Katika hatua madhubuti ya kurejesha nchi katika hali ya maelewano,usalama,na maendeleo endelevu kufuatia siasa za uhasama zilizorithiwa kutokana historia ya vyama vingi na mapungufu mbalimbali...
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amesema Binti aliyebakwa yuko kwenye Mikono salama hajafa
Chalamila amesema Yeye kama Mkuu wa mkoa anafahamu Binti aliyebakwa yuko katika kituo kimoja...
Tunajua Msigwa alienda kumuona Lissu kabla Msigwa kuhama Chadema, kama Lissu anataka kutoka, aende tu kuliko kuanza chokochoko, amfate Msigwa. Chadema ni kubwa kuliko Lissu
Nimekusikia ukinukuu BUSARA za Mwalimu Nyerere, lakini Mwalimu Nyerere busara zilimuongoza mambo mengine kuyazungumza in Camera na si hadharani. Nilitegemea majibu ya busara zaidi kuliko...
Ndugu zangu Watanzania,
Uwanja wa Benjamini Mkapa uliofurika na kumiminika wanachama na mashabiki wa Simba umejikuta ukiripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kusikia Sauti ya Mama yetu...
Akiwa mkoani Kagera, Ndugu Bashiru Ally ambaye ni Katibu wa CCM amesema anashangaa vitendo vinavyotaka kujikita mzizi kwa maafisa wa Serikali kujichukulia sheria mkononi.
Bashiru Ally...
Kila tunapokaribia duru za uchaguzi wa Serikali za Mitaa vuguvugu na joto la siasa linapanda. Kuna suala la wabunge 19 walikuwa CHADEMA na ambao suala lao liko mahakamani.
Hawa wabunge...
Wakuu salama?
Kulikuwa tetesi toka pande mbalimbali kuwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete atagombea nafasi hii ya Uenyekiti wa Kamisheni ya Ummoja wa Afrika Mashariki, na kulikuwa na kama ka msuguano...
My Take
Chadema wataumia sana Kwa hili.
In fact hata Mzumbe wanatakiwa Waite mojawapo ya majengo Yao Jina la Rais Samia kama mwana Alumnai wa Mzumbe.
Ni mbumbumbu tuu ndio anaweza kuhoji mchango...
Kiukweli Boniface Mwabukusi amejulikana juzikati tu wakati wa mchakato wa Bandari.
Mwabukusi amewahi kugombea Ubunge huko kwa akina Prof Mark kupitia NCCR Mageuzi lakini hakunaga anayejua. Ila...
Ni ajabu sana nchi yetu inatafunwa kwelikweli..ni mwendo wa Mabilioni kwa Matrilioni, ripoti za CAG zilizopita hatujasikia popote wale waliokutwa na hati chafu au upotevu mkubwa wa fedha...
Kusema ukweli sitegemei Lissu atoe kauli alizozitoa kuwa CHADEMA siyo mama yake, ni kweli wote tunafahamu hivyo lakini angalia historia yako kwenye upinzani, na hadi ulipopigwa risasi.
Nadhani...
BBC Wamekausha kana kwamba hakuna kitu linaendelea wakati Uingereza imekumbwa na maandamano makubwa ya kibaguzi ambayo yameambatana na uharibifu wa Mali.
Waziri wao Mkuu amekuwa akijiknyaga...
Mbowe na genge lake wanamtumia Lissu kama ndoano ya kuvutia pesa CCM
Kwa hali ilivyo,
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe amekuwa akitumia gia ya kuwatisha Viongozi wa CCM kuwa endapo...
Kama watanzania tunahitaji Rais , kuacha haya makanjanja na matapeli ya kina Nape, January, Mwigulu na wahuni wengine, ikiwa sio Majaliwa basi Doto Bitteko anafaa sana kuwa RAIS wa JMT miaka...
09 August 2024
UK High Commissioner David Concar reflects on his time in Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=dY_7h6zrCf0
As his tour of service in Tanzania comes to an end, UK High...
Huko nchini Kenya, uteuzi wa mawaziri unachukua mchakato mrefu, Hadi Waziri huyo aapishwe.
Hatua anazopitia Waziri huyo baada ya kupendekezwa na Rais kuwa Waziri ni jina lake kupelekwa Bungeni...
Naona Mfumo wa chadema una shida kubwa kubeba watu smart
Unahitaji marekebisho
Tusibaki tu kulaumu wanachama
Kwanini watu wengi smart inakuwa ngumu kukaa chadema
Naona Mfumo wa chadema una...
Nimemsikia Lissu akinukuu maneno ya Hayati Mwalimu Nyerere aliposema kuwa CCM siyo Mama yake wakati wowote anaweza kuondoka vile vile Lissu naye kasema kuwa CHADEMA SIYO mama yake.
Maneno haya...
Ili kuepusha migomo kujirudia inahitajika elimu kubwa hapo kariakoo, taarifa zifuatazo zitasaidia kutengeneza maudhui ya kozi husika,
1. Majina kamili (kama yanavyoonekana kwenye NIDA),
2.TIN...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.