Kupata mwanasiasa mwenye kariba ya Halima Mdee na Esther Bulaya kwenye upinzani sio jambo jepesi, hasa katika nyakati hizi ambazo CCM inamtafuta kila mwanasiasa maarufu kutoka upinzani.
Akina...
TUNDU LISU YUPO SAHIHI, TUNAPINGA UMUNGU MTU NDÀNI YA VYAMA VYETU SIÔ CHADEMA TUU BALI HATA CCM.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Watu aina ya LISSU wàpo vyama vyote sio CHADEMA tuu, wàpo...
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Kilimo na Uvuvi wa Comoro, Mhe. Dkt. Stanley Ali Bandar. Mazungumzo yao yalijikita katika namna...
Katika dunia ya leo kuna technolojia ya "Akili Bandia" au "Inteligensia ya Bandia." Hii inafanya utabiri baada ya Researcher kukusanya Data. (secondary data au Primary data) Researcher anaweza...
Chama changu pendwa cha Mapinduzi tunaumia sana kuona Rushwa inatawala kwenye chaguzi ndogo hizi Alafu na vyombo vya Usalama vinasema ni mambo yetu ya ndani yaachwe? Inaondoa kuaminika Kwa watu...
Utajiri wa nchi yetu ni mkubwa ktk rasilimali mbalimbali kama misitu,madini,Mafuta na Gesi.
Mikataba ya siri mingi tulioingia na wawekezaji mingi imekuwa na matobo ya kutuadhibu inapotokea...
Salaam Ndugu zangu,
Nimekuwa nafuatilia mienendo ya wanazuoni wetu wakiwemo walimu na maprofesa wa vyuo vikuu kadhaa nchini kwetu.
Nimegundua asilimia chache sana ndo inafanya kazi kwa ufasaha...
Naona watu wanamshangilia Mwabukusi kana kwamba atakuja na maajabu ya aina yoyote ila bila kuishirikisha serikali. Mwabukusi hawezi kuilazimisha
Ni serikali ndio inapeleka miswada bungeni, ni...
Niliuliza kwamba je mwaka 2025 tutalazimishwa kusema TANZANIA iko uchumi wa kati ? Wakati ni Data za kupika?
Je ipo siku tutaambiwa kwamba Royal tour imezaa matunda wameongezeka watalii mamilion...
Haieleweki ACT Wazalendo hii Nguvu ya kufanya Mikutano Nchi nzima wameitoa wapi lakini ndio wanazidi kuchanja mbuga
Ndugu zetu Chadema kwa sasa wako kwenye mgogoro mkubwa wengine wakiukubali...
Rais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake
Rais Samia...
Mafanikio ya treni ya abiria kwa sasa kufika Dodoma yanatia moyo.
Hata hivyo ufanisi wa reli kiuchumi ni usafirishaji wa mizigo.
Muda umefika sasa kwa wizara ya uchukuzi kuanza kuratibu namna ya...
Mtu anayemdharirisha mkewe wa Ndoa kwa mambo madogo madogo kama ya Mpira hafai kabisa kuwa Mbunge iwe ni Kawe au Kigamboni, anasema mzee Mgaya
Mzee Mgaya anasema CCM inaweza ikajichanganya na...
Kupitia ukurasa wao wa tweeter, jeshi la Polisi Tanzania wameandika
"Leo 23/09/2021 Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini akutana na Maafisa Wakuu Waandamizi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Jijini...
Si tatizo kumfuga kwa kumfungia ng'ombe bandani kwa mda mlefu huku ukimpelekea chakula na maji kwenye dishi lake siku Hadi siku.
Tatizo Lina anzia pale ng'ombe huyo anapo kuja kubaha tika kwa...
Kiukweli nilipomsikia Shujaa Magufuli akikiri mbele ya Wananchi wa Singida Mashariki kwamba alimuomba Tundu Lisu aingie kwenye Baraza lake la Mawaziri niligundua Lisu mbali ya Siasa ana kitu cha...
Ukizunguka mitandaoni, watu wanaamini Tundu anastahili kuwa katika chama kingine, imagine yeye, mwabukusi na wanasheria wangekuwa na chama, hawatapata kuungwa mkono kweli? au wanaogopa kuongeza...
Ndugu zangu Watanzania,
Wakati Taifa likiendelea kutabasamu na kusikika kwa kelele za shangwe, nderemo na vifijo zinazotokana na ushindi wa Timu ya Yanga ambayo licha ya refarii kukataa magoli ya...
Ukifuatilia Mijadala ya Makamanda wa Chadema mitandaoni utagundua kwao Shujaa Magufuli na Awamu yake ya 5 ndio kipimo Chao cha Ulinganifu
Hii maana yake ni kwamba Shujaa Magufuli ameshaimgia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.