Kuelekea Siku ya vijana Duniani Chama Cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepanga kufanya mkutano mkubwa Jijini Mbeya, katika hali ya kushangaza Jeshi la Polisi Nchini limetangaza kuzuia...
Naona kila CHADEMA inapobanwa kisayansi na CCM wanaanza kumtaja taja Shujaa Magufuli
CHADEMA pambaneni na hali zenu hii ni awamu ya 6 Katibu mkuu ni Dr Nchimbi siyo Bashiru na Mwenezi ni Komredi...
Kuna ndugu zangu wasomi kabisa lakini walinishangaza. Nilihojo inakuwaje maji yanatoka machafu lakini wananchi hawalalamiki? Wakasema ni bora sisi tuna maji hayo machafu wenzetu hawana maji...
Viongozi wa CHADEMA, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Makamu Mwenyekiti Taifa na Katibu Mkuu wamekwishawasili Mkoani Mbeya kwa ajili ya kongamano la siku ya Vijana.
Wamejiapiza kwamba hawatatii amri...
Baada ya Juvénal Habyarimana aliyekua Rais wa rwanda kuingia madarakani kupitia mapinduzi mwaka 1973 kwa kumpindua Grégoire Kayibanda kutokana na hofu aliyokua nayo dhidi ya madui zake ilibidi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwasili uwanja wa Amahoro Nchini Rwanda.
Pia soma:Rais Samia kwenda Rwanda Agosti 11, 2024 kuhudhuria uapisho wa Rais Kagame
Nawaza tu ni kwa namna gani tunaweza kumpata Zakayo Aliyeshuka ambaye Wokovu umeingia Nyumbani kwake
Niko hapa na orodha ya Wabunge wetu akina Kibajaj, Babu Tale, Jah people nk.
Yajayo...
Imepita miaka 30 ya mahangaiko na watu wenye kununulika. Bado tu nini hakijaeleweka? Kwamba ni ubinafsi kwenda mbele hoja zero?
Yaliwakuta kina Mrema na pia kina Maalim Seif. Hao wakalazimika...
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia waandishi wa habari wa kituo chetu cha Jambo Tv Ramadhan Khamis na Fadhil Kirundwa jijini Mbeya wakiwa katika utekelezaji wa majukumu yao ya kitaaluma...
HUZUNI KUBWA.
---
YAH: TAARIFA KUHUSU KUSITISHA HUDUMA KWA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VYA AGA KHAN
Tafadhali rejea somo tajwa hapo juu
2. Mfuko husajili vituo vya kutolea huduma za afya...
Huyu kijana nimemwangalia sana na kumfuatilia sana utendaji wake wa kazi. Nadiriki kusema Tanzania baada ya Samia 2030 huyu kijana ana faa na ana sifa zote muhimu kama kiongozi wa nchi. Kwanini...
Najaribu kujiuliza kusafiri kwenda MBEYA ni kosa la Jinai? Je, kuna sheria inakata watanzania kusafiri ndani ya nchi yao? Ni sheria gani?
Pia soma:Kuelekea 2025 - Jeshi la Polisi lapiga marufuku...
Je, ni nani na ni kutoka chama gani cha upinzani?
Ni suala la muda tu linalosubiriwa ili muungwana huyo aweke wazi uamuzi wake huo muhimu, ambao pia ni haki na uhuru wake kikatiba.
Ni muhimu kua...
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu amewaasa wananchi kuacha kugombana kwa sababu za siasa kwani kitendo hicho kinasababisha maafa, yatima, wajane na kukosekana kwa amani.
Dkt...
Salaam, Shalom!!
Kwa Hali tuliyonayo hivi sasa, Nchi yetu inamuhitaji Rais wa aina hii. Muumini wa mifumo na upatikanaji wa KATIBA mpya.
1. Rais mwenye Maono na upeo mkubwa juu ya Tanzania Kwa...
TANESCO Wilaya ya TANESCO Usa-River Arusha tangia juzi ikifika saa 12 jioni mnakata umeme, vipi kuna mgawo? Au ni kwamba hamsikii raha bila kutukatia umeme.
Meneja wa hapa km siyo mchawi basi...
Sidhani kama kuna mtu atabisha kwamba, kwenye nchi hii hakuna wakati sekta ya kilimo imepata mazingatio makubwa sana kuliko wakati wowote ule kwenye historia ya nchi yetu.
Ushahidi wa kwanza wa...
Sasa ni dhahiri kwamba Uhai wa ccm uko mikononi mwa Jeshi la Polisi pekee, hii imedhihirika rasmi baada ya Jeshi hilo kuanza kuzuia Vijana wa Chadema kuhudhuria maadhimisho ya siku ya Vijana...
Binafsi nilikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la kushambuliwa Tundu Lissu.
Alichokifanya Tundu Lissu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.