Megati 222 = trilion 1.4?( bwawa la makamba)
Vs
Megawat 2225 =trilion 6( bwawa la magufuli)
Hata mwenye akili ndogo ameelewa huu upigaji
Waziri wa Nishati, January Makamba amefika kwenye...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewaomba Wakazi wa Ukonga kumshika Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia ni Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Jerry Silaa kwakuwa ni Waziri...
Itoshe kusema Tulia Ackson anavyoandika na kuposti mitandaoni havina vinakinzana na madaraka aliyonayo. Nikiangalia page zake zina picha zake akiwa kwenye maeneo mbalimbali; lakini picha hizi kwa...
Kampuni ya Indiana ilipewa lesesi ya kutafuta madini na kuanzisha mgodi. Ikafanya hivyo kwa gharama zake tena gharama kubwa.
Tanzania kama taifa tukatumia Resource nationalism bullying...
Nawachukia sana wapinzani. Wapinzani wamekuwa watu wa hovyo sana nchini. Hawana jambo zuri hata siku moja kama ambavyo serikali yetu haina jambo baya hata siku moja.
Ila naona awamu hii wamefika...
Jimbo linahitaji Kiongozi mwenye maono. Nawe Ni mtu sahihi
NB: Victor Tesha ni makamu Rais wa Federation of Miners Association of Tanzania maarufu kama FEMATA na pia ni Managing Director wa Isale...
Tunaomba Rais atembelee maeneo yaliyotajwa hapo juu.
Maeneo hayo wananchi Wana umri wa miaka 60, hawajawahi kuona sura ya lami.
Maswali ni mengi kuliko majibu.
Maana kulizuka mambo ya ooh sijui ataweza mara mwanamke mara sijui nini na ujinga mwingine mwingi kama huo.
Lakini Samia alilijua Hilo mapema na aliwahi kuongea hususani wakati anatoa mada kule...
Ziko taarifa kuwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe anatajia kujiuzulu wadhifa wake wakati wowote kuanzia sasa kumfuata mjomba wake Kinana aliyejiuzulu jana.
Sababu zinazotajwa ni kutokana na...
Kutoka Sumbawanga Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dotto Biteko ameweka Jiwe la Msingi la mradi mkubwa wa umeme unaojulikana kama TAZA.
Mradi huo ukikamilika Itaunganisha Mkoa wa Rukwa...
Akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho unaofanyika leo, Alhamisi Agosti 01.2024, jijini Dodoma, Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) Wakili Harold Sungusia amesema...
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) nchini Tanzania ina majukumu muhimu katika usimamizi na utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Majukumu yake ni pamoja na:
Utoaji wa Mikopo...
Mawakili wa Luhaga Mpina wanazungumza na waandishi wa habari muda huu.
https://www.youtube.com/watch?v=a5iWi_n2I8M
Pamoja na nambo mengine, mawakili hao wamesema mojawapo ya kesi zilizofunguliwa...
TAARIFA YA UFAFANUZI YA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU SINTOFAHAMU INAYOENDELEA JUU YA SAKATA LA UTOAJI WA VIBALI VYA KUINGIZA SUKARI KUTOKA NJE YA NCHI NA HATMA YA...
Ukweli huu Kuna kundi la watu Huwa hawataki Asante sana JK Kwa kuweka mambo hadharani 👇👇
https://twitter.com/mamanafanikisha/status/1818568426115260588?t=D2CN2fHPvVBoX3HjF4w7KA&s=19
Rais...
Wanabodi,
Hili ni bandiko kuhusu kitu very serious kuhusu mustakabali wa taifa letu na vipaumbele vyetu ambapo CAG Prof. Mussa Asad amekisema!. Kama hii ni kweli, then, this is not right at all...
Wengi wanaoteliwa na Rais, ndio mfumo tulionao. Hiki kitu siyo kibaya, tatizo linalotokea ni watu kufanya kazi kwa uoga na hofu. Anaamka asubuhi anakwenda ofisini hajui jioni kama atakuwa ana hiyo...
Rais Samia
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku sita mkoani Morogoro mwanzoni mwa mwezi Agosti mwaka huu.
Akitoa taarifa ya ziara ya Rais Samia, Mkuu wa Mkoa wa...
Kupitia kada wake mwandamizi ndugu Ntobi, CHADEMA imewakaribisha wanaCCM waliotumbuliwa kujiunga na chama chao wapige kazi.
=========
Kupitia ukurasa wake wa X (Zamani Twitter) kada huyo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.