Vita ya UKRAINE na URUSI imetawala katika vyombo kadhaa vya habari!!
Nina Funzo kubwa kwamba
USIJIWEKE WAZI KWA KILA JAMBO, KWANINI?
Urusi kutokuwa wazi sana na taarifa zake sahihi kutojulikana...
Kulalamika na kulaumu pekee ni mbinu ya kisiasa inayotumiwa na waupinzani nchini, isiyo na tija na iliyopitwa na wakati.
Haijawahi kuwa na msaada wala manufaa yoyote kwa vyama vyao wala kuleta...
Asikwambie mtu ziara za nje muhimu mno! Uchumi unafunguka watu wananeemeka! Maji yanamwagika huko vijijini, Miradi inakwenda! Bei za vyakula na bidhaa mbalimbali zinashuka!
Yaani ziara tamu...
Ndio Katiba yao inavyosema au ni Hulka tu isiyo na maana yoyote inayotokana na Wahafidhina wa Chama hicho?
Ni kweli Wazee ni hazina lakini kwa mujibu wa Tafsiri ya Kiswahili, Mzee ni mtu Mzima...
Ni msingi wa katiba yetu ya JMT kuwa chama tawala kitapokuwa madarakani kilazazimika kutekeleza ilani yake kilichoinadi kipindi cha uchaguzi.
Rais Samia sasa hivi yupo madarakani? Mlitarajia...
Mzee Dee katika hotuba yake alisema Mkewe alikuwa na tabia ya kuweka 10% ya kipato chake kwa ajili ya kutoa Zaka ikiwemo kuwasaidia Maskini na wanaohitaji kusomeshwa. Aliyasema hayo wakati wa...
Tanzania imekuwa ni nchi iliojaa vituko toka kwa viongozi wasio na maono chanya yenye kuleta mabadiliko katika nyanja mbalimbali za kiuchumi. Sera nyingi zimekuwa zikikinzana na kuzua mijadala juu...
''Chama cha siasa siyo imani, lakini hata imani watu wanahama. Ni ndoa ya ki-katoliki tu ndiyo ambayo huwezi kuachana, chama cha siasa kama nilivyosema kwamba tuna nchi ya kujenga''
---
Ndugu...
Waziri Hussein Bashe alikuwa na msimamo mzuri kuanzia alipoteuliwa kuwa Waziri wa Kilimo kuhusu kufungua mipaka kwa wageni kuja kununua mazao ya kilimo nchini.
Hii ilikuwa ni furaha kwa wakulima...
Huyu Mzee sijui anaongea kutoka kijiji gani ila lafudhi ni ya Kibena, yaani watu wa Njombe ana hoja asikilizwe!
Soma pia: Serikali Yaja na Mfumo Maalum wa Kuondoa Changamoto ya Ubambikiwaji wa...
Inasemekana baada ya kukamilisha mikutano ya Singida makamu mwenyekiti mh Tundu Lisu alitakiwa kwenda kuhutubia mkutano wa hadhara Chalinze mjini
Lakini ghafla akaingizwa kwenye ratiba ya...
Familia imetoa habari kamili kuhusu utekaji niliyogusia jana
Kijana Prosper Theonas Mjaly ametekwa Ijumaa tarehe 2 Agosti na kuna watu walifika na Land Cruiser Hardtop ya milango mitatu
Walidai...
Mastaajabu hayajapoa katika sekta ya elimu nchini. Ukisahau walimu wa UPE miaka ile ya 1970 au wale wa ‘Voda Fasta miaka ya 2000’, utakutana na uamuzi wa kufuta masomo ya kilimo na michezo.
Hii...
Ndugu zangu Watanzania,
Katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Morogoro ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo,uzinduzi na uwekaji wa mawe ya msingi kwa ujenzi wa miradi mbalimbali,utatuzi...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa leo hii ameshiriki Tulia Marathon Mkoani mbeya. Mbio ambazo zimekuwa zikifanyika kila mwaka...
Mh Rais, mimi ni raia wa Tanzania na ni mwananchi wako mwema.
Naomba kwa masikitiko makubwa tena makubwa nikujulishe tu ya kuwa:
Juzi nilipigiwa simu na Mkuu wa Wilaya ya Lindi akinijulisha...
Washauri wa serikali ni lazima tujue hatuwezi kujifungia tu ndani ya Tanzania wakati majirani zetu wana mali ambazo zinachukuliwa na China, US na nchi za EU.
Mimi nafikiri Magufuli anatakiwa...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 6, leo Septemba 5, 2023.
https://www.youtube.com/live/YkO2asiF7_4?si=STtjNXT83a3nETK5
Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Dk Oscar...
Mbunge wa Kisesa Komredi Mpina amerejea jimboni Kwake na kupokewa na maelfu ya Wananchi bila kujali Itikadi za kisiasa
Katika Mapokezi hayo wameonekana pia Wafuasi wa Chadema, ACT Wazalendo, NCCR...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.