Habari!
Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma.
Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali...
Binafsi sioni sababu ya Chadema kusitasita kumtangaza Mgombea Urais wa JMT 2025 kwa ticket yao
CCM tayari inajulikana atasimama Mpendwa Wetu Mh Rais Samia
ACT Wazalendo wameshatangaza atagombea...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, amepokelewa na maelfu ya Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Wananchi wa Mtwara mjini, wakati alipowasili akitokea...
Kufahamika, kujulikana, kupendwa, kuaminika na kukubalika kwake nchini, kuanzia kwa watoto wa chekechea, msingi, sekondari hadi kwenye vyuo vya elimu ya juu, makundi mbalimbali ya wanainchi...
Kutenda haki kwa watawala ni mada muhimu katika Quran, ambayo inasisitiza uadilifu, usawa, na kutokufanya dhuluma kwa watawala. Aya nyingi katika Quran zinatoa mwongozo kwa viongozi kuhusu jinsi...
Mimi ni muumini wa Demokrasia na soko huru la kisiasa ili kuleta maendeleo na ustawi wa jamii. Hata hivyo nimetafakari kwa kina bila kupata majibu ya moja kwa moja kwa nini viongozi wengi...
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiongozana na Wajumbe wa Sekretarieti amezuru katika kaburi la hayati Benjamin Mkapa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu .
"Naomba nikiri kuwa...
Serikali Kiboko ya Wachawi anahamisha masanduku yasiyojulikani kuna nini ndani yake yanapitishwa porini na waumini wake yeye amekaa mahali hapo porini kuzipokea. Kuna nini? Kwa nini mtu huyu bado...
Namuunga mkono mama Samia katika kufungua uchumi na kuingiza mitaji ya kibiashara pzmoja na kuruhusu uwekezaji kutoka nje na ndani ya nchi.
Lakini mimi si chawa, na kila hatua mbele lazama iwe na...
Serikali kitanzini
na Mwandishi Wetu
Tanzania daima
VIGOGO kadhaa waliyatumia maadhimisho ya miaka minane tangu kufariki kwa Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere jana, kuinyooshea kidole...
Shalom wana Jamii Forum.
Sijui ni kuzeeka vibaya au kuchanganyikiwa. Kila nikirejesha kumbukumbu zangu nyuma, sioni au kuona kama kuna mahali katika hotuba za Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi...
Kimsingi kila mtu hufanya makosa hakuna binadamu mkamilifu. Lakini unapofanya Makosa ambayo wenzio tayari wameyafanya na ungeweza kuyaepuka hapo ndipo tunasema awamu hii imekosa weredi, zaidi sana...
Nipo Uwanja wa ndege tokea saa mbili nikisubiri kuona hayo Mapokezi ya Lissu, lakini hadi sasa uwanja ni mweupe.
Wapo Wanachama wa Chadema wachache pia na bendera zao. Hii inatuma meseji gani kwa...
Date::6/2/2010
Mwandishi Maalumu
RAIS Jakaya Kikwete, ameagiza hatua za haraka zichukuliwe, kujenga barabara zinazopita juu katika Jiji la Dar es Salaam, ili kupunguza misongamano mikubwa ya...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesema nia yake ya kugombea nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 iko palepale.
Tundu Lissu ameyasema...
Nimetembea Tanzania sehemu nyingi kabla ya Magu (RIP) kuwa Rais kulikuwa hakuna barabara za lami, leo hii kila mahali hadi Mitaani lami, lakini wanasema ni Awamu ya 4 ilijenga, kwa nini...
Mheshimiwa Makonda nakusalimu kwa Jina la Jamuhuri,
Mkuu nimepita katika mitandao ya kijamii nimeona jinsi ambavyo watanzania wanaupendo mkubwa juu yako.
Kweli Mungu amekubariki sana katika...
Mambo mengi yanayoendelea kwenye Serikali ya Awamu ya sita mengi yanashabihiana na yaliyokuwa yanafanyika kwenye Serikali ya Awamu ya Nne. Mfano uteuzi katika nafasi mbalimbali sura nyingi ni zile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.