Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tokea Freeman Mbowe alambe asali viongozi wa Chadema wanakosoa serikali ya Rais Samia kwa umakini mkubwa ili wasimkwaze akamnyima asali mwenyekiti wao. Hata ripoti ya CAG ya mwaka 2023...
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Zito Kabwe akichambua ripoti ya CAG ameikalia kooni serikali ya Rais Samia kwa ufisadi na upotevu wa shs trillion 2 ambazo zilitengwa na bunge kwa ajiri ya wizara ya ujenzi lakini Tanroads mpaka...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Mafisadi wanahaha kila kona jinsi ya kujinasua na hii miradi ya matrilioni iliachwa na Magufuli na ambayo inaonwa na wananchi kama kipimo cha utendaji kazi wa serikali ya sasa. Bila kukamilika kwa...
0 Reactions
2 Replies
318 Views
Lisu kwanini ulitudanganya kwamba tutashitakiwa MIGA ? Ulikuwa unataka tuogope tuwaache Acacia waendelee kutunyonya? Kwa hali hiyo Lisu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi. Elimu...
2 Reactions
67 Replies
2K Views
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi. Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi...
9 Reactions
120 Replies
6K Views
Tuliambiwa na kina Lisu na Nape kwamba mkijenga bwawa la umeme mvua haitanyesha tena Tanzania kwa sababu mtakuwa mmekata miti zaidi ya milioni 3!!. Dawa ya uongo ni muda, yaani wewe upe muda tu...
17 Reactions
88 Replies
4K Views
Watanzania hawana haja ya kuteseka kuhusiana na kukamatwa kwa ndege ya Air Tanzania ambayo imefikisha miezi 6 sasa bila kuachiwa kwani walitumia kodi zao kusomesha wasomi wazuri wa sheria wenye...
10 Reactions
139 Replies
6K Views
Ulipoingia ugonjwa wa Corona viongozi wa Chadema kama kawaida yao walilichukulia hilo gonjwa kama gia ya kupatia kiki kisiasa, wakaanza kutoroka bunge na kujifungia, wakalazimisha nchi nzima iwe...
13 Reactions
73 Replies
3K Views
Tarehe 31 Julai 2024 kuanzia saa 5 asubuhi utafanyika mkutano baina ya Taasisi zinazoshughulika na tafiti za afya nchini Tanzania na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Afya ya nchini Uingereza...
1 Reactions
0 Replies
143 Views
Hawa watu wakiendekezwa wataendelea kuligawa taifa letu kwa misingi ya kikanda na kikabila hata kwenye nyanja za upelekwaji maendeleo kwa wananchi. Chadema wakiongozwa na Tundu Lisu wamekuwa...
31 Reactions
206 Replies
6K Views
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi amejibu tuhuma zilizotolewa na balozi Ally Karume kwamba CCM haijawahi kushinda Zanzibar na kwamba Rais Mwinyi alibebwa na...
7 Reactions
120 Replies
6K Views
Wakili Msomi Alphonce Lusako akishirikiana na Wakili msomi Chengula Emmanuel pamoja na wenzao wawili wameiburuza serikali mahakamani kwa kupitisha mkataba wa ubinafsishaji wa bandari zetu bila...
45 Reactions
121 Replies
14K Views
Ufisadi, rushwa, uzembe, ucheleweshwaji miradi, mfumuko wa bei kila kona lakini Zitto Kabwe yupo kimyaaa! Awamu hii ya 6 X (twitter) ya Zitto Kabwe imepoa kama maji ya mtungi. Alichokifanya Tundu...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Sativa ameandika haya kwenye ukurasa wake wa X; "Hii ndio hali yangu ya Sasa. "Madaktari wanaweza kunielewa. Hizi nyaya na Lastiki nimefungwa mdomo mzima. "Hii ni kama "HOGO" ambapo ukivunjika...
7 Reactions
10 Replies
847 Views
Rais Mwinyi ni mbunifu na haogopi kusimamia kile anachokiamini kama vile alivyokuwa Hayati Magufuli, ndiyo maana unaona miradi ya maana sana imekamilika Zanzibar ndani ya miaka 3 tofauti na bara...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Katika hali isiyotarajiwa aliyekuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam kupitia Chadema Mstahiki Isaya Mwita amebwagwa vibaya sana katika Uchagizi wa Chama hicho Wilayani Kigamboni. Meya huyo...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Mie sipendi tubishane sana. Wala si kwamba naleta mambo ya ujuaji kiviiile. Ukiachana na watu wachache wenye kusifia kila jambo, kama unataka kuamini we ulizia watu 10 hapo mtaani kwenu...
3 Reactions
40 Replies
758 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni ameulizwa juu ya kufungiwa kwa Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu kwa jina la Kiboko ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
NI KISHINDO CHA BALOZI NCHIMBI AANZlA JIMBO LA MTWARA VIJIJINI CCM YACHANGIA MILLIONI 10 UJENZI WA OFISI YA CHAMA Katibu Mkuu wa CCM Taifa Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiambatana na Wajumbe wa...
0 Reactions
2 Replies
261 Views
Baada ya kikao chake na watendaji jana walikubalia waite mamluki waje kumpigania leo asubuhi kwa ujira wa buku teni . Unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii hapa ili kupanua wigo wa...
4 Reactions
55 Replies
2K Views
Back
Top Bottom