Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Baada ya David Kafulila kusimama na kuanza kumtetea Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ufasaha na weledi unaostahili kwenye mambo mbalimbali, Kitendo hiki kimeibua kundi linalomuunga...
14 Reactions
216 Replies
4K Views
Haraka kwenye mada|| Huenda uchaguzi mkuu wa mwaka 2029|2030 ukawa ndio Uchaguzi mgumu zaidi kuwahi kutokea tangu kuasisiwa na kuanza kwa mfumo huu wa vyama vingi hapa nchi Tanzania. Agenda...
11 Reactions
187 Replies
5K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amesema tuhuma zilizotolewa na Mchungaji Peter Msigwa dhidi ya...
9 Reactions
54 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu Hassan na Boniface Mwamposa ndio Watu wenye mvuto zaidi Ukanda mzima wa maziwa makuu kwani wanakusanya maelefu ya watu kama nzige. Rais Samia kwa umati huu tayari ni mshindi...
5 Reactions
57 Replies
2K Views
Kuelekea chaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 kuna utekaji wa raia wanaounga mkono vyama pinzani wengine wakipotezwa kabisa. Lengo linaweza kuwa kuwatisha raia kujihusisha na...
0 Reactions
3 Replies
310 Views
'....chaguo la Mwenyekiti ni Paul. Lakini hofu ni je wale wazee watakubaliana naye kwa kigezo cha umri? Chaguo lake la pili ni William Lukuvi na ndiye hasa hata yeye anaona itampa u rahisi...
7 Reactions
62 Replies
3K Views
Agosti 7,2024 . MOROGORO Nimeshiriki hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha Sukari Mkulazi, Mbigiri Morogoro, uliofanywa na Mh. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania. Kiwanda...
1 Reactions
22 Replies
880 Views
Nimemsikiliza Lissu akilalamika kuhusu Rushwa kwenye chama chake cha Chadema,kauli hii imenifanya nitafakari sana kuhusu uwepo wa rushwa vyama vingine vya upinzani.Hali ikoje? Tujadili ili tupate...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Hali halisi ilivyo katika kata ya Enduleni Ngorongoro ambapo Jeshi la Polisi limefika kwa ajili ya kuzuia maandamano ya wananchi ambao wamefika mahali hapa kupinga uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya...
0 Reactions
7 Replies
771 Views
Wapo Wanasiasa ambao nje ya Vyama vyao hawanaga umaarufu wowote ule kama alivyo mchungaji Msigwa Je, Tundu Antipas Lisu akihama Chadema ataendelea kuwa maarufu au atakuwa mbeba Jezi kama...
3 Reactions
9 Replies
338 Views
Basi wale tunaoamini katika Reincarnation au kuzaliwa Upya . Basi tupitie Zaburi hii na tuseme amina kwa ajili ya mtumishi mwanasiasa yule apate kusamehewa na kerehemiwa afya yake ikae sawa kisha...
13 Reactions
80 Replies
3K Views
ni katika kuipongeza serikali hii sikivu, kutambua, kumpongeza na kuunga mkono nia na dhamira ya dhati ya mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzanian Dr. Samia Suluhu Hassan, kwa hatua muhimu za...
0 Reactions
1 Replies
283 Views
Tanzania kabla ya muungano ilikua inaitwa Tanganyika na Zanzibar, lakini ni utaratibu wa kawaida nchi kubarisha majina yake kwa sababu mbali mbali moja ya sababu hizo hua ni zifuatazo...
0 Reactions
4 Replies
416 Views
Demokrasia ni mfumo mzuri ila una changamoto kubwa bila jamii yenye . Uelewa mkubwa katika mambo ya kijamii . Uelewa mkubwa katika mambo ya kisiasa . Kiwango cha juu cha ustaarabu Demokrasia...
0 Reactions
0 Replies
233 Views
Imekuwa kawaida Sasa Mh Rais au viongozi wa chini yake wanapotoa kauli tatanishi, za kukera au zilizo kinyume na sheria au hata katiba ya Nchi, huwa kunajitokeza wapambe kufafanua na kusema Rais...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Ushauri kwako Makonda kunusuru maisha yako na familia yako! Hama Nchi Kwa Muda watu uliowatesa ni wengi ila kwakuwa tumeambiwa samehe 7 mara 70 tumeshasamehe ila Kwa Usalama wako zaidi hamia Kwa...
105 Reactions
403 Replies
31K Views
Hakuna siri tena, hali huko mitaani imeshakuwa tete, raia wameanza kusanda, wameanza kufunguka na kuweka wazi kuwakataa wazi wazi viongozi wote waliobebwa na Magufuli mwaka 2020. Viongozi wote...
4 Reactions
8 Replies
330 Views
Mnataka kufanya kama mali ya chama? Kila siku kupigia picha ndani ya treni? Mbona Kama angekuwepo Magufuli ingekuwa imefika Mwanza.
1 Reactions
19 Replies
633 Views
Hivi ndivyo alivyofumwa mmojawao, jionee mwenyewe. Hawa wakiongozwa na Msaliti mkuu Halima Mdee wamefungua kesi Mahakamani kupinga kutimuliwa CHADEMA. Kesi inaendeshwa kwa spidi ya konokono...
41 Reactions
117 Replies
10K Views
Jumamosi Kikosi Kazi cha Wazalendo wa CCM tukiwa tunarejea nyumbani Iringa tutasimama Dodoma kuzuru Jiwe alilokuwa anajipumzisha Shujaa Magufuli baada ya Kazi ngumu Pale Iringa mjini tunalo Jiwe...
1 Reactions
11 Replies
428 Views
Back
Top Bottom