Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Salaam wanajukwaa, Kwa muda mrefu jukwaa letu la JF limekua ni sehemu adhimu ya kupashana habari nyeti... mijadala Murua ya kina yenye kuleta tija kwa nchi yetu pamoja na kuwa huru kujadili mambo...
1 Reactions
6 Replies
453 Views
Rais Samia Suluhu Hassan ameonya Wanasiasa, hususani wabunge na Madiwani kuanzisha vijiji katika maeneo ya hifadhi pindi wanapoona chaguzi zinakaribia na hawakubaliki. Rais Samia amesema hayo leo...
0 Reactions
3 Replies
409 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chanzo cha Ziwa Tanganyika kufungwa kwa muda ni kuongeza mazalia ya samaki na si kuwanyanyasa wananchi kama...
0 Reactions
1 Replies
213 Views
Kwa Heshima na kumbukumbu ya Uzalendo wa Mkurugenzi wa zamani wa Upelelezi hayati Arther Mwaitenda ni vema barabara iliyopewa Jina lake pale Bahari beach Ununio iwekwe Lami Ikumbukwe Mzee...
0 Reactions
0 Replies
242 Views
Wakuu Toka Rais wetu Kipenzi Daktari Samia Suluhu afanye mabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuamua kumpumzisha Ndugu Nape Nauye,hatujamuona wala kumsikia hadharani mwanasiasa huyo...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Usiku wa Agosti 03.2024 katika mji wa Sandton, jijini Johannesberg Afrika Kusini, Mtanzania Yericko Nyerere ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya uandishi bora wa vitabu Barani Afrika, tuzo...
15 Reactions
60 Replies
2K Views
HONGERA MWABUKUSI 1. Mshindani wake alikuwa mtu wa CCM. Nilitegemea kuwa kwa MAOVU ya CCM kwa watanganyika, margin ya kura ingelikuwa kubwa sana "kupindukia" kuionesha CCM kuwa haipendwi. Margin...
39 Reactions
122 Replies
6K Views
Nimemsikia Rais Samia Jana, wakati akihutubia wakazi wa Mtibwa -Morogoro, akiwa katika ziara Mkoani humo, akiwatahadharisha wateule wake, hususani walioko Kwenye wizara ya kilimo kuwa chakula ni...
1 Reactions
6 Replies
403 Views
Mbunge wa Kilombero, Abubakar Assenga amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutazama upya bei ya ushuru wa mazao jimboni humo na kutozuia uvuvi wa samaki aina ya mlamukaliandili, ili kuondoa kero kwa...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Kushukuru ni kuomba tena , hongera bwana Mbunge Kwa uungwana . My Take Mama amewafuta machozi ===== Mbunge wa Kilombero Abubakari Asenga, amepiga magoti kumshukuru Rasi Dkt. Samia Suluhu...
-1 Reactions
61 Replies
2K Views
Salaam, Shalom!! Ulipokuwa mbunge kabla ya kupewa Uwaziri ulionekana kama mzalendo wa Kweli Kwa HOJA ulizojenga!! Ulimaanisha nini? 1. Kwamba, mpunga unaweza kuwa mbadala wa sukari? 2. Kwamba...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Karibia miaka 3 sasa lakini suala la kujaza watu kwa mama Samia bado linaonekana shida. Ukiachana na watu wa hamasa wa UVCCM ambao huwa wanatangulia kituo kinachofuata kwa ajili ya kumpokea rais...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Tozo zinawekwa na Halmashauri husikabako bwana Mbunge ni Diwani lakini anakuja kumlilia Rais. ===== WANANCHI WALIA NA TOZO ZA MAZAO KILOMBERO Wananchi wa Jimbo la Kilombero kwa kupitia mbunge...
0 Reactions
5 Replies
402 Views
TAARIFA KWA UMMA Kufuatia Utenguzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania uliofanywa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 23...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Makamu Mwenyeki wa CHADEMA, Tundu Lissu ametoa taarifa za Michango ya Kununua Gari lake ambayo inatolewa na Wananchi ambapo amesema hadi sasa imefika zaidi ya Tsh. Milioni 104. Lissu ameandika...
16 Reactions
56 Replies
3K Views
Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi. Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu...
27 Reactions
282 Replies
15K Views
Leo nina machache ya kusema kuhusu Rais Samia na wale wachache waliodhani mwanamke kutoka Zanzibar hataweza. 🔴Walisema demokrasia itazidi kudidimia na kufa kabisa. ✅Leo uhuru wa vyombo vya...
2 Reactions
5 Replies
389 Views
Uwanja wa Mkapa kwa muda mrefu Sana umekuwa ni kama jukwaa la CCM la kufanyia siasa zake wakati wa mechi za Mpira wa miguu. Imekuwa ni kawaida Kwa Wana CCM kuingia uwanjani hapo na mabango ya...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
Ukiona mkaa mjini ujue miti mingi imeteketezwa. Ukiona minong'ono imezidi ujue kuna jambo halijakaa vizuri na usipokuwa tayari kuziba ufa andaa bajeti ya kujenga ukuta. Missenyi ina shida nyingi...
1 Reactions
6 Replies
576 Views
Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi? Kumbe jibu liko...
11 Reactions
155 Replies
9K Views
Back
Top Bottom