Binafsi mimi sio muumini wa siasa za CCM lakini kama haya machache yafuatayo mnyonge mnyongeni haki yake tumpe :-
1. Kuwa msikivu , mama anasikiliza mpaka kelele na maoni ya mitandaoni na ya...
Na Mwandishi wetu
WAKAZI wa Mchinga mkoani Lindi wamewaonya viongozi wa ACT Wazalendo,iwapo watamchagua Hamidu Bobali kuwa mgombea Ubunge 2025, katika jimbo hilo, kuwa wataelekeza nguvu kwa...
UWT wilaya ya Rufiji wamemvesha rasmi Mbunge viti Maalumu Zanzibar na Mke wa Mbunge wa Jimbo Rufiji na Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa, Wanu Hafidhi Amir vazi la asili ya Rufiji maarufu kama...
Katika mkutano wa Mbunge Mpina na mawakili wake, moja ya jambo lilionishangaza zaidi ni madai kuwa Spika hakuliongoza Bunge litengeu kanuni ili wapitishe azimio la kuongeza muda wa kikao cha...
Nimekumbuka kuna siku tuliambiwa kuna mawaziri wanalipa watu wamtukane Mama mitandaoni. Wakati ule upepo wa matusi ulivuma sana kwa muda mfupi kisha ukazima
Naamini mfumo ulifanyia kazi maelekezo...
In a dramatic turn of events, Tanzania has struck a $90 million settlement with Australian-based Indiana Resources Limited over the contentious expropriation of the Ntaka Hill Nickel Project in...
Maneno niliyoyatia akilini kutoka kwa Comred Kinana
1 CCM sio mali ya serikali
2 CCM haiagizwi na serikali
3 CCM ndio inaiagiza serikali
Ni maneno machache yana maana kubwa
Twende kazi...
Sijaamini hiki nachosikia nikiwa hapa Dodoma sehemu moja maarufu kwa makada wa chama.
Kuna mwendawazimu mmoja. Mi namwita mwendawazimu sababu hawezi kuwa na akili timamu akashadadia Mdahalo wa...
Katika hali ya kushangaza, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amewaamuru madiwani wa Jimbo la Iramba ambao amewaweka yeye madarakani wasitishe uamuzi wa kujenga shule eneo la Ruruma kata ya kiomboi...
Wanabodi,
Baada ya team moja ya wasaka Urais iliyotumia muda mwingi kujiandaa kuangushwa ni dhahiri kabisa team hii haitakaa kimya kwani hata hivyo team hii pia kama zilivyo team zingine...
Ikiwa ni muendelezo wa ziara ya Kijiji kwa kijiji ndani ya Jimbo la Busokelo, Mbunge wa Jimbo, Mhe. Atupele Fredy Mwakibete amefika Kijiji cha Ntapisi Kata ya Lupata na kufanya mkutano wa wananchi...
Sijamsikia siku za hivi karibuni huyu mbunge, mwanasheria mkuu na mwenyekiti wa bunge mstaafu.
Kwakweli nakuwa nervous kiasi maana huyu akikaa kimya basi ujue kuna kinachoendelea huko.
Kipindi...
Ilani ya chama cha Mapinduzi inatekelezwa.
---
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Bandari ya Uvuvi ya Kilwa Masoko ambao mpaka sasa umefikia...
BANDARI YA UVUVI KILWA KUTOA AJIRA ELFU 30
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema mpaka sasa mradi wa ujenzi wa bandari ya uvuvi ya Kilwa Masoko imeshatoa ajira kwa vijana wapatao...
Mwandishi anatupitisha kina na kutoa tahadhari ya jinsi ya kuepuka kuwa misukule ya habari, kipindi hiki kuelekea 2024 / 2025
Tunaangalia namna mabadiliko ya sekta ya habari na mawasiliano...
My Take: Kama Nchi ingesubiria na kutangaza kwamba haitaongeza mda wa leseni by 2020 basi mradi hodhi ungerejea Serikalini bila kulipa fidia yeyote.
Akili ni nywele kama huna wenya nazo...
Tunaposhangilia ushindi wa Mwambukusi nakuona anafaa kuwa RAIS wa TLS tusitegemee jipya sana baada ya kuapishwa kuwa Rais wa TLs. Maambukusi ni zao la mfumo wa nchi kama alivyokuwa Hosea...
Yapo mambo yameshawekwa wazi kwenye taratibu za ajira. Kila mfanyakazi ana masaa ya kazi na baada ya muda huo yupo huru kufanya kazi zake.
Tanzania tuna upungufu wa madaktari bingwa. Wanataaluma...
🗒️30 Julai, 2024
📍UVCCM HQ
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC) ameshiriki kusimamia zoezi za usajili wa wanachama kwenye mfumo Kielektroniki...
UPDATES KUHUSU KOMBO MBWANA TWAHA, TANGA
TAREHE YA KUTAJWA KWA KESI
Leo Kesi ya Jinai namba 19759/2024 ilitwa mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Mheshimiwa Moses Maroa wa Mahakama ya Hakimu Mkazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.