake imeonekana kuwa CHADEMA imekuwa dhaifu. Natoa " challenge" hii Kwa watanzania wenzangu. Kama tunaweza kukaa wiki...
6 Reactions
21 Replies
810 Views
Tanzania bila kuweka nchi kwanza na kuweka mfumo ambao sio wa kinafiki au wakifamilia tulionao sasa hatutatoka hapa tulipo. Siasa za kuwapa Uwaziri ndugu wa wanasiasa na mifumo ya kufikiri Polisi...
6 Reactions
5 Replies
350 Views
Tangu asubuhi nafuatilia sioni jina la Lissu kuachiwa nijuzeni wenye habari vipi yuko huru? Poleni kama nawasumbua maana niliona taarifa inasema kwamba wengine wameachiwa isipokuwa wenye jinai...
0 Reactions
0 Replies
180 Views
Whomever holds power from now (2024), on whatever landmass on Earth, with an organized government will make sure they hold onto it as long as it can or forever if the opportunity presents itself...
0 Reactions
5 Replies
265 Views
NAIBU WAZIRI KATIMBA AMTAKA DMO CHATO KUJITATHIMINI Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amemtaka mganga mkuu na timu ya usimamizi wa shughuli za Afya wa Halmashauri(CHMT) ya...
0 Reactions
2 Replies
433 Views
Mdude huwa akishapiga misokoto yake, akijiangalia kwenye kioo huwa anajiona amefikia ukubwa wa tembo au ana meno makali kama ya simba. Nilitarajia nimuone pale Mbeya ofisi ya RPC akilianzisha...
6 Reactions
6 Replies
617 Views
Hii ndio mbinu ya Kishamba iliyobuniwa na Makaburu wa S.Africa enzi za ubaguzi wa Rangi, Mandela huku wengine kule PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Salaam Shalom!! Umesikika ukitoa maelekezo kwa Waziri wa mambo ya ndani ndugu Masauni Ukiwa jukwaani kupitia Naibu wake uliyekuwa naye ziarani Geita, kuwa, " Si mambo yote ni ya kuyatatua...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Kwa wakati wa sasa kuleta mambo kama haya ni kutafuta matatizo tu, Hii ni kwa sababu sasa hivi hakuna anayewaogopa polisi, siku hizi polisi wanaheshimiwa tu kutokana na Majukumu yao, wala hakuna...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom