Watanzania mkiambiwa katiba mpya inatakiwa ikiwemo kifungu cha raia binafsi kumiliki ardhi badala ya rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuvishwa joho la kifalme / malkia kuwa ni mdhamini wa...
Bongo sidhani kama kuna msanii au wanasanii wanao weza kusimama na Wananchi, hawa ni ndio watu wanaingoza kwa uchawa nchi hii na still bado huwa tuna wapapatikia mbaya mno.kiwango cha uchawa wa...
Nampongeza Mhe. Rais kwa kuunda kamati ya kufanya mapitio ya mfumo wa kodi nchini.
Natambua wafanyabiashara na wamiliki wa viwanda, migodi na maeneo mengine ya uwekezaji watakuwa respondent...
Ukiwa Rais wa Tanzania hasa kama umetokea Zanzibar..kuna changamoto kubwa mno ya kuyajua makundi ya fitina ya watanganyika na namna ya kupambana na fitna zao..
Rais Mwinyi alikuwa 'victim'...
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso waziri mwenyeji wa umoja wa nchi tatu zinazonufaika na Mto Ruvuma Tanzania, Malawi na Mozambique ameongeza Mkutano na Hafla ya utiaji saini hati ya makubaliano ya...
Nadhani Nyerere Foundation ina cha kujifunza kwa Benjamin Mkapa Foundation. Nyerere Foundation ilitarajiwa iwe ndio kioo cha Foundation za viongozi kwa kutatua matatizo na ku-shape sera za nchi...
Kuna hii ‘narrative’ inayoendelea sasa hivi kuwa Rais Samia anashauriwa vibaya.
Kila jambo linaloonekana kwenda mrama, lawama wanapewa hao washauri wake!
Yeye hakosei [kwa maneno yake mwenyewe...
Naona kuna mambo yanaendelea ndani Ya inchi bila watu kujua lililo nje Ya pazia
Someone is hunting it for real by hooks and crooks!
Mi ni miongoni mwa watu wanaokataa jambo lolote la kujinga...
Mbunge wa Jimbo la Busokelo amefika kijiji cha Ndala Kata ya Kandete ikiwa ni muendelezo wa ziara ya kijiji kwa kijiji anayoifanya Jimboni.
Akiwa Kijiji cha Ndala Mheshimiwa Mbunge amepokea kero...
Kusema ukweli kama unafikiria kiuchumi na kimkakati huwezi fanya maamuzi ya kuchagua vipaombele kama hivyo ambavyo Kwa maoni yangu ni vipaombele vya hovyo kabisa.
Kwamba Tumetukia Trilioni 3.6...
Wenye nyumba maeneo ya Masaki/Mikocheni n k wengi bado wanashinikiza malipo ya Dola (US $) Wakati nchi haina udhibiti tena wa sarafu hii.
Bei ya Dola inazidi kupanda na haitabiliki kesho itakuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu Mkuu wa CCM Dkt Emmanueli Nchimbi Ametua kusini Rasmi kuanza na kuendelea na ziara yake ya kichama kama ambavyo niliwajuzeni humu jukwaani. Ambapo ameambatana na...
Nilishuhudia mdahalo wa wagombea Urais wa TLS, uliofanyika katika kituo Cha luninga Cha Star TV, ukiongozwa na mtangazaji wao mahiri, Chifu Odemba, ulioendeshwa Kwa takribani masaa mawili na nusu...
Habairini za kazi ndugu Watanzania,
Ni maoni au mapendekezo yangu na baadhi ya Watanzania wachache pia ambao tupo advanced kimawazo, hakika ningefurahi zaidi Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka 2025...
CCM wakiongozwa na Mwenyekiti Mama Samia wameanza kukonga mioyo ya wafuasi wa hayati Magufuli kundi ambalo ni kundi kubwa kuliko yote ndani ya CCM na nje ya CCM - mitaani.
Ushauri kama Upinzani...
Chuo hiki kina migogoro mikubwa ya ardhi na wananchi, ni lazima sasa ifanyiwe kazi, mkoa utulie, kila mahala SUA ilipo karibu kuna mgogoro, sasa Wizara ya Elimu, Ardhi, wapige kambi hapo...
Tunapohoji sana haya masuala tunaitwa Wapinga kila kitu, Sasa nyie mnaokubali kila kitu Tuambieni hapa mmeelewa nini?
Je ni kweli kwamba Abiria hawakujua na walifika wanapokwenda kwa wakati?
Huwa sielewe kwa kweli. Hasa nikiangazia teuzi za mawaziri. Unakuta leo waziri yupo wizara hii, kesho kateuliwa kule na keshokutwa kaletwa huku. Na kila unapomwona kwenye wizara mpya anaongea kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.