Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mbunge wa Mchinga, Hamidu Bobali (CUF) amesema kuwa CCM iliahidi kumpa TZS milioni 200, sambamba na kuteuliwa kuwa Naibu Waziri, kama angeridhia kujiunga chama hicho. Akiwa katika mkutano wa CUF...
28 Reactions
95 Replies
12K Views
Chadema Kanda ya Nyasa ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoa wa Njombe, Rose Mayemba, Inaingia Jimbo la Ileje kwa kimbunga cha Mikutano ya hadhara mfululizo yenye lengo la kukata mnyororo...
2 Reactions
6 Replies
514 Views
Mimi nipo kuwatetea Watumishi wa Umma. Hawa ni walimu Madaktari, wauguzi, manesi nk. Hawa ni watu muhimu sana katika jamii. Katika mikataba yao ya kazi kuna kipengele kinachosomeka "Your...
11 Reactions
37 Replies
1K Views
Huyu ndiyo Mwabukusi bwana. Ama kweli Tanzania tuna watu ila hawatumiwi vizuri TLS inamfaa sana.
21 Reactions
57 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wanajukwaa, kumekuwepo na sifa kedekede kwa Mbunge Luhaga Mpina kwa kinachoitwa uzalendo na uchapakazi. Lakini kinyume na wengi humu, sijawahi kukubali aina za siasa za Mpina...
7 Reactions
126 Replies
3K Views
Katika Mkutano wake na Mchifu leo Rais Samia atoa wito kwa machifu wawaelimishe Wanasiaa kuwa vyeo havipitani kwa kuua watu wala kutumia viongo vyao. Akiongeza kuwa uonozi unatoka kwa Mungu...
4 Reactions
85 Replies
3K Views
Mathalani, Ripoti ya Kielelezo cha Ufisadi wa Mwaka 2022 inaonesha kuwa nchi nyingi zinashindwa kukomesha ufisadi. Kielelezo hiki cha Ufisadi hupanga nchi na maeneo 180 Duniani kwa viwango vyao...
2 Reactions
0 Replies
198 Views
Leo RCO amenyima dhamana na mahakama ipo imetulia tu. Wakati haya yanafanyika kuna watu wamelipwa mabilioni kuandaa ripoti ya haki jinai. Unajiuliza tafsiri ya haki jinai ni nini? Je RCO anaweza...
4 Reactions
14 Replies
891 Views
Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, inayoendelea katika mikoa ya Kusini, akianzia Mtwara na sasa yuko Lindi, imewahamisha viongozi waandamizi wa...
2 Reactions
11 Replies
589 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akishiri Kilele cha Kumbukizi ya 3 ya Urithi wa Benjamin William Mkapa katika Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam, leo tarehe 31...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Baada ya Kukatwa Lowassa akajiendea zake CHADEMA. Baada ya Uchaguzi Rostam akamrejesha CCM na kumkabidhi kwa Shujaa Magufuli na Komredi Polepole. Shujaa Magufuli Ndiye aliyefungua kiwanda cha...
0 Reactions
2 Replies
530 Views
Mi sijui sana sheria ila naomba kuelimishw akuhusu hilo mana politics is thw game of all possibles.
8 Reactions
32 Replies
1K Views
Ameandika Dr. Sisimizi Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo...
20 Reactions
229 Replies
22K Views
Huduma za kuingia na kutoka Zanzibar zipo tofauti Sana na huduma za viwanja vingine vya ndege Duniani. Nadhani mentality ya wizi au Rushwa umepelekea serikali ya Zanzibar kujaza taasisi nyingi...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Dunia inabadilika sana, inakwenda kasi sana. Siyo Dunia ya busara na heshima tena bali ni Dunia ya akili mpya zinazoweza kutatua changamoto. Hakuna Sehemu Duniani maendeleo yanaletwa na busara na...
0 Reactions
1 Replies
211 Views
Nchi yetu wakuu wa taasisi na vyombo vya ulinzi kwa miaka ya karibuni awastaafu ila wanabadili kazi. Wanastaafu leo kesho anateuliwa mjumbe wa bodi au balozi. Matokeo ya mfumo huu hakuna kiongozi...
0 Reactions
1 Replies
240 Views
Yaani bajeti mnapitisha mwezi wa 6, mnafunga mfumo mwezi wa 6 mwishoni mnakuja kufungua mfumo mwezi wa 9. Hapo hamjali kua kuna kandarasi wanadai, kuna watoa huduma wanadai, kuna taasisi zinadai...
7 Reactions
17 Replies
920 Views
Jamani kama kuna wazee hili Taifa wenye kutia neno Mimi naomba mnisikilize na mtakuja sema Taifa lina manabii. Prof Janabi ni kiongozi hanijuwi simjuwi ila kwa kazi anazifanya na uzalendo wake...
18 Reactions
80 Replies
13K Views
Ni dhahiri sasa mama kaamua kufanya na kudhihirisha ubora wake, japo kuwa baadhi ya watendaji wake hawaendi kama anavyotaka yeye, na wao bila ya mijeredi na kushurutishwa, hawafanyi kazi kabisaa...
1 Reactions
6 Replies
714 Views
Ni kama naiona nguvu ya ule Utatu ( Magufuli, Lowassa, Rostam) ikiishi ndani ya CCM Ninachokumbuka Shujaa Magufuli alimuomba Rostam Aziz agombee Ubunge Jimbo la Morogoro Mjini kwani Chama na...
1 Reactions
1 Replies
279 Views
Back
Top Bottom