Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
https://www.youtube.com/watch?v=e_BQv2Q_JjE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Akishiriki Kikao na Maafisa Ugani na Wanaushirika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe...
1 Reactions
9 Replies
856 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kule Bangladeshi siku chache zilizopita vijana wa Taifa hilo hususani wanafunzi waliongoza Maandamano makubwa ya kumuondoa Madarakani Sheikh Hasina ,ambaye yeye na...
6 Reactions
90 Replies
2K Views
Nimeshangaa sana kuona KADI za Makaratasi za CHADEMA kwani ninavyojua CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo walishaacha na hizo KADI za Kienyeji. Pia soma: Kadi za kieletroniki za uanachama kuipa CHADEMA...
7 Reactions
41 Replies
1K Views
Heshima ssna wanajamvi. Sasa ni wazi Mch Msigwa ni mmoja wa wale wanasiasa waliolamba fedha za Abdul. Katika hali ya kustaajabisha Mch Msigwa hakuwahi kubeba Bible takatifu hadharani na...
5 Reactions
8 Replies
370 Views
Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi yuko Bukoba kuimarisha Chama Katibu mkuu wa ACT Wazalendo yuko Bukoba kuimarisha Chama Wote Wawili wanapokea KADI za Wanachama wa Vyama vingine wanaohamia kwao...
1 Reactions
0 Replies
256 Views
Heshima sana wanajamvi, Hifadhi za Taifa zimekuwepo miaka mingi nyingine kabla Tanganyika haijapata uhuru. Kupitia mipango mahususi ya Serekali imepora mapato yote ya TANAPA & Ngorongoro...
28 Reactions
121 Replies
4K Views
Tarehe 26 Julai baada ya kauli hii na ile za kimtandao kumhusu RC Makonda mmoja wa Wasaidizi wake alitoka hadharani na kuweka wazi kuwa RC yuko likizo ya kawaida. Likizo hii ya kawaida kwa...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Alikuwa katibu mkuu wa CCM kipindi cha Magufuli. Yuko wapi?
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Tunafahamu kwamba Chadema kama chama cha siasa chenye misingi imara kimefanikisha maisha ya wengi, Chadema imewapa Platform watu wengi mno waliokuwa duni mno na kuwabrand, na baada ya watu hao...
12 Reactions
58 Replies
1K Views
Mdau wa michezo Furaha Dominic amesema amezuiliwa kuwa Mgeni Rasmi katika fainali ya mchezo wa mpira wa miguu katika ligi ya Kunduchi super cup kutokana na sababu ambazo amesema ni za kisiasa...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanini: Hii itasaidia kukupa mawazo, taarifa, fikra njema za wapenda haki ambao si rahisi kukufikia by whatever simple means. Na kwa njia hiyo utazifanyia kazi kama zitakuwa within your REACH...
5 Reactions
11 Replies
335 Views
Kutokana na IQ yake kubwa, ujasiri, uzalendo, misimamo, elimu yake, asiogope kugombania nafasi hiyo kubwa kabisa nchini. anafaa. Wananchi tunamhitaji mtu wa hivyo. naomba kuwasilisha
8 Reactions
41 Replies
1K Views
Kwa walio ushuhudia umri wa CHADEMA tokea kianzishwe ni wazi haupo wakati Chama hicho kinashuhudia wimbi la utengano uliyo bayana kama siku za hivi karibuni. Kutuhumiana wazi wazi pasi na uficho...
0 Reactions
4 Replies
308 Views
Usisubiri hadi 2025 ifike ndio ukurupuke kutafuta kadi ya CHADEMA hasa kama unataka kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CDM. Ng'ombe hanenepi siku ya mnada, chukua nafasi yako mapema kabla...
15 Reactions
47 Replies
1K Views
Morogoro. Chadema imetangaza kuwa Januari itaanza kutumia kadi mpya za uanachama za kielektroniki, zitakazoiwezesha kukusanya Sh13.9 bilioni kwa mwaka na kupunguza utegemezi wa ruzuku ya Serikali...
10 Reactions
83 Replies
8K Views
Shalom, Waungwana yuko wapi Paul Makonda, amejificha wapi nyakati hizi za kutoka kwa akina Yape na Nujauri? Wadiz
10 Reactions
31 Replies
4K Views
Tangu tuwe chini ya mkoloni jeshi la polisi linalalamikiwa kila siku. Utesaji na mauaji ya watuhumiwa. Kila siku ni kilio kwa wananchi. Moja ya dhima ya kuanzishea Tls mwaka ni 1954 ni kutoa...
3 Reactions
10 Replies
584 Views
Wawili hao ni miongoni mwa Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema waliokutana kwenye kikao Muhimu kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Mikocheni, Dar es Salaam
3 Reactions
17 Replies
1K Views
BARUA YA WAZI KWA TUNDU LISU Na, Robert Heriel Taikon wa Fasihi, S.L.P 9977, JIBI, Kutoka Nyota ya Tibeli. 30, 07. 2020. YAH: KUKUONYA DHIDI YA KUTETEA MASIKINI NA WAPUMBAVU. Ndugu Mhe Lisu...
81 Reactions
263 Replies
24K Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amemkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kujiunga na chama hicho akidai tayari chama chake...
1 Reactions
5 Replies
630 Views
Back
Top Bottom