Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kuna hii "Clip" hapo chini ambayo imeigizwa na wale watoto wa Uganda walioigiza jaribio la kuuawa Kwa Donald Trump wa Marekani. Clip hiyo inaonesha utofauti uliopo kati ya wasudan wakiandamana na...
11 Reactions
22 Replies
954 Views
Namshauri huyo anayejiita Mchungaji Msigwa kuwa wakati anaitangaza vibaya CHADEMA iliyomlea na kumkuza kisiasa awe anasema na yale aliyofanyowa na serikali ya CCM wakati akiwa CHADEMA ikiwa ni...
5 Reactions
9 Replies
454 Views
Habari za Wakati huu? Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na mapambano yenu ya kimaisha. Kwanza nitumie Fursa hii kumpongeza Wakili Msomi Boniface Mwabukusi kwa kufanikiwa kushika kiti...
0 Reactions
12 Replies
895 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyakazi wa Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa mara baada ya kuzindua Bwawa la...
0 Reactions
0 Replies
392 Views
Kumradhi wanabodi kuuliza si ujinga naona tu nguvu nyingi sana zina tumika kuhakikisha TLS Inapata kiongozi fulani. Pengine tofauti na jumuiya zingine nyingi ambazo wahusika huchaguana tu na sa...
0 Reactions
5 Replies
335 Views
Hapa Tanzania bado hatujawa na mirengo imara ya siasa, Ukienda nchi zilizoendelea utakuta kuna vyama vyenye mrengo wa kulia mifano yake ni vyama vya kihafidhina (rightists) kama Conservative ya...
2 Reactions
2 Replies
167 Views
HAPPY SIMBA DAY Mnajua mimi sio mwanasimba; Lakini buana, 1) Simba wameasisi hii mambo ya Matamasha ya Vilabu- hili ni jambo zuri. 2) Wameset viwango vya mechi na mafanikio Kimataifa na Mimi ni...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
MBUNGE MARTHA MARIKI AKEMEA VIKALI WANAFUNZI WA KIKE KUKATISHWA MASOMO, ACHANGIA MILIONI MOJA MBUNGE MARTHA FESTO MARIKI, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi Amechangia Shilingi Milioni Moja...
0 Reactions
0 Replies
180 Views
Kazi hii ya kutukuka imefanyika ndani ya kipindi Cha miaka 3 ya Uongozi wa Rais Samia huku akihakikisha Kila Halmashauri ya Wilaya imepata Hospitali Mpya. Ikumbukwe Tanzania Ina Jumla ya...
1 Reactions
2 Replies
358 Views
Huu ushindi utarejesha imani kwa wananchi kuwa CHADEMA sio Saccos? Kwamba Mwabukusi atasaidia kufuta upigaji wa Mbowe wa michango ya Wabunge na wanachama alizokwapua (Shahidi ni Msigwa) Kwamba...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezungumza na wananchi wa Dumila mkoani Morogoro na kuwaunga kwa kununua nyanya, bamia, tangawizi, mahindi yeboyebo na vitu vingine vilivyokuwa vikiuzwa na...
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakuu kwa Sasa masikio yote yapo Dodoma kwenye mkutano wa mawakili na katika mkutano huo umefanyika uchaguzi ambao matokeo yake yanasubiriwa kwa hamu sana. Maswali yangu kwa wajuzi: 1.Kwanini hii...
5 Reactions
22 Replies
941 Views
Nakiri wazi kabisa kwamba baada ya Uongozi wa Fatuma Karume na Tundu Lissu kumalizika , TLS iliuawa, Edward Hosea na Huyu Sungusia ni kama walikuwa Mamluki waliokuja kukiua hicho chama cha...
10 Reactions
45 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Muwe Mnaelewa tunapowaambia ya kuwa Rais Samia anakubalika,kupendwa na kuungwa mkono ni haijapata Kutokea. Amekaa katika mioyo ya watu mpaka watu wanabubujikwa na machozi...
6 Reactions
102 Replies
3K Views
Kuna taarifa kuwa stesheni za SGR zitapewa majina ya marais wetu. Huu ni muendelezo wa karibu kila kitu cha maana kupewa jina la aliyekuwa Rais (hivi karibuni ni Rais aliyekuwa madarakani). Tuna...
11 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakili Msomi Tundu Antipas Lissu amesema Mawakili wa Tanzania hawawafikii Mawakili wa Kenya kwa hatua 100 Source: Mwanzo TV Plus. Soma zaidi: Uchaguzi wa Rais TLS: Nani kuibuka kidedea Urais TLS...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Kwamba hawa nao tumawapa majukwaa ya kisiasa na kuwashangilia? Kwamba tuna hata wenye kujidhania kuwa ni wenye hoja kuliko hata wenye CV zao zinazojulikana kimataifa? Kwamba tumefikia hatua ya...
2 Reactions
45 Replies
848 Views
Aisee, Naomba nitoe pole kwa watumiaji wa huu usafiri. Binafsi nilikuwa najua ni changamoto kidogo tu na kuona kama vile wabongo tunapenda kulalamika, Nimenyoosha mikono leo. Kwenye kituo kuna...
21 Reactions
69 Replies
3K Views
Ndugu Rais wa TLS sisi watanzania wapenda haki tunaomba uanze na haya: 1. Shambulio la Tundu Lissu 2. Kupotea kwa Ben Rabiu Saa nanena Azory Gwanda. Ishinikizeni serikali juu ya masaibu...
-1 Reactions
8 Replies
710 Views
Bendera ya taifa la Tanzania inalindwa na katiba imo ndani ya katiba ya Jamuhuri ya Tanzania kwa kutaja rangi ilizonazo na vipimo na uwekaji miraba ya hizo rangi. Ilitokea Zanzibar ambako kwa mara...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom