Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kuna vitu vinafikirisha na kuzaa maswali yaliyokosa majibu kwa haya yanayoendelea hapa nchini kwa sasa yakihusisha kupotea ovyo kwa watu, kamata kamata ya wapinzani, wanaharakati na waandishi wa...
3 Reactions
11 Replies
554 Views
Nimenukuu barua ya Polisi ya tarehe 11/ 08/ 2024 Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Twaha Mwaipaya anataka GEN Z ya Tanzania iigize yaliyotokea Kenya. Kongole Tanpol kwa hatua mliyochukua.
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Kwa hali inayoendelea hivi sasa nchini, Kwa tuhuma za matukio kadhaa ya uvunjifu wa sheria, madai ya kupotezwa Kwa watu kadhaa, na kudaiwa kuuawa Kwa raia wasio na hatia. Matukio yote haya...
1 Reactions
2 Replies
501 Views
Yaani polisi wa Tanzania nawashangaa sana, ripoti ya CAG kila mwaka inataja wezi na wabadhirifu wa mali za umma ambao wengi wao ni watumishi wa serikali lakini hata siku moja polisi wetu hawa...
0 Reactions
4 Replies
337 Views
Natoa Wito kwa Inspecta Jenerali wa Polisi Bwana Carmillius Wambura , kuachia madaraka yake haraka kwa vile haaminiki tena na Watanzania, hii ni kwa sababu anatumika kubambikia watu kesi za uongo...
19 Reactions
74 Replies
6K Views
Kuna wakati watanzania wa kawaida wanashindwa kuchagua kipi Bora kati ya Sheria kwa upande mmoja na amani na utulivu kwa upande wa pili. Mh. Mwabukusi, Rais mteule wa TLS anahubiri Sheria Sheria...
1 Reactions
55 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,hii leo Jumatatu ikulu ya Dar amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi...
1 Reactions
17 Replies
471 Views
Kama hali ya kuzuia shughuli za kisiasa ndiyo hii na kukamata viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani ndiyo huu, kosa la Nape ni nini? Nape alitamka kuwa mshindi katika uchaguzi hatokani na...
4 Reactions
21 Replies
966 Views
Kama Karibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi anaweza akaelekeza waliokamatwa waachiwe na Vyombo vikatii, upo uwezekano huyu ndiye aliyeagiza wakamatwe. Tukumbuke Juzi alimtaka Lissu ajiunge CCM then...
2 Reactions
7 Replies
749 Views
Kwa kuwa tunatumia jukwaaa ili kushauriana na kushauri, kutoa maoni na mapendekezo na hata kutoa onyo na karipio basi acha Leo nitoe ushauri kwa CHADEMA jambo ambalo ni nadra kweli kulifanya. Kwa...
8 Reactions
42 Replies
3K Views
bwana mutale wa simba ameiba kuku wa bwana jobe na akampa mukwala amchinjie ili wale supu wakati mukwala anajandaa kumchinja akaja bwana mutale na kumkemea kwa ukali bwana mukwala aache kuchinja...
10 Reactions
24 Replies
879 Views
Kwa wale mnaofahamu historia ya jeshi la Polisi. Pamewahi kutokea Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai au IGP kutoka Zanzibar? Je, jeshi la polisi Tanzania limewahi kuwa na Mwanamke mwenye uwezo...
0 Reactions
2 Replies
225 Views
Enzi za jpm watu wameuawa wengi san ama directly kwa kupigwa risasi au kupotezwa au indirectly kwa pressure baada ya account zao kuwa freezed ghafla eti haijulikani pesa zao walizipataje. Mfano...
15 Reactions
81 Replies
2K Views
Kwa wale wahenga mnakumbuka jinsi Wakili Msomi Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi alivyokuwa anashinda pale Kisutu kumtetea Mwenyekiti wa DP Mchungaji Mtikila rip Zama hizi Wapinzani ni wabinafsi hadi...
1 Reactions
4 Replies
185 Views
Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala elimishi za kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe, swali la...
5 Reactions
42 Replies
1K Views
Hili ni jambo kubwa kama chama cha siasa hatua ya kwanza ni kuandaa daftari Yao ya wanachama vizuri. Leo nimeona wamefika shule sasa na kuanza kuandikisha wanafunzi kuingizwa kwenye daftari ya...
3 Reactions
6 Replies
358 Views
Kwa mfumo wa kura za maoni kupigwa na wajumbe tu kumeleta madhara makubwa ya kiuongozi nchi hii Jimbo la MWANGA mkoani Kilimanjaro ni Moja kati ya majimbo yalokosa uelekeo wa kiuongozi katika...
5 Reactions
17 Replies
844 Views
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Mhe. John Pambalu wamekamatwa na Polisi muda huu uwanja wa ndege Songwe wakijiandaa kuelekea Mbeya, Ukamataji huu...
15 Reactions
196 Replies
8K Views
Hata sina haja ya kujieleza, Dr Nchimbi ametufumbua macho kwamba Intelijensia ya Chama chake ndiyo iliyoelekeza kwamba Mbeya hapakaliki na kusababisha kukamatwa viongozi wa CHADEMA kinyume cha...
3 Reactions
2 Replies
660 Views
Habari JF Najiuliza hapa, maandamano ni "haki kikatiba", Je leo hii Lissu au mpinzani yoyote akiwa Rais ataruhusu tu Raia wake mda wowote wakiamua kuandamana hata kwa sababu zisizo na mashiko...
4 Reactions
25 Replies
693 Views
Back
Top Bottom