Sheria - THE POLITICAL SERVICE
RETIREMENT BENEFITS ACT (Cap. 225)
RAIS:
Rais wa Tanzania akistaafu anapata mafao yafuatayo:
1. Pensheni ya kila mwezi ambayo ni sawa na ASILIMIA THEMANINI ya...
Nimesikia kuwa misafara ya Vijana WA CHADEMA wamezuiliwa iringa wasiendelee na safari Yao kwenda Mbeya kuadhimisha siku ya Vijana.
Mheshimiwa Mbowe nae eti kaitwa kwa Msajili wa vyama...
Sababu ni kwa nini Kenya inapokea watalii wengi pamoja na kuwa na vivutio vichache ni kwa sababu ya kinacho endelea Paria Ufaransa.
Mashindano ya Olyimpic ni moja ya sehemu ya nchi kujitangaza...
Najaribu kufikiria kwa sauti au kwaza kwa sauti. Mara nyingi watu wenye akili kisoda/finyu huwa wanakifa mapema sana.
Au kwa kuwa huwa hawatumii akili katika masmuzi yao wanaongozwa na emotions...
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei akizungumza na wananchi wa vijiji vya Kisangesangeni na Miwaleni kata ya Kahe, Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro hii...
Karibu CCM MSIGWA. Karibu sana.
Umenikumbusha Maneno ya Mwana farsafa nguli Tanzania, the late Ruge Mutahaba. Aliwahi kusema kuwa, "Muogope Mungu, Lakini pia ogopa teknologia".
Hii video clip...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema kundi la Vijana wa Chadema wakiwa njiani kuelekea Mbeya wamezuiwa na Polisi mkoani Iringa
Lema amesema Gen Z hao wanaelekea...
Kumekuwepo na ongezeko kubwa la Vijana wasiokuwa na ajira mtaani,kila Kona unakuta kijana amebeba bahasha au kwenye internet cafe wakijitaidi kuomba kazi huku na kuleta. Naiomba serikali kupunguza...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM...
Mzee, hujatutendea haki, hujarudisha heshima tuliyokupa.
The biggest day of your life haiwezi kuwa siku uliyokutana na Rihanna na Michael Jackson... Jamani!
Kwa miaka kumi ukiingia bafuni...
Sisi wana Iringa tumeamini kuwa wewe siyo MCHUNGAJI kabisa.
Wakati bado upo cdm ulikuwa unatuaminisha kuwa hakuna chama makini kama cdm.
Ukatushawishi tukakuchagua kupitia cdm na ukasema kuwa...
Kiukweli hali ya kisiasa iliyopo Zanzibar haina Afya kabisa na uvumilivu umetoweka
Unapoona Naibu Waziri Mh Nadir anamtusi Makamu wa Rais hadharani ujue hapo Hali siyo hali tena
Tuzidi kuwaombea...
Niko Mbeya Mjini kwa siku tatu hivi na nimeona upepo wa siasa za hapa. Siko upande wa CCM wala CDM. Nawashauri tu CDM kuwa wana nafasi kubwa ya kushinda Jimbo la Mbeya Mjini iwapo wataweka mgombea...
Nimemsikiliza mchungaji Msigwa Leo pale Mwembetogwa nikashangaa ilikuwaje akawa Mwanasaikolojia na Teolojia
Peter amekaa miaka 20 Chadema lakini hajui kuwa kwa CCM Mbowe ni muhimu kuliko yeye na...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kusafiri kuelekea Jamhuri ya Rwanda kesho asubuhi kushiriki sherehe za uapisho wa Rais Mteule, Paul Kagame ambaye alichaguliwa kuwa Rais wa nchi hiyo mwezi...
Bila shaka Prof. Anna Tibaijuka yupo miongoni mwa binafamu na akina mama wenye CV zilizoshiba. Kitaaluma na uzoefu wake wa kazi katika ofisi za juu kabisa duniani singemfanya awe mama wa mfano...
Mchungaji Msungu anasema Kizazi cha Gen Z hakikwepeki na kitadumu kwa sababu hizi ndio zama zao
Baada ya Gen Z ambao wamezaliwa Kati ya 1997 hadi 2012 kitakuja Kizazi cha Gen Alpha cha hawa...
Mbunge Saashisha Mafuwe akabidhi mashine ya X-ray yenye thamani ya Tsh. milioni 196 na magari mawili
Mbunge wa Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro, Saashisha Mafuwe tarehe 10 Agosti, 2024 amefanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.