Mwafrika ana mambo fulani hivi ya kushangaza lakini yapo na huwezi kuyajibu kisayansi.
Mwaka unaogawanyika kwa 5 au tuseme mwaka wa uchaguzi huwa kuna uhaba wa mvua,watabiri wa hali ya hewa huwa...
Kuanza nianze kwa kuwashukuru wana Jamii Forums mlio nitafuta PM kwa kunipa pole katika msiba ule mzito. Nawashukuru pia wale mlio kuja PM kunikebehi yakuwa nilikuwa nawasinzigizia nilio wataja...
Haya mambo yako kwenye nchi ya Wajamaa Tanzania,Huku ndiko wanajeshi Badala ya kulinda mipaka wanaenda kupiga raia mitaani kisa wamegombana na raia mambo ambayo zaidi ni ugomvi wa kibinafisi sana...
MBUNGE wetu sisi wana IFAKARA hatukukutuma kupiga magoti. Kuanzia leo hii anza kutafuta kazi NYINGINE maana kwa ubunge basi.
Mbunge Abubakari Asenga ameonekana akipiga magoti kushukuru KUJENGEWA...
Ccm si chama cha kufanya nao maridhiano, ni genge la wahuni.
Mama Samia siku ya 5 leo yupo Morogoro kwa ziara rasmi ya kiserikali lakini badala yake ziara hiyo inatumika kufanya kampeni chafu za...
Katika ziara ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi, mbunge wa jimbo la Biharamulo Mhandis Ezra Chiwelesa amewataka mameneja wa TARURA na RUWASA wilaya ya Biharamulo kufika katika kijiji cha...
Save this post!!!!!!
Mzee wa victoria ambaye ni kiongozi wa ile eneo muda si mrefu atahama chama na kwenda kwa wale wenzzetu wa kijani baada ya kununuliwa kwa vipande vya thumni.
Save the...
"Ndugu Vijana wenzangu, Secretariat ya CCM katika mapokezi yake ilisema wazi kuwa katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 itatoa fomu 1 kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye si...
Katika Ziara za mheshimiwa wetu Samia huko Morogoro "amesema kuna wanasiasa "wajanja" wanaonunua mazao kwa ei ya chini na hivyo kuelekeza bei zipandishwe.
Nyerere aliwaita "kupe, wahujumu uchumi...
Tumemsikia Mpina kashfa ya kuagiza sukari kutoka nje, tumewasikia wakulima wa miwa wakimlalamikia Bashe kwa kuua kilimo chao cha miwa, tumewasikiliza wenye viwanda wakimlalamikia bashe kwa kutunga...
Wakuu,
Usiku umekuwa mchungu kwa Nape na Januari Makamba, tena Nape katenguliwa akiwa akiwa kwenye warsha! Pale unaenda sehemu kama waziri unaondoka mbunge!
Makamba naye alitoa boko lake...
Hapa juzi nimeona taarifa Rais Samia akiwaambia wananchi wa Kilosa wamrudishie Prof. Kabudi katika uchaguzi wa 2025. Nimejiuliza sana bila kupata jibu, kama Rais Samia haoni ni kosa kubwa sana...
KASHFA ya Sukari iliyoibuliwa na Mbunge Mpina hivi karibuni bungeni imemgharimu hadi kufukuzwa bungeni vikao 15 huku Bunge la Mwezi Agosti ambalo Mpina hatashiriki litafanya kazi ya kubadilisha na...
Nimeona hii inafanyika maeneo mengi anapopita Rais, sasa hapa sasa lengo huwa ni kumdanganya nanii? Je? Rais, wananchi, vyombo vya habari au nani?
Watoto darasa la 5,6,7 na wanafunzi wa...
Enzi za akina Mzee Mtei, Dr Kaborou, Bob Makani nk Uongozi ulikuwa wa kupokezana
Lakini zama hizi Mbowe ni Mwenyekiti wa kudumu
Tundu Lisu ni Makamu mwenyekiti wa kudumu
Pambalu Mwenyekiti wa...
Wakulima wa Miwa wa Bonde la Kilombero wamemng'ata sikio Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa katika ziara yake Kilombero asikubali kuongea na viongozi wa Amcos kwani kwa sehemu kubwa...
Huku wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo kubwa sana la umeme, kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 10 au zaidi. Tatizo ni nini?
Nchi sasa hivi haina shida ya umeme, kuna nini huku...
Nimeshangazwa sana kuona tangazo hili, Hii ni kampeni au utekelezaji wa majukumu ya kiongozi aliyepewa dhamana na wananchi? Sikumbuki kama Nyerere alishawahi kufanya haya pindi alipoenda kukagua...
Watanzania wengi ni maskini,hakuna shaka yeyote kuhusu jambo hilo.Kwa nini Watanzania ni maskini ndilo jambo ambalo limeonekana kusumbua watu wengi. Kikwete yeye alisema hajui kwa nini Watanzania...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na kwa maslahi ya taifa.
Maslahi ya leo ni hii issue ya SMZ kumiliki eneo la ekari 6000 Bagamoyo. Tangazo la SMZ Zanzibar: Hekta 6,000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.