Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tunawakumbusha viongozi wetu kwamba, shida kubwa ya Watanzania ni Ugumu wa Maisha unaosababishwa na kuanguka kwa Uchumi na ukosefu wa ajira. Kupiga picha na watu wenye njaa wanaotaabika kwenye...
3 Reactions
27 Replies
713 Views
Bila shaka Jeshi la Polisi na Usalama wa Taifa wako comprised kushughulikia Haki za kuishi za Watanzania, niwakati muafaka kuwa na agenda ya kuwa na Chombo kilicho huru na chenye taswira nzuri...
0 Reactions
1 Replies
196 Views
Natambua majina ya maeneo, mitaa, Taasisi au uwekezaji mara nyingine huja yenyewe kutokana na matukio au waanzilishi na mambo mengine mengi hapa nazungumzia haya ya kupewa sio hayo ambayo...
9 Reactions
27 Replies
945 Views
1.Dar es Salaam-2,805.9 GWH 2.Pwani-635.7GWH 3.Arusha-413.9 GWH 4.Shinyanga-411.2 GWH 5.Tanga-408.7 GWH 6. Mwanza-344.5 GWH 7. Morogoro-307.5 GWH 8.Dodoma-249.3 GWH 9.Mbeya-231.5GWH...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Imekuwa ni mtindo wa kawaida kabisa hivi sasa, katika Kila mkutano wa hadhara anayoifanya Rais Samia, wateule wake wanampa sifa nyingi, ambazo nyingine hazimstahili. Huwa najiuliza, katika miradi...
8 Reactions
60 Replies
2K Views
Ni kile kinachoonekana kampuni ya DP World kuchoshwa na matusi ya Watanzania kwenye ukurasa wao, wakipinga mkataba wa kilaghai mithili wa ule wa Chifu Mangungo. Kampuni hilo limeamua kuwafungia...
31 Reactions
137 Replies
13K Views
NATAMANI KUWAOMBA MSAMAHA KINA CHIEF MANGUNGO ____________________ Kuna nyakati huwa Natamani Sisi Watanzania Kuwaomba Msamaha mababu zetu akiwemo Chief Mangungo kwa KUWACHEKA na Kuwa na HASIRA...
67 Reactions
237 Replies
17K Views
Serikali ya Rais Samia imepeleka muswada wa sheria mpya bungeni itakayobadilisha umiliki wa rasilimali za taifa na kuwa mali halali ya muwekezaji. Sheria ya rasilimali ya taifa ya sasa inatamka...
16 Reactions
147 Replies
13K Views
Shirika la ndege la Tanzania limetwaa tuzo ya ubora na maendeleo ya mwaka 2022 barani Afrika na tuzo hiyo imekabidhiwa kwa CEO Ladislaus Matindi kwa niaba ya shirika. My take. Chadema walipinga...
9 Reactions
49 Replies
3K Views
Tundu Lissu, Zitto Kabwe, Nape Nnauye, John Heche mtaficha wapi sura zenu? Mtakubali sasa kwamba hamna akili na mnatakiwa kupuuzwa na watanzania? Mliapa kuzuia legacy ya Magufuli kiko wapi sasa...
8 Reactions
54 Replies
2K Views
Gazeti la Mwana Halisi la leo limekuja na ripoti ya namna vigogo wa serikali na chama wanavyomiminika kimyakimya kwenda Chato kumhiji na kufagia kaburi la aliyekuwa rais wa awamu ya tano! Swali...
10 Reactions
116 Replies
24K Views
Imethibika sasa kwamba chanjo ya corona ilikuwa biashara ya kitapeli na haikuwa na hata chembe ya kuwasaidia binadamu kupambana na ugonjwa huo. Hapa Tanzania viongozi licha ya kuonywa sana lakini...
31 Reactions
271 Replies
11K Views
Mwenyekiti wa UVCCM Arusha Simon Maximilian ametoa simu wilaya zote za Mkoa huo kwaajili kusajili wanachama wapya wa CCM. Amesema hizo zote ni jitihada za kumuunga mkono Mwenyekiti wa CCM Taifa...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Tulipokuwa tunaandika humu kwamba ccm inapumulia Mashine kila mahali, kuna waliotupinga, Lakini kama ilivyo ada Pembe la ng'ombe halifichiki, Mwenyekiti wa CCM aliyeko ziarani Mkoani Morogoro...
21 Reactions
33 Replies
3K Views
Kazi ya kilimo ni kazi ngumu sana isiyo na staha tena yenye jina baya kwani hunasibishwa na umaskini, yenye karaha nyingi na risk factors za kutosha. Mbaya sana ndiyo kazi inayoajiri zaidi ya...
4 Reactions
7 Replies
465 Views
Baada ya kukaa muda mrefu sana bila safari za nje, bila shaka alikua na kiu sana ya kusafiri. Jana JK ameanza kusafiri Rasmi, amekwea Pipa, ha ha ha ha ha. Sijua kaenda wapi na kufanya nini?Je...
0 Reactions
463 Replies
36K Views
Miongoni mwa wabunge waliopata umaarufu katika Bunge la mwaka 2015 - 2020, ni Selemani Bungala, maarufu kama Bwege, aliyekuwa mbunge wa Kilwa Kusini kupitia Chama cha Wananchi (CUF) kabla ya...
1 Reactions
5 Replies
574 Views
Ukatili aliofanyiwa Binti na wale vijana ni la kukemewa na kila Mtanzania mwenye akili timamu, Watanzania wana imani Mamlaka zinazohusika zitahakikisha binti ana pata haki yake kwa kuwachukulia...
1 Reactions
3 Replies
325 Views
Back
Top Bottom