Katika mfululizo wa mapitio ya kitabu, 'I am the State: A President's Whisper from Chato' (Mimi ni Dola: Mnong'ono wa Rais kutoka Chato) leo tunaangazia sura yake ya pili inayozungumzia Chato kama...
Baada ya kusubiria Kwa mda mrefu wa miaka 40,hatimaye Serikali imepata Mwekezaji kampuni ya Kichina ambae atawekeza na kuanza kuchimba Madini ya Chuma eneo la Liganga Matitu.
Mkataba huo...
Waziri Aweso aunguruma Morogoro
Salam za Wizara ya Maji zikitolewa na Waziri wa Maji Jumaa Aweso kwa wananchi wa Manispaa ya Morogoro waliokusanyika katika uwanja wa Jamhuri katika Mkutano wa...
Vyama vikuu sita (6) vya wakulima wa mikoa minne (4) inayolima Korosho kwa wingi hapa nchini wamesema wanatarajia kutoa shilingi milioni 11 ili kumchukulia fomu Rais Samia Suluhu Hassan ya...
Tumuombee watanzania Trump ashinde uchaguzi Marekani
Trump says he wants foreign nationals who graduate from US colleges to ‘automatically’ receive green cards
Source: CNN
UKIISHI MUDA MREFU UNAWAONA MWAMBUKUSI WENGI…
Wanyambo wenye hekima husema, “Bora uporwe mali kuliko kuzeeka, kwa sababu ukiporwa mali, marafiki zako wanaweza kukuchangia ukawa na mali tena”...
Nchi hii kuna wizi, ufisadi na ubadhilifu wa rasilimali za umma mkubwa usio na kifani. Wakati huo huo hali ya maisha yanazidi kuwa magumu kwa wananchi wote na hasa vijana. Njia kuu zote za...
Heshima sana wanajamvi,
Waziri wa Mambo nje unaiona hali ya usalama UK 🇬🇧 ilivyosambaratika upo kimya !
Tafadhali ebu toa angalizo kwa RAIA wa Tanganyika wasitie mguu UK 🇬🇧 hali ya usalama...
Fatma Karume atoa shule kwa waandishi habari na wananchi juu ya umuhimu wa TLS Tanganyika Law Society
https://m.youtube.com/watch?v=6Ga1OhmOZNI
Fatma Karume wakili bobezi aliyesajiliwa Middle...
Japo tuliwahi kuweka hapa picha za nyumba hizo, baadaye uzI ule ukanyongelewa mbali na vigogo wa JF , hata hivyo hakuna tofauti yeyote kati ya hizi za leo na zile tulizowasilisha awali...
Utakuwa ni mkutano mkubwa wa kihistoria utakaoshirikisba Viongozi machachari wa Upinzani
Ngoja tuone nyomi la Wanambeya watakaoletwa na Fuso
Mlale Unono 😀😀🌹
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses...
Ndugu zangu watanzania,
Huu ni zaidi ya Upendo, Ni zaidi ya kukubalika, ni zaidi ya kila kitu. Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kwa mafuriko yanayoendelea kushuhudiwa katika ziara za...
Kumekucha tena.
Hili siala limeshajadiliwa sana sehemu mbalimbali. Hivi kwa taifa hili changa tunajivunia nini kuanza kujadili michezo redioni na kwenye televisheni saa 2 asubuhi? Kweli?
Najua...
Ikitokea watawala wakafanya kitu chenye kukiuka tratibu, sheria, kanuni na miongozo ya kisheria au hata kutunga sheria kandamizi kama za mitandao, kinyume na mamlaka ya Wananchi yaliyo kweye...
Ndugu zangu Watanzania,
Umoja wa ulaya umeipatia Tanzania Msaada wa Billion 97,Ambazo zitatumika katika maeneo matano ,ambapo miongoni mwa maeneo hayo ni pamoja na uboreshaji wa maendeleo...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameziagiza Wizara ya Kilimo na Wizara ya Biashara kuvipa kazi viwanda vya ndani ya Nchi ikiwemo Kilombero Sugar ili vizalishe sukari ya majumbani na...
Na. Benny Mwaipaja
Tanzania inatarajiwa kuwa miongoni mwa nchi tano za Afrika zitakazonufaika na ujenzi wa mradi mkubwa wa Hospitali itakayokuwa na viwango vya dunia vya utoaji huduma za matibabu...
Hii jamii ya hawa watu ni wanafanya kazi kwa bidii kubwa unaweza jiuliza miili yao haina hali ya kuchoka.
Ni nini shinikizo lililo nyuma yao katika ufanyaji kazi kwa bidii ya hali ya juu.
Si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.