Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Kampeni ya TUTUNZANE MVOMERO 2023-2028 wilayani Mvomero mkoani Morogoro inayohamasisha wafugaji kufanya ufugaji wa kisasa ikiwemo kuwa na maeneo yao ya kulima...
0 Reactions
2 Replies
347 Views
Sipo hapa kudhibitisha hili..hili lipo wazi na lishadhibitika mara nyingi sana. TLS ashawahi shinda Lissu Jana kashinda Mwambukusi hawa wote waliwabwaga Machawa wa Ccm. The same Madaktari...
2 Reactions
13 Replies
708 Views
Tukipoteza woga wetu wanapoteza nguvu zao, Ushindi wa wakili Mwabukusi umeshangiliwa na watu wengi, hii ni ishara kuwa Wanaoisapot CCM ni wale wanaonufaika nayo tu ambao kimsingi ni wachache...
21 Reactions
98 Replies
4K Views
Salaam, Shalom!! Nachukua wasaa huu kuwaamsha wote waliokata tamaa, wote walioapa hadharani kuwa hawatashiriki kupiga kura wengine wakachoma kadi za kupigia kura, baada ya matumaini Yao ya...
0 Reactions
7 Replies
374 Views
GTs, Ni heshima iliyoje kuona haki imetendeka na tena kwa uwazi kabisa kwa kijana Wakili Mwambukusi kuibuka mshindi. Ni dhahiri Wakili Nkuba hakuwa kabisa na uwezekano wa kushinda. Najua michezo...
22 Reactions
33 Replies
2K Views
Huyu jamaa anapendwa Sana na namuona mbali Sana katika nchi ya Tanzania. Kafanikiwa kuondoa habari za simba na yanga nchini yeye ndo amekuwa habari kuu Namuona Bungeni Namuona Ikulu Namuona...
3 Reactions
5 Replies
330 Views
4. Objects The objects for which the Society is established are: to maintain and improve the standards of conduct and learning of the legal profession in Tanzania; to facilitate the acquisition...
1 Reactions
31 Replies
1K Views
Nikizungumza na Rafiki zangu kadhaa walioko bungeni wamenieleza hofu yao kufuatia Ushindi wa Mwabukusi hapo TLS. Wameniambia iwapo wapiga kura majimboni watabeba Ujasiri wa Wapiga kura wa TLS...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Boniface Kajunjumile Asinyile Mwabukusi akianzisha chama chake nje ya vyama vilivyopo vinavyotumia "surname" kwa ajili ya kusurvive akitanguliza maslahi ya Tanganyika basi asubuhi sana...
1 Reactions
1 Replies
290 Views
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Msomi Julius Mtatiro amesema yeye kama Kampeni Meneja wa Wakili Nkuba amemshauri asiliendeleze suala hilo. Mtatiro kupitia ukurasa wake wa X amesema Uchaguzi...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Ishu kubwa jamaa anaonekana kwenye jamii kama mtu mwenye uchungu na rasilimali za umma. Ndo maana hata raia wa kawaida wanamtakia awe kiongozi wao. Hata 2025 atashinda urais ikiwa hakutakuwa na...
11 Reactions
34 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimekaa nikawaza ,kufikiria na kurudisha kumbukumbu nyuma mahali tulikotoka ,tulipo na tunakokwenda na kufikia hatua kusema kuwa kwa hakika Watanzania bila kujali itikadi...
5 Reactions
107 Replies
1K Views
Baada ya kusoma HUKUMU ya Leo, nimegundua kuwa team ya Wazalendo under MWAMBUKUSI imeshinda ushindi wa Awali ingawa referee ameonekana kuonyesha kuwa Hana uwezo wa Kutoa ushindi. Hoja zifuatazo...
11 Reactions
48 Replies
4K Views
Moja ya sababu kubwa anayolalamikia Wakili msomi Nkuba ni Taarifa za Matokeo kuanza kutolewa kabla Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Hajatangaza. Nkuba anaamini kabisa matokeo halali ni yale majumuisho...
8 Reactions
14 Replies
969 Views
Salaam, Shalom! Kuna uvumi na tetesi zinaendelea kuwa wanasheria Toka Zanzibar ambao Wana chama Chao, kuwa wameletwa Dodoma na Serikali pia kupiga kura, wamelipiwa Kila kitu, Ili mtu wa Serikali...
1 Reactions
6 Replies
623 Views
Wakili Mwabukusi aapishwa rasmi kuwa Rais wa chama cha Wanasheria Tanganyika. Wakili Boniface Mwabukusi ataendesha chama cha Wanasheria Tanganyika kwa Miaka mitatu. Uapisho huo umefanyika katika...
16 Reactions
52 Replies
3K Views
Ushindi wa Mwabukusi huko Dodoma kwa hakika utaleta mambo mengi ya kufikiri. Moja, TLS sasa ina vijana na wamemchagua kijana mwenzao. Pili, uchaguzi huu umefuatiliwa kwa makini karibu sehemu...
15 Reactions
62 Replies
3K Views
ZIARA YA RAIS DKT. SAMIA MKOANI MOROGORO LEO TAREHE 03 AGOSTI, KUFANYA YAFUATAYO: ▪️Kuzindua Kampeni ya Tutunzane Mvomero Uwanja wa Sokoine Mvomero. ▪️Kuzindua Bwawa la Umwagiliaji la Kiwanda...
0 Reactions
3 Replies
507 Views
Habari za Leo wananchi! Hali inayoendelea katika nchi yetu katika HUDUMA afya baada ya kushuswa bei za Bima NHIF kutokana na Maboresha HUDUMA katika hospital zetu zinazidi kuwa mbaya, Hospital...
6 Reactions
12 Replies
861 Views
Kwa ubaya wanaofanyiwa watanzania na CCM lakini wametulia tuliii... Inashangaza Sana. Hadi nawaza ni kitu gani kibaya ambacho CCM hawajawafanyia wabongo kitakachowakera awa watanzania wenzangu...
6 Reactions
32 Replies
726 Views
Back
Top Bottom