Nashauri Mama awe makini sana. Kinana ana watu wake wenye uchungu na kufikiria wenyewe ndiyo wenye chama. Watu hao ni
1. Makamba
2. Nauye
3. Mwigulu
4. Ridhiwani
Na wanataka kutafuta njia ya...
Nipo hapa Victoria Petrol station kwa mzee Matemba nikizungumza na mmoja wa wafanyakazi wa Ujenzi wa barabara ya Mwendokasi
Ananiambia Wao ni tofauti na wale waliopo Lugalo jeshini kuelekea...
Nimeona katika mitandao, SSH atakuwa mkoa wa Morogoro, ungependa uongozi wa mkoa huo utoe mrejesho gani kuhusu utendaji wa serikali?
Mimi naona apewe mrejesho kuhusu mashamba pori yaliyorudishwa...
Chama cha Mapindizi CCM kimeridhia kwa kauli moja kuwasamehe Nape, January Makamba na Ngeleje hata hivyo wamepewa onyo kali wasirudie tena kosa hilo.
Hata hivyo kimeagiza kwa kauli moja kuhojiwa...
Kitendo cha Kinana kupuuzwa maneno yake ya kufanya kazi kwa kuwawajabisha hadharani watumishi wa umma ni dhahiri Sasa siasa za Kinana hazina mvuto tena aachie damu changa.
Ajiuzulu ndani ya CCM...
Dkt. Mwigulu wewe unatakiwa kucheza vizuri tu na watu wako ambao wanasemwa semwa kuwania ubunge jimboni Iramba, usijaribu kumpuuza Prof. Kitila Mkumbo na Gwajima pia. Wapo kadhaa na wengine...
Ni kweli kwamba katika uongozi wa CCM, vijana wamekuwa wachache ikilinganishwa na wazee. Hata hivyo, uchaguzi wa makamu mwenyekiti mpya wa CCM kijana unaweza kuwa na athari chanya katika...
Shalom wajumbe wa JF.
Mara tu baada ya kuingia madarakani 2015, Rais John Pombe Magufuli aliunda Kamati Maalum (ukipenda ita tume) ya kuchunguza mali za CCM nchi nzima. Kamati/Tume hii iliongozwa...
Niimefurahi kujiuzulu Kinana nafasi yake ndani ya chama ili kutunza heshima yake. Kwa nini nimefurahi kwa sababu ni mtu namfahamu tangu tuko vijana shule. Ni mtu mwema na rafiki kwa kila mtu na...
Mhe. January Makamba na rafiki yake mkubwa wa siku nyingi Mhe Nape Moses Nauye huenda wakatimkia CHADEMA endapo watahakikishiwa nafasi ya January kugombea Urais 2025.
Mhe. January Makamba anaona...
Serikali imeshindwa kuuendesha mradi wa mabasi ya haraka dar es salaam kwa ufanisi. Kwanini wasipewe watu mwenye uzoevu wa usafirishaji wa abiria wauendeshe?
Ili mradi huu uende sawa lazima...
Ridhiwani ana uwezo gani wa kuhakikisha vijana wanapata ajira? Yeye ndio mtunga sera za nchi? ndio mpanga mipango ya hii nchi?
1. Ajira za Vijana ziko kwenye yale ma V8 ya anasa.
2. Ajira za...
Salaam, shalom!!
Mbunge huyu amedai katika mkutano wa hadhara Jimbo la Nyamagana kuwa, ni maelekezo ya Serikali kuwa mama wajawazito na watoto chini ya umri wa miaka 5 kutibiwa Bure kabisa...
Mabere Nyaucho Marando ndiye Mwanachama mwenye kadi namba moja ya NCCR Mageuzi,alizaliwa takribani miaka Sabini iliyopita huko Mkoani Mara
Nguli huyu wa sheria ni miongoni mwa waasisi wa siasa za...
Katika historia ya dunia na uchipukaji wa dini duniani unaonesha kwamba mara nyingi dini huenda sambamba pamoja na siasa na tawala za nchi.
Hali hii ilikuwa na nguvu katika ujenzi wa mwanzo wa...
Hatukutishi ila ni angalizo tu.
Baada ya Samia atakuja Rais mkristo toka bara,2030-2040.
Baada ya hapo 2040-2050 ni kijana wetu Ridhwani Kikwete
Pengine unaweza kuona ni mbali sana la hasha, ni...
Hili ni andiko la onyo kwa ninyi nyote ambao pengine mna washwa washwa kutaka kumkwamisha Makonda.
Ndugu zangu wawashwa-washwa, msichokifahamu ndugu Paul Makonda ni Mradi wa boss wenu. Pamoja na...
Yaani Bilioni 300 ambazo ni sawa na pesa ya kujenga km 250 za Lami tunaenda kuwalipa Matapeli wa Indiana Resources ambao Wanashulikiana na Mafisadi wa Serikalini.
Daa inauma Sana aisee
---...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.