Alianza Waziri wa Nishati January Makamba kuwadanganya watanzania kuwa mgao wa umeme unaotikisa nchi kwa sasa unatokana na awamu ya tano kuzuia maintanance baada ya hayati Magufuli kusema hataki...
Kama mtu umefanya biashara nchi hii utagundua kwamba aliyetunga sheria zingine za kodi hajawahi hata kuuza karanga.
Sheria za kodi na kanuni zake zimelalamikiwa kwa miaka nenda rudi, huku TRA...
Kwa Mbungi linaloendelea ndani ya CCM sijui kama hakutakua na kumalizana Juu kwa Juu inaonekana huku ambako ni makazi mapya ya Bwana Msigwa kunawaka moto kuliko Kule alikotoka bwana msigwa.
Hali...
Mbowe licha ya kupata ziro form six, kuuwa chama kutoka wabunge 100 hadi 1, kushindwa kujenga ofisi ya chama lakini bado kuna kikundi kikiongozwa na Erythrocyte kina amini Mbowe ni bonge la...
Wanabodi, kama kawaida yangu, nipatapo nafasi, huzungukia maeneo mbalimbali ya nchi yetu kushuhudia haya na yale.
Leo nimepata fursa kushuhudia shamra shamra za mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Mkoani...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Majaji 6 na Mwenyekiti wa Baraza la Maadili leo Mei 23, 2023, Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Walioapishwa ni;
A...
RAIS SAMIA TUVUSHE,MATOKEO TUMEYAONA .
Na.Amon Nguma.
Uhai na uendelevu wa viumbe hai na jambo lolote lile Duniani halitegemei uzao tu au mwanzo wake bali ni uwezo mkubwa wa kulinda uhai wa...
Kufuatia agizo lililotolewa na Serikali kupitia kwa Waziri wa TAMISEMI nchini Mhe Mohamed Omary Mchengerwa,
Agizo hilo limeitaka DART kuhakikisha inakamilisha taratibu zote za Ubia na Mbia wa...
Wakuu. Hii SGR imeanza kwa mbwembwe nyingi kama zilivyoanza kampuni nilizozitaja hapo juu zikisimamiwa na serikali kama DART ambayo ilianza kwa mbwembwe nyingi kama SGR ikuwa na mabasi ya kisasa...
Naam
Kesi ya ngedere imesumbua sana sana hadi LYAKATA akaamua achague Makuhani wa Ukuu! Lakin Kuhani Mkuu hayupo kwenye kikosi! Wakati kesi kila siku anayo huyo Kuhani mkuu,
Hii ina maana gani...
Kwa watoto wadogo na wasiojua mambo wanadhani hayati Magufuli alianza kuwa mkali alipokuwa rais wa nchi tu wakati ukweli ni kwamba Magufuli alikuwa mkali na mfuatiliaji tangu akiwa naibu waziri...
Ununuzi wa umma unachukua sehemu kubwa ya matumizi ya Serikali barani Afrika, ikihusisha zaidi ya asilimia 70 ya bajeti ya nchi. Hii inatoa fursa kubwa lakini pia inakabiliwa na changamoto nyingi...
MTI WA MBUYU KATIKA KITUO CHA MBUYUNI HAUTAATHIRIWA NA UJENZI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT 4), JIJINI DAR ES SALAAM
Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa...
Nchi ni ya watanzania wote bila kujali vyama vyao wala chochote
Rais akishaapishwa anakuwa kiongozi wa nchi sio wachama hivyo anakuwa kiongozi wa watu wote
Kwa msingi huo watu wote ni mali ya...
Gazeti la Raia mwema la leo limekuja na ufisadi wa kutisha uliofanywa na shirika la Tanesco kwa miezi kumi iliyopita kwa kutumia zaidi ya billioni 61 kwa kulipana posho viongozi wa shirika hilo la...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tarehe 29 Julai, 2024 wakati wa Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangaza...
Katika kikao cha Bunge kilichomalizika hivi karibuni walitunga sheria ya kuruhusu National Food Reserve Agency (NFRA) kuagiza sukari toka nje ya nchi. Je sheria hiyo imekwishasainiwa na Mhe. Rais?.
Rais Samia leo akiwa anaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa barabara za pete(ring road) jijini Dodoma amesema bado sauti ya mtangulizi wake hayati Magufuli anaisikia ikimtaka akamilishe miradi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.