Kesho ndio kesho hapa Arusha wakulima watakuwa na Furaha ya kuimba " Utukufu Ni kwa Mungu Juu Mbinguni"
Je, RC Makonda ataibukia 8-8? 😀
Lakini Kenya wale Gen Z Wanataka kuifurusha Serikali ya...
Dollar za kimarekani ziliadimika hivyo ilifanya biashara kwetu wakinga kuwa ngumu kidogo na Mimi pia nilikaa kimya kutafuta dollar ili kuweza kuagiza mizigo ya biashara, Kwa bahati nzuri hata...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa moyo wa unyenyekevu, upendo na heshima kubwa sana Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha...
Ni wakati mwingine tunaelekea kwenye chaguzi - Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 .
Tujitokeze kwa wingi ,tuache mabishano ya Simba na Yanga vijiweni .
Kina Erythrocyte ,Lucas...
Mwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM.
Mifano ni mingi akina Julius Mtatiro, Nassari, Lijualikali.
Ndio Sababu unawaona akina Dr...
Hili ndilo tumekubaliana Wapiga kura wa Iringa mjini.
Zamu hii hatutakubali ujinga wowote kutoka chama chochote
Navalonge swela 🐼
Soma Pia:
Mimi niko tayari kwa kupiga kura 2024 na 2025...
Ndugu zangu Watanzania,
Sote tunafahamu kuwa Mbunge wa viti maalum wa CHADEMA Mheshimiwa Halima James Mdee amefiwa na Mama yake Mzazi siku chache zilizopita. ambapo mimi binafsi nampa pole sana...
Serikali inatakiwa iwe na muongozo mpango miji wa taifa zima wenye ramani wa miaka angalau 25 kuonyesha wapi itajenga barabara za lami, wapi itajenga reli, wapi itajenga mwendokasi, wapi itajenga...
Yani sasa hivi ukitaka kwenda jela tukana Rais. Hii ni moja ya dalili ya mwisho kwa nchi zilizokosa utawala wa haki au chama kujiogopa ili kubakia nafasi yao.
Nchi zilizofanya haya moja wapo...
Tunakumbushana tu Leo ndio siku Treni ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Dodoma inafanya safari yake ya kwanza
Mungu wa Mbinguni mrehemu Shujaa John Pombe Magufuli
Sasa imekuwa Kama desturi kwa viongozi wakuu wa CHADEMA kuchangisha watu pesa na kutokomea nazo kusiko julikana mpaka Sasa; Ni Kama Wanatembelea chama kufanya Mambo yao mfano;
1. Hela za join the...
Kupiga Kura ni Ibada ndio Sababu tunasemaga Kiongozi ni Chaguo la Mungu wa Mbinguni
Hivyo kama Wewe ni above 18 basi jiandikishe kupiga kura
Ukimchagua Kiongozi Kwa kura halali halafu Kiongozi...
WANAJAMVI, naomba niingie moja kwa moja kwenye mada, tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu mwakani ni Waziri gani wa Serikali ya awamu ya Sita anaongozwa...
CHADEMA wapo kuvunja vunja hoja, umoja na Malengo ya upinzani.
Wao ni kuponda, kukebei, na kutukana kila anayeshindwa kufanya jambo kama wao wanavyotaka au aliyekosea.
1. CHADEMA wao Wote...
Na. M. M. Mwanakijiji
Tulipokuwa watoto wadogo tulijifunza kawimbo ambako sikuwahi kukutafakari maana yake. Ni kawimbo ambako labda watoto wengi wa Kitanzania katika sehemu mbalimbali wamekaimba...
MBUNGE JULIANA MASABURI AKIZUNGUMZA NA VIJANA KATIKA BARAZA LA UVCCM WILAYA YA ILALA, DAR ES SALAAM
"Tunaamini fursa mnazijua, elimu mmepewa na mmezipokea lakini jukumu letu sisi viongozi wa...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amemteuwa Dk Harison Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa kamati ya watu saba ili kutafuta chanzo cha kufeli kwa wingi katika mitihani ya mafunzo ya...
Natoa tu angalizo maana vibe za akina Mwabukusi ndio habari ya mjini kwa sasa
Akina Babu Tale wanauchukulia Ubunge kama Ajira
Karibuni Nanenane Arusha
Utukufu Ni kwa Mungu Juu Mbinguni 🌹
Habari wana jamvi naomba kuuliza swali hili kwenu tupate majibu sahihi Kuna wimbi kubwa la vijana ambao hawajihusishi kabisa na masuala ya siasa unahisi sababu ni zipi na Nini kifanyike?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.