Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na swaiba wake Godbless Lema wameamua kumtukana hayati Magufuli kwenye ziara zao mikoa ya Tanga, Arusha na Kilimanjaro huku wakimwaga sumu hatari ya...
Mwanasiasa mnafiki, mpinga maendeleo ya nchi huku akiwa mdini sana ndani ya roho yake Zito Kabwe kwenye kipindi cha awamu ya 5 alijigeuza mtetezi mkubwa wa January Makamba na hata alipotumbuliwa ...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi leo alasiri anatarajiwa kuzungumza na wananchi wa Lindi kwenye mkutano mkubwa wa hadhara utakaofanyika Uwanja wa Mpilipili, Mjini...
Hali ya Barabara za Mtaani kwako ikoje na je, Viongozi wa eneo lako na Mamlaka nyingine zinazohusika zimewajibikaje kuondoa changamoto zilizojitokeza?
Ungana nasi katika Mjadala wa XSpaces ya...
Katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya wananchi serikali ina husika moja kwa moja kuhakikisha watu/wananchi wake wanapata maendeleo endelevu.
Huku wananchi tukiwa tunajitutumua kuhakikisha...
Mzee Kinana muda wake umepita. Raisi anatakiwa atafute makamu ambaye anaweza kufanya vitu kwa manufaa ya umma kwa ujumla wake na sio kwa CCM pekee. Kwa mwenendo wa sasa, watu wasioelewa wataona ni...
Kwanza ana uzoefu wa muda mrefu, ni Gwiji wa zile mbinu alizosema Mh Nape.
Ameshika nafasi zifuatano ktk zile nyingi
1. Mwandamizi ktk Jeshi la JWTZ
2. Naibu Waziri wa Ulinzi
3. Naibu Waziri...
Ukifuatilia Siasa za CCM utagundua Watu waliosababisha Lowassa akatwe kwenye Kura za maoni Ndio hao hao wakaja kuwa Maadui wa Shujaa Magufuli
Kwa sababu CCM ni chama Kikubwa nadhani Maadui hawa...
Joto la siasa limezidi kupanda Mkoani Kilimanjaro hususani Jimbo la Moshi Mjini ambapo inasemekana baadhi ya Viongozi wa CCM Mkoani hapo wameanza harakati za kuusaka Ubunge kupitia makundi...
1. Tanzania na hasa upande wa serikali hakuna wanasheria wabobezi wa mikataba ya kimataifa
2. Kesi za Tanzania zilizofunguliwa kwenye mahakama za kimataifa zinasimamiwa na watumishi wa umma...
Uovu ni roho ambayo huuongoza mwili wa mwanadamu na hii roho humtesa Sana mwanadamu mpaka aombewe au akutane na shetani kwenye mazingira ambayo itabidi akatubu na kuombewa na hatimaye roho mbaya...
Mdau wa Jamiiforums mwanasiasa na mwandishi bora wa Vitabu Barani Afrika 2023 ambae pia anawania tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Barani Afrika kwa 2024, bwana Yericko Nyerere ameibuka kidedea...
Ni nini kinasababisha Waliongara ktk nafasi zao kama Jerry Silaa, Paul Makonda kwanini huondolewa
Tuliona aluyekuwa waziri wa ardhi Jerry Silaa akifanya kazi vizuri na kutoa elimu kwa umma juu...
Ni kisiwa kilichopo mashariki mwa bara la Watu wenye melanin nyeupe na nywele fupi zinawekewa urefu kwa msaada wa nywele za kununua
Katika ndoto yangu nikawaona wenye nchi wakipendekeza Rais...
Najaribu kufuatilia mijadara mingi sana ya Nape hasa kwenye mitandao.
Binafsi Nashindwa kumuelewa huyu kijana. Najiuliza maswali mengi sana.
1. Hajabarehe? Hajakua?
2. Anahati miliki na hii...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema Nape na January wanaishi kwa Majina ya baba zao hawana Nguvu yoyote CCM.
Lissu anasema Majina yanayowabeba yalijengwa na baba zao lakini Wao...
Tatizo sio Watu (Ingawa nao ni Shida); tatizo ni mfumo kama kuna Mirija na kila ajaye ana Kiu basi ni Uhakika kwamba watalamba na hata wasipolamba pakacha lenye matundu linalovuja halifai...
Hili ndio jambo nalotamani kuliona kwa sasa ili tuweze ku-balance story na pengine kujua ukweli halisi wa mambo.
Hata hivyo, sitashangaa wakati wote kuanzia sasa barua hiyo ikaanza kusambaa...
Nadhani katika wanasiasa wenye maksi zote katika siasa za Tanzania, ni mzee Kinana, kamaliza yote, na bila shaka CCM itamuandalia sherehe kubwa za kumuaga akienda kupumzika na wajukuu.
Ni nguli...
Nimeona kupitia TBC1 hapa mpambano kati ya Burundi na Zanzibari. Nyimbo zao za Taifa zimepigwa, nikasikia melody ya wimbo wa Zanzibar. Hauna mfanano wowote na wimbo wetu wa Taifa.
Inakuwaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.