Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tukija kwenye mada, si mara moja wala mara 2 nikiwa na watu wa kuaminika na wenye heshima kubwa wanao simamia mali asili zetuhususa ni hifadhi, wakanijuza kuwa tunahujumiwa. Ndiyo, tunahujumiwa...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Mjumbe wa Almashauri kuu na kamati kuu ya CCM captain Abdulharaman kianana amejiuzulu nafasi zota alizonazo ndani ya CCM kwa madai ya kuachana na siasa uchwara. Kinana amekuwa mjumbe wa NEC kwa...
5 Reactions
339 Replies
33K Views
Ifahamike, huyo Makamu si Hayati baba wa Taifa kwamba eti aendelee kubembelezwa kama mtoto. Yeye si lolote kwamba Chama na Taifa ki/litapungukiwa na kitu pasipo yeye. Nafuu na jambo jema ni kuwa...
31 Reactions
101 Replies
9K Views
Anaandika Malisa GJ Nimeisikiliza clip inayodaiwa kuwa ni ya Nape na mzee Kinana wakizungumza kwenye simu. Nimeirudia zaidi ya mara 3. Bahati nzuri wote wawili nawajua in personal. Nape namfahamu...
57 Reactions
221 Replies
29K Views
Kliniki za ardhi, walau kwa kiasi fulani, hazitarajiwi kuwa suala la kudumu. Zitumike kutambua chanzo cha tatizo, na wizara iwasilishe andiko la kitaalamu kuhusu hasa kilichotufikisha hapo, na...
0 Reactions
7 Replies
366 Views
Mwenyekiti CCM Taifa - Samia Hassan Suluhu Makamu mwenyekiti Ccm Bara - Abdulrahman Kinana Makamu mwenyekiti CCM Zanzibar - Hussein Mwinyi
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Miaka ya nyuma kulikuwa na wanaccm ambao walikuwa na ushawishi mkubwa ndani na nje ya ccm. Walikuwa ni jeshi la mtu mmoja. Walikuwa wakitishia kuhamia upinzani ccm wanatetemeka. Mfano Lowasa...
1 Reactions
7 Replies
299 Views
Hii ni kauli rasmi ya Chama cha Mapinduzi kinachoongoza serikali toka kwa msemaji wake Paulo Makonda kwamba ndani ya CCM kuna shughuli za mauaji ya SUMU! Rejea nyuma Kwamba Mzee Mangula...
11 Reactions
55 Replies
6K Views
Video hii inamuonyesha Rais Samia enzi hizo akiwa makamu wa rais akielezea namna hayati rais Magufuli alivyowanyoosha kwenye serikali ya awamu ya tano huku wakilia mpaka wakanyooka kiasi cha kuwa...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Shuhuda namba moja wa tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu ni dereva wake, lakini cha ajabu mpigwa risasi Lissu hataki dereva wake ahojiwe chochote kuhusu hilo tukio! Kwenye uchaguzi mkuu Lissu...
11 Reactions
173 Replies
6K Views
Ikifika 2025 kwenye uchaguzi mkuu nitaongoza makundi ya watu kwenda kumshawishi kijana machachari asiyependa ubabaishaji aliyeachiwa huru leo kutokana na kesi za uonevu Lengai Ole Sabaya agombee...
11 Reactions
139 Replies
6K Views
Hakuishinda kesi ya ugaidi alitolewa kwa mbeleko ya Samia, siku akiingia rais mwingine atakamatwa. Kwa hiyo ni bora alipokutwa na kesi ya kujibu angekomaa hadi ashinde kesi badala ya kukubali...
6 Reactions
88 Replies
6K Views
Rais Samia leo wakati anazindua ujazwaji wa maji kwenye bwawa la kufua umeme la Mwl Nyerere amesema wakati wa awamu ya tano iliyokuwa inaongozwa na Hayati Magufuli pamoja na kwamba waliamua liwalo...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Kuna watu walitumia kodi za watanzania kusoma lakini bado ni wajinga na malofa ya kutupwa yasiyoweza kutumia akili zao hata kidogo. Yapo mengine Ubelgiji na mengine Ufipa ambayo watoto wao ni...
54 Reactions
310 Replies
9K Views
Baada ya Chadema kufanya mikutano hafifu sana na iliyokosa watu kanda ya ziwa (Mwanza na Mara), Tundu Lissu akapata meseji kichwani mwake kwamba nguvu ya Hayati Magufuli siyo ya kawaida kwenye...
31 Reactions
97 Replies
7K Views
Prof. Lipumba wakati anajibu maswali mbalimbali ya Waandishi wa Habari amemlipua Tundu Lissu kuwa ajue kupigwa risasi siyo sifa ya kukufanya uchaguliwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
35 Reactions
151 Replies
10K Views
Tangu kuzinduliwa ujazwaji maji wa bwawa kubwa Afrika la kufua umeme na Rais Samia, mvua zimeendelea kunyesha kwa wingi sana na bwawa hilo limeendelea kujaa kwa kasi kinyume na utabiri wa mafisadi...
32 Reactions
92 Replies
8K Views
Mirerani. Mbunge wa Simanjiro Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amemtaka Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema kutokuhadaa wafanyabiasha wa madini ya tanzanite wa kutwa...
13 Reactions
56 Replies
7K Views
Mbunge wa Arusha mjini Mh Mrisho Gambo amemshukia kama mwewe Godbless Lema kwa kitendo chake cha kutukana bodaboda, mamalishe na machinga wote kwa kumuita ni zumbukuku asiyejua kipi cha kuongea na...
8 Reactions
87 Replies
5K Views
Back
Top Bottom