Nimefurahishwa na hatua ya Rais ya kuunda Tume ya Kutathmini na kushauri kuhusu masuala ya kodi,yaani" Presidential Commission on Tax Reforms" nchini. Ninayo maoni na ushauri wa jumla kama...
MATENDO NA TABIA za Bwana Luhanga Mpina ni kama mbwa mzee ambaye amejichokea kuishi sasa anatafuta sababu za kufa ndiyo maana anajilaza barabarani kila mara ili magari yamkanyage afe lakini...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa rasmi ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai hapa Nchini, kutoka kwa Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed...
Namba hazidanganyi hata kama akishinda kwa halali bado sifa yake ya kuwa mwanachama wa chama cha mapinduzi inaonekana kama imemchafua.
Siku hizi ukiwa kijana na ukawa mwanaccm jamii na vijana...
Akiwasilisha Mapendekezo mbele ya Rais Samia, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed O. Chande amesema wamebaini hayo baada ya kuhoji Watuhumiwa katika Vituo 46 vya Polisi Nchini...
Rev. John E. Kimario
Watu wa Mungu, watanzania wenzangu nawasalimu kwa upendo na kwa jina lipitalo majina yote. Kama tujuavyo HAKI HUINUA TAIFA, leo natuma waraka huu kwenu ukazidi kuifanya haki...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai chini Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 31 Januari, 2023...
Ingawa mimi si mwana-CCM au mwanachama wa chama chochote cha siasa ndani na nje ya Tanzania, tangu utoto wangu nimekuwa nikifutilia siasa. Nikiwa na zaidi ya miaka 40 hapa duniani, nimekuwa...
26 February 2024
PROF. JUMA - HAKI SIO USHINDI, BALI NI USHAHIDI ULIOLETWA MAHAKAMANI UKAWEKWA KATIKA MIZANI
https://m.youtube.com/watch?v=STdxA1gIJ7c
Video courtesy of millard ayo
Na Mary Gwera...
NB: Naomba hii mada ijadiliwe na watu wenye uelewa sio kila mada ina mrengo wa utani na masihara. Kama huna hoja ukae kimya ujifunze.
Wadau nimeona katika teuzi za leo Bw. Daniel Chongolo former...
PDF mmelishuhudia bibie Zuhra OUT. Sasa ni zamu ya Kikeke.
Pia soma
Lakini kusema ukweli Zuhura hakutosha ile nafasi! Kitu pekee aliongeza ni Press tu, kwenye Branding alifeli
Zuhura Yunus...
Ni kitambo sasa tangu tumuone akiwa bega kwa bega na Rais Samia kwenye ziara za kimataifa, kama inavyopaswa kuwa.
Na Pia katika shughuli zingine za kidiplomasia, ndani ya nchi kama...
Ni dhahiri kwamba Emmanuel Nchimbi hana ushawishi wowote wa kisiasa ndani na nje ya ccm, hana ushawishi Jukwaani wala ofisini (Haifahamiki waliomteua walilenga nini), Matokeo yake ndio haya ...
Nasikia fagio la Mama laelekezwa kwa Amos Makalla.
Inasemekana ni askari mtiifu wa Msoga na aliwekwa na Mzee Kinana.
Pia soma: Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia...
Sasa hivi CCM inazungumzwa kila mahali kwenye mitandao, mashambani, maofisini na hata kwenye mikutano ya wapinzani wenyewe wanaizungumza CCM.
KATIKA hili wacha tukipongeze kitengo cha propaganda...
Hivi hapa Tanzania, vyuo vingine havinaga wasomi na maprofesa , maana kila teuzi ni wasomi na maprofesa kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Nyie vyuo vingine serikali wasomi wenu vipi?
Taarifa yake hii hapa
===
“Niliahidi kwenda Mahakamani, naomba kutoa taarifa kwamba ndani ya Saa 24 nitakuwa nimeshafungua kesi zote zinazohitajika kama ifuatavyo, kesi dhidi ya kupingwa...
Katibu Mkuu wa UVCCM mh Jokate amesema Bodaboda Ndio Injini ya Ukuaji Uchumi wa taifa letu
Ndio Sababu Serikali ya Awamu ya 6 ya Rais Samia Inawapenda, amesisitiza Boss huyo wa UVCCM
---
Katibu...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
Hii ndio kauli mpya kutoka kwa Waziri wa Uchukuzi Mh Makame Mbarawa
HATA HIVYO MIMI NAPINGA JAMBO HILO KWA NGUVU ZOTE NA NITAHAKIKISHA HALITEKELEZWI KWA SABABU HALINA MAANA YOYOTE KWA WANANCHI NA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.