Diwani ni Kiongozi wa ngazi ya Serikali za Mitaa,iweje awe sehemu ya Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge ambao wanawakilisha ngazi ya Taifa?
Madiwani ni kama Wabunge wa ngazi za Mamlaka ya Serikali...
Koplo Ali Mzee ni askari wa mizinga wa Jwtz aliyetungua ndege za wakoloni wa Kireno waliokuwa Msumbiji.
Koplo Mzee alipoteza maisha ktk Mapigano yaliyotokea mpakani na Msumbiji ktk kijiji cha...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa David Kafulila Ameamsha hisia, kuwagusa waheshimiwa wabunge na kuwarejesha mbali sana kihisia. Chuma Kafulila kaliteka Bunge, kalitetemesha na kalitikisa...
Habari kutoka serikali kufuatana na taarifa za leo serikali kwa sasa inawekeza mabillioni ya shilingi kuimarisha bandari ya Mtwara. Shughuli zinazofanyika ni pamoja na kuongeza kina cha maji...
Nimefatilia kwa undani sana huu mdahalo wa TLS election candidates, na namfahamu sana nkuba na bwana boniface mwabukusi.
Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS, huyu bwana...
Nashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria...
Fuatilia yanayojiri kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika 2024 - Dodoma.
Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko akijibu hoja ya Mawakili kukamatwa wanapotekeleza majukumu yao...
HISTORIA FUPI YA JOEL ARTHUR NANAUKA
Joel Arthur Nanauka ametangaza nia ya kuwania ubunge jimbo la Mtwara mjini kupitia CHADEMA. Tarehe 25 June 2015 alirejesha fomu ya kuomba kuteuliwa na chama...
Bila unafiki, ni muhimu kuwatia moyo na kutambua thamani ya CHADEMA katika ujenzi wa demokrasia yetu nchini.Kazi mnayofanya ya kutoa elimu ya uraia kwa wananchi juu ya siasa nchini kwetu,ni muhimu...
Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kinarajia kufanya uchaguzi wake mkuu hivi karibuni Jijini Dodoma kumchagua rais wa kuongoza chama hicho kwa kipindi cha mwaka mmoja
Wagombea halaii...
Salaam Wakuu,
Watanganyika Waishio au wanaofanya kazi Zanzibar tunanyanyasika sana.
Hatuna Uhuru wa kuabudu, kufanya biashara, kujumuika na Jamii.
Watu tunapigwa na kudhalilishwa. Mengi...
Watu watajiuliza kwa nini sasa TLS inakuwa maarufu sana?
Jibu ni moja tu! Umaarufu wa TLS unatokana na vyombo vya kikatiba kushindwa kusimama katika nafasi yake hivyo kupelekea TLS kama watu...
Habari,
Huu ni ushauri kwa Dr. Samia kuelekea uchaguzi wa 2025. Huenda watu wake wanamdanganya "Mama umeupiga mwingi utapita tu" ila kiukweli hupendwi huku mitaani watu wamekata tamaa kuhusu...
Kwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovu,mtu ana mihemko ,hana utulivu wa...
Nashangaa vijana wengi bado wanatembeza bahasha mtaani kitafuta ajira ambazo ki ukweli ni utumwa. Kwa nini msifikirie kutumia hii golden chance ya uwepo wa mama madarakani kujitafutia vya kwenu...
Mnec wa Mkoa wa Iringa Komredi Salim ASAS amesema hapa tulipo Uongozi CCM umekuwa kama Mnada Watu wanapandishiana Dau kwa Wajumbe Ili kuununua
ASAS ameonya hali hii ikiachwa Iendelee itakivuruga...
MBUNGE ZAYTUN SWAI ATIMIZA AHADI YAKE YA MILIONI 12.5 KWA UWT JIJI LA ARUSHA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Seif Swai ametoa Shilingi 12.5 kwa UWT Jiji la Arusha ikiwa ni ahadi...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna kazi ngumu na nzito na yenye majaribu mazito na mitihani ya kila aina na yenye kukuweka roho juu juu na presha muda wote basi kazi hiyo ni ya Urais. ni kazi...
Ni dhahiri atatulia na atapoa sana, atabadilika mno, anaweza kupoteza ufuasi lakini pia anaweza kuongeza uungwaji mkono.
Ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye...
Morogoro region is the legend town soon to be called a city!
My memories tell me this...Morogoro used to be a city of all vibes ranging from variety of sports,sport persons and other entateirment...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.