Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma. LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda. Makonda kiburi na ego vinamuendesha. Yeye anasema walikuwa...
Unakuta Waziri anazurura huko duniani na akina Steve, Aunty Ezekiel, Diamond, Lulu wa kanumba nk...nk huku akiwa amewasahau kabisa Vijana wa jimboni Kwake waliolinda kura zake
Siku Wakitumbuliwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 29 Julai, 2024...
Bado kuna umuhimu wa back up ya Hardcopy katika maswala yote ya kiserikali na kijamii ili kuepuka kusimama kwa huduma na mengineyo.
Hili ni somo kubwa kwa wanausalama nchini.
KWA HISANI YA MTU...
Mbona barabarani kuna makampuni kibao,
Makampuni kwenye SGR yawe mengi, yalipe tu kiwango fulani serikalini kisha yapige kazi.
Tumeona kinachoendelea kwenye Mwendokasi ni aibu tu na mateso kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Makonda Mwamba na Jabali la siasa na kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara hapo jana aliitetemesha Mbeya kwelikweli,alilisimamisha jiji na kuteka mioyo...
1. Jabali la siasa na Sayansi Dr Magufuli (PhD) amelala Chato.
2. Ameacha kumbukumbu ya kurithishwa vizazi na vizazi kupitia elimu ya Sayansi na Teknolojia.
3. Yafaa, Chuo Kikuu cha Sayansi na...
Gazeti la jamhuri la leo limekuja na taarifa inayoelezea majibizano ya Tundu Lisu na mbunge wa Nkasi kupitia Chadema mh Aida khenani, Tundu Lisu amenukuliwa akisema kuwa chadema haiutambui ubunge...
Siku hizi umekewa ukiwasema sana wanasiasa wenzio na wakati mwingine hata Serikali. Hoteli Esperenza ya ndugu yako imekuwa kiini cha kupika majungu na wewe mwenyewe ukishiriki.
Siku hizi umekuwa...
SIPENDEZWI NA TÀBIA YA BAADHI YA WAFUASI NA VIONGOZI WA CHADEMA KUITA VIONGOZI WA VYAMA VINGINE MAJINA YA MATUSI, KEJELI NA DHIHAKA
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Unaweza kutofautiana na Mtu...
Mkurugenzi wa Moshi Manispaa, amelala na kusinzia, sasa wezi wameiba na solar na taa takribani betri 50 na solar panels 30 na taa zimeibiwa na zinaendelea kuibiwa kwenye Barabara ya Nyerere...
Wakuu,
Mwakani wagombea Urais wanatakiwa kufanyiwa mdahalo kama huu ulioendesha leo na Star Tv.
Pia soma: Mdahalo wa Wagombea Urais Chama cha Mawakili Tanzania Bara (TLS) mwaka 2024
Kupitia...
1. Serikali imejitahidi sana 😪😪
2. Ungekuwa wewe ndio kiongozi ungefanya nini?😥😥
3. Sio kazi ya serikali kumletea mwananchi maendeleo binafsi, kazi ya serikali ni kutengeneza mazingira. 😕😕😕
4...
CHAGUENI CHAMA CHA MAPINDUZI KWANI NDICHO CHENYE ILANI BORA INAYOTEKELEZEKA - BALOZI NCHIMBI.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akizungumza kwenye mkutano...
Pongezi za dhati na za kipekee ziende Kwa viongozi wetu wakuu wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Komredi AbdulRahman Kinana na Waziri mkuu wa JMT Mhe. Kassim Majaliwa Kwa kuwa...
Nasikia watu wanasema kuw mwabukusi atakuwa moto as of TLS siyo taasisi bali mtu mmoja anaweza kuidrive tu akijisikia.
Sasa kama.wana sheria ni madictator tutakimbilia wapi
#OdoUmmyJimboni #SamiaMitanoTena
----
MBUNGE UMMY AFANYA MKUTANO WA HADHARA KATA YA NGUVUMALI.
Mbunge wa Tanga Mjini Mhe Ummy Mwalimu tarehe 27/07/2024 amefanya Mkutano wa hadhara kata ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.