Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Angalia huu mlolongo wa Siku ya Vijana Duniani, Halafu Toa maoni yako Haya hapa ni Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani kwa UVCCM kwenye Uwanja wa Amani, lilihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa ccm...
10 Reactions
211 Replies
5K Views
Soma hizi nyaraka halali za Jeshi hilo halafu Jibu swali Wadau wengi wamechukulia mkanganyiko wa matamko haya kama kuweweseka kwa Jeshi hilo linalotumia zana duni kupambana na Chadema Swali...
5 Reactions
15 Replies
954 Views
According to Tony Brair akimzungumzia Raisi aliyekuwa Kiongozi wa nchi masikini ya Singapore... Lee Kuan Yew. Nadhni Tanzania na Africa we need Raisi mwenye maono kama huyu Lee. hebu msikilize...
0 Reactions
0 Replies
242 Views
Nimesikia jana luningani msemeji wa polisi akisema kwa sasa Hamza ni mhalifu tu hadi pale uchunguzi utakapokamilika na kubaini kama ni gaidi. Sasa najiuliza gaidi ni nani? Hamza kawauwa askari...
10 Reactions
70 Replies
7K Views
Barua inajieleza, niliwaambia ACT-WAZALENDO msione mpo salama sana sasa kazi imeanza. Lengo msusie uchaguzi wa Serikali za mitaa na polisi ndiyo wameanza kazi rasmi, kilichotokea 2020 sahivi...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amewakabidhi Askari Polisi Magari 399 mapya kati ya 777 yaliyoagizwa ili kufanikisha Shughuli ya Uchaguzi. Magari haya...
6 Reactions
367 Replies
51K Views
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani, inatarajia kutoa magari 700 ambayo yanatarajiwa kusambazwa katika wilaya na mikoa yote nchini kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na vitendo vya uhalifu...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Watanzania wenzangu haya ni maajabu na kweli maana naona kama nipo ndotoni. Zinakaribia siku kama 700 hivi lile neno WASIOJULIKANA nimelisahau kabisa maana halisikiki tena. Kwani jamii hiyo ya...
16 Reactions
102 Replies
4K Views
Emmanuel Kalule 20.07.2022 Leo mapema majira ya saa nane usiku, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ndani ya Jeshi ya Polisi nchini kwa kumteua aliyekua Kamishna wa Polisi Camillus...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, ameahidi kushughulika na yeyote ambaye atakuwa na vitendo vyovyote ambavyo ni kinyume na maadili na kinyume na matendo mema ya Watanzania...
8 Reactions
43 Replies
5K Views
Wana JF, Kwa hali ya kisiasa,kiulinzi na kiusalama inayoendelea kwa sasa, viongozi waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa maana ya IGP Ernest Mangu na Wasaidizi wake Kamishina Simon Ciro na wengine...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Watu wengi wamekuwa wakivitazama vyama vya upinzani katika mtazamo wa kuwa mbadala wa CCM katika uongozi, na wengi wanasema kwamba bado havijakomaa kuongoza nchi, jambo ambalo siku zote nasema...
7 Reactions
10 Replies
341 Views
Hakuna mwananchi anayeona kuna tishio au hali isiyo ya kawaida kwenye siasa. Ila viongozi wa kisiasa ni kama wamepaniki. Pamoja na mikutano yote waliyofanya bado nafsini mwao wanaamini wananchi...
8 Reactions
33 Replies
710 Views
Nipo kwenye rekodi hapa ya kumtetea waziri Kalemani huko nyuma lakini leo naomba Rais Samia amfukuze tena ikibidi haraka Sana huyu waziri. Kwa mujibu wa maagizo aliyowapa TANESCO waziri Kalemani...
25 Reactions
141 Replies
15K Views
Baada ya hospitali ya Agakhan kujitoa kwenye kuwahudumia wateja "Executive" wa NHIF, mashirika makubwa ya umma yanayotumia NHIF nayo yanajiandaa kutoongeza mkataba wao na NHIF. Kama ilivyokuwa...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Hizi ni sifa tano za twiga mrefu mwembamba mwenye shingo ndefu. Anahisi majani yote yaliyo juu mwenye haki ya kuyatumia ni yeye peke yake (mroho). Anaamini ni yeye tu mwenye akili na...
1 Reactions
2 Replies
235 Views
Ni makosa makubwa kupima utendaji wa Rais kwa siku miamoja. Toka 321,000 mpaka 27000. Rais ameanza kuwaonesha wapi anaipeleka nchi na huu ndiyo utetezi kwa wanyonge. Je, hili halimpi credit mama...
14 Reactions
96 Replies
10K Views
Ilikuwa kila baada ya mda fulani wanatembeleana na kupiga ma picha picha kibao huku wapambe humu Jf wakimpamba eti anakubalika na wana ng'ambo pasi na kujua walikuwa wanaisanua sirikali na masinia...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna mtoto wa kiume sitomtaja jina akitokea Singida, anaandaliwa na baba yake kuwa Rais wa nchi hii kupitia CCM 2050. Ni mtoto wa mwisho ktk familia na ana miaka 6 hivi sasa. Wazo la kuwa Rais...
13 Reactions
250 Replies
31K Views
Soma Pia: Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Back
Top Bottom