Kikao cha watu saba baada ya Magufuli kutoweka duniani kilikuwa na maazimio yafuatayo
1. Bashiru pamoja ná wenzake wasichukuliwe hatua haraka maana wangezalisha bomu la wanaojua serikali in and...
1. Majuzi nilipata msiba wa Kaka yangu hapo Muhimbili basi akapelekwa Mochwari.
2. Siku ya kutoa maiti kwa ajili ya ibada na Maziko (mhudumu anataka TSH 200,000) mbali na zile gharama ambazo...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), inakutana Jijini D'salaam tarehe 8-9 Agosti, 2024
Ikumbukwe kwamba Hiki ndio Chama kinachotoa dira ya Taifa na miongozo mbali mbali...
SAMIA may not always have been the most popular Tz politician,but she always maintained high public trust. Many features give political leaders legitimacy in citizens' eyes: competence, care...
Mambo mengi ya Chadema yaliyofanyika gizani sasa yanawekwa hadharani na wao wenyewe
Hata Wabunge 19 wa Viti Maalum ulikuwa Mpango wa Viongozi wa Chadema lakini baadae wakamwachia zigo Shujaa...
In a very serious note, Wazenji Wana uchungu na Nchi/kisiwa Chao, wanajua Haki zao na Wanajua kujenga hoja na kutafuta fursa kwa ajili yao na Ndugu zako na kesho Yao.
To be honest, Zanzibar...
Kwa namna Mch Peter Msigwa kada mpya wa CCM anavyoieleza CHADEMA ilivyo.
Mhe Tundu Lissu sioni haja ya wewe kuendelea kujitesa ndani ya CHADEMA wakati wewe kwenye Taifa hili ni hazina Kila mmoja...
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa watanzania wenye sifa za kujiandikisha katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kujitokeza katika...
Anayejua aliyekuwa Mbunge wa Iringa mjini ni mchungaji wa Kanisa gani anijulishe
Nimekaa pale 😃🔥
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter...
Huko Mbeya kama ilivyo kila Mahali Tanzania kuna kilele cha Maonesho ya Wakulima au maonesho ya Nanenane.
Pamoja ni bidhaa mbali mbali za kilimo ikiwemo vifaa vyake kama Matreka kuonyeshwa...
Mbunge wa kuteuliwa na Rais na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amemuandikia Spika wa Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Dkt...
Suala la kuhama Mwanasiasa kuhamia chama chengine iwe kwa msimu hasa kipindi Bunge lishavunjwa ili kujenga heshima katika siasa.
Mwanasiasa anaetaka kuhamia chama chengine asubiri muda huo. Hali...
Waingereza walisema what does not kill you, leaves you stronger. Tukio baya ambalo halikusababisia kifo, hukufanya kuwa imara kuliko hapo mwanzo.
CHADEMA kimepitia misukosuko mingi lakini chama...
Huyu jamaa ni mwana CCM kama walivyo matajiri wengi wa nchi hii, anamiliki kituo cha TV kama alivyo mwanaCCM mwenzake Reginald Mengi.
Sasa cha kushangaza huyu aliamua kukiuka maadili ya...
Hakika furaha haijifichi. Baada ya kumfanyia endorsement Wakili Mwabukusi kuwa Rais wa TLS na hatimaye kushinda uchaguzi huo, furaha ya Mwanasheria nguli nchini na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA...
Hongera Kwa Nafasi ya kuongoza Tanganyika Law Society.
Ila nakukumbusha tu usisahau zile kauli zako za kishujaa, tunasubiri kuziona Kwa vitendo.
Nakukumbusha tu pitia na hii video vizuri ili...
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu, Julai 23, 2024 amempokea Mhe. Mbae Mohamed, Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro anaeshughulikia Nchi za Kiarabu, nchi zinazozungumza Kifaransa...
1. Afghanistan
Msaada: Kulingana na ripoti za Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Afghanistan inategemea msaada wa kigeni kwa zaidi ya asilimia 70 ya bajeti yake ya maendeleo (UNDP...
Wazee wetu hawa wastaafu katika kumkamata sharubu kambale Mambo hawa kukaa kimya Lakin waliyapata mateso na misukosuko pamoja na kutokaa kimya kwao!
Watanzania uwa wanadhani ni Nchi special...
Wapo wanachama ndani ya vyama vya siasa wanaoshikilia misimamo ya kupinga agenda zitakazokiimarisha chama. Ndani ya vyama wamo wanachama ambao wamenunuliwa bila kuchukuliwa. Unaweza kumnunua mbuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.