Uchaguzi wa TLS umekuwa na mafunzo mengi, baadhi yakiwa wazi. Kwa mfano, juhudi kubwa zilizofanywa kumzuia mmoja wa wagombea wa nafasi hiyo asiwemo kwenye kinyang'anyio.
Kampeni zilipoanza...
Kwa Taarifa nilizonazo ni kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu anapanga kufafanua na kupangua Upotoshaji wa Mzee Kinana, huu alioutoa leo kwa Waandishi wa Habari.
Hatuna haja ya...
Kwako mbunge wa Bumbuli January Makamba,
1. Uliwaahidi kuwatengenezea uwanja pale Toghotwe! Ukaishia kuuchimba uwanja ule bila kuumalizia hilo haliwezi kukuacha salama. Ni bora ungeuacha...
Kwema Wakuu!
Nafikiri kuna umuhimu wa kubadili sheria na kuweka sheria mpya kuwa Mbunge wa eneo Fulani asiongoze eneo hilo Kwa zaidi ya Miaka Kumi. Awamu Mbili zinatosha Kabisa kuwakilisha...
Kwanza itakua ni wendawazimu mkubwa Kwa WATU tunaowaita Mawakili kua Wala Rushwa na Kupokea Rushwa ili mradi kura wampigie mtu anayetakiwa na Serikali.
Pili, Ni Ujinga wa kiwango Cha juu sana...
Wanajamvi, kama sote tujuavyo, nchini kwetu Jana palifanyika uzinduzi rasmi wa reli ya viwango vya kimataifa (SGR) sambamba na mabehewa na train za umeme za kisasa. Mgeni rasmi katika shughuli...
Rais Samia ameandika kupitia X
Asante Badru & Mika. Furahia safari yako na mashambani. Nina habari njema kwako. Ujenzi wa sehemu za Isaka-Mwanza & Tabora-Isaka unaendelea, na Mungu akipenda zote...
Wanabodi,
Utangulizi
Tuanze na background issue ni Askofu wa Kanisa la FGBF, Askofu Mkuu, Zakaria Kakobe, amezumza kwa ukali kabisa kumwambia rais Magufuli ni mdhambi na kumtaka atubu, na asipo...
MWENGE WA UHURU MUSOMA VIJIJINI: MIRADI YA THAMANI YA TSH 3.5 BILIONI YAKAGULIWA NA KUKUBALIKA
Mwenge wa Uhuru ulipokelewa kwa shangwe nyingi mno kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Musoma...
Tarehe 01 Agosti, 2024 rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasani amesafiri kwa Treni ya kisasa ya SGR kutoka Darisama kuelekea Dodoma kwenye uzinduzi wa safari kutoka Dar Es...
Ukweli ni kwamba wakati dunua inaachana na treni za kizamani,hata sisi kama Taifa katika huu ulimwengu hatuwezi kubaki nyuma ni lazima na sisi tuende sambamba na wenzetu ingawa sisi tunaweza kuwa...
Najaribu kuwaza tu kwa sauti JPM angekuwa bado yupo hali ingekuwaje mpaka sasa.
Kwanza wawekezaji wote wameshakimbilia kenya au kwingineko tofauti na sasa ambako wawekezaji wanatoka kenya kuja...
Hayati Magufuli aliipiga marufuku biashara ya jongoo wa baharini ambayo kwa kiasi kikubwa inafanywa na raia wa China. Kwa Wachina jongoo bahari ni chakula murua (delicacy), na pia ana matumizi...
Hebu fikiria kuna wananchi wanafurahia kupandishwa ndege na kwenda kutalii nje ya nchi. Na wengine kupewa ahadi za kuwa viongozi. Wengine kusafirishwa kwa kupanda treni mpya. Naandika haya huku...
..Tundu Lissu amesema Mawakili wana wajibu kutetea nchi na wananchi.
..Mawakili hawapaswi kukaa kimya wakati haki za wananchi zikikanyagwa.
..Msikilize hapa chini akifafanua wajibu wa chama cha...
Mheshimiwa rais,
Tayari tuna ndege, treni na mabasi ya mwendokasi. Tayari tuna miundombinu mizuri na adimu katika bara la Africa kama viwanja vya ndege, SGR na BRT.
Lakini bado huduma katika...
Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kinarajia kufanya uchaguzi wake mkuu hivi karibuni Jijini Dodoma kumchagua rais wa kuongoza chama hicho kwa kipindi cha mwaka mmoja
Wagombea halaii...
Hili ndio bandiko lake kutoka Account yake ya X
NGEDERE NA BUNDI WAOKOA MABILLIONI YA PESA UNUNUZI WA TRENI ZA SGR.
NGEDERE mmoja na BUNDI mmoja jana maeneo ya Kidete wilaya ya Kilosa ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.