🗓️ 3 AUGUST 2024 🗒️
Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Jana ametembelea GEREZA LA NYAMISIVYI {W} Kibondo, lengo ikiwa ni kuwaona wafungwa na kuwapa sabuni kwa ajili ya...
Na kwamba baada ya Tuzo hizi Zinazodaiwa kuambatana Rushwa ya hela, kuna Mwandishi yeyote hapo Mbeya atakayeandika Ukweli mchungu kuhusu huyu Mbunge?
Ni lazima Mamlaka ikemee kitendo cha Kila Mtu...
Rais Samia Suluhu Hassan Serikali amesema Serikali ina mpango wa kuzifungamanisha huduma za Usafirishaji wa Treni za Reli ya TAZARA na za Reli ya Kisasa za SGR ili kuongeza ufanisi na kurahisha...
Binafsi sielewi kwanini CHADEMA wanaamini katika haya maridhiano wakati swala dogo kabisa Kama la viti maalumu wanadai kuwafukuza wakiwa bungeni. Kesi mahakamani haiishi na wanaendelea kuwa huru...
Taarifa za Ndugu zake na Viongozi wenzake wa Chadema zinaeleza kwamba leo ni siku ya 8 tangu atekwe na waliojitambulisha kama maofisa wa Polisi kutoka Ofisi ya RPC.
Dioniz Kipanya ni Katibu...
Huenda hii siyo ndoto yako lkn naleta kwako mawazo YANGU.
Kila unaposimama unaonekana
Kila unalofanya linaonekana
Kila kijiwe na senta jina lako limekaa kwa vichwani mwa watu
Amini, watakalo...
Kama unaweza kujichotea mabil ya pesa na hakuna mtu wa kuhoji. Kwa nini usiwe mwenyekiti wa kudumu maisha?
Hata kama utatambua kuwa kupata hata madiwani na wabunge ni ngumu maaana wananchi...
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Rais wa chama cha Wanasheria nchini TLS, Wakili Sweetbert Nkuba amekataa kutambua ushindi alioupata mpinzani wake wa karibu Mwabukusi kwa madai ya ukiukaji wa...
Kwa maoni yako ya kutaka Wakili Nkuba akubali kushindwa kwenye uchahuzi wa Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) ulifiofikia tamati siku ya jana, jiandae kutenguliwa nafasi yako wakati wowote...
Technocracy ni nini ?
Technocracy is a form of government in which the decision-makers are selected based on their expertise in a given area of responsibility, particularly with regard to...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema Ili kumzuia mchungaji Msigwa kuendelea kuwadanganya Wananchi kuhusu ufujaji wa rasilimali za Chama ni vema Katibu mkuu mh Mnyika akamjibu...
Wabunge wetu Wana shughuli zao nyingine zinazowaingizia kipato kama Biashara, Kilimo n.k lakini wanalipwa mishahara minono na Serikali na Vyama vyao vinapewa Ruzuku kila mwezi.
Sasa kwanini...
Yaani kama ulitoka nje ukashuka airport Dar miaka 8 iliyopita, ukashuka miaka mitano iliyopita na ukashuka leo, unakutana na barabara ni lami siyo lami, vumbi tupu, makorongo matupu, mitaro ya...
Sabato Njema!
Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi...
Hii ni dhahiri kuwa hayupo serious na maisha ya wananchi. Zaidi ya kampeni za chinichini alizoanza kwa kulaghai wananchi ili wajazane kila anapopita.
Mradi wa Kidunda una umuhimu sana kutatua...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro. Ziara hii ni muendelezo wa ziara zake za kutembelea mikoa mbalimbali ya Tanzania kwa ajili ya kuzindua...
UPDATES:
Kama ilivyotarajiwa na wengi, Adv. Boniface Mwabukusi akiwakilisha young lawyers maarufu kama GEN Z - CHADEMA ameshinda kwa kishindo kikuu na kuwa Rais wa TLS kwa miaka mitatu 2024 -...
Kufanya Uchaguzi Mkuu tarehe 25|10|2025 kwenye nafasi ya Urais wa JMT ni matumizi mabovu na mabaya ya pesa za walipa kodi hawa wachache na masikini kabisa.
Kama Fedha ya Uchaguzi ni zaidi ya TZS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.