Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Mwanza kimesema kuwa hakuna mtanzania mwenye sifa za kuwa Rais wa Tanzania ndani na nje ya CCM zaidi Samia na kuwapuuza wale wote wanaotoa...
Kwa nini kujitolea kwa niaba ya Rais?
- Kwa sababu nchi ipo chini ya Rais. Rais ni mwakilishi wa wananchi wote bila kujali itikadi zao za kisiasa wala imani zao za kidini.
Ndio maana hata...
27 July 2024
Ubaruku, Mbarali
Tanzania
Mbunge : Chama dola kongwe kina michezo michafu ndani ya CCM , awekwa bayana ....
Modestus Dickson Kilufi fomu za ugombea ubunge ziliporwa na mgombea...
Baba Askofu Dr Malasusa amesema Yesu Kristo hakutumia nguvu kumshusha Zakayo bali alitumia Neno la Mungu wa Mbinguni " Zakayo Leo wokovu umefika nyumbani mwako"
Askofu Dr Malasusa amesema hayo...
Akiwa anaongea na waandishi wa habari Mpina amesema amepeleka mapendekezo yake kwa Mwenyekiti wa Kamati ya PAC pamoja na kwa Spika akiomba aliyekuwa Waiziri wa Nishati January Makamba, aliyekuwa...
Kuna video clips zinatembea zikionesha gari ya serikali iliyo na plate namba ya waziri wa habari na mawasilno ikidondoka muda mfupi tu baada ya taarifa za kutumbuliwa kwa Nape kuwekwa mitandaoni...
MBUNGE ESTHER MALLEKO AZUNGUMZA NA WANAWAKE WA MOSHI MJINI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko tarehe 26 Julai, 2024 amefanya Ziara katika Wilaya ya Moshi Mjini...
MBUNGE CHRISTINA MNZAVA AZINDUA UANDIKISHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WILAYANI KAHAMA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Dkt. Christina Christopher Mnzava ameshiriki katika...
Mheshimiwa Rais,
Amani iwe nawe daima.
Mheshimiwa Rais, Awali ya yote tunakupa pole kwa kazi zako za kila siku za kuhudumia Watanzania, huku tukiamini Mwenyezi Mungu anaendelea kukujalia afya...
Leo Machi 12, 2022 Wakili wa Kampuni ya GSM, Alex Mgongolwa amefanya mkutano na Waandishi wa habari kuanzia saa 6 kamili Mchana, GSM HQ Salamander Tower Samora Avenue.
====
Kilichojiri, full...
Msigwa tangu ahame CHADEMA na kukimbilia CCM amekuwa akitoa sababu za kitoto sana za yeye kuhama chama(CHADEMA) na kuhamia CCM.
Zaidi sana amekuwa akimtuhumu Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe kwa...
Makonda amekaidi wito wa tume ya haki za binadamu na utawala bora, kiburi ameitoa wapi, Rais anachukuliaje hizo dharau? Km vp hiyo tume ifutwe au imeundwa kwa ajili ya kina nani. Makonda hafai...
Haya jamani mpo?? Sasa ni hivi Bashite hajabadilika hata kidogo.
Kumbukeni mwaka jana kulikuwa na story kubwa ya Bashite kung’ang’ania nyumba aliyompora GSM kipindi cha Magu? Kama mnakumbuka hata...
Mbunge wa Mbeya Mjini ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameishukuru Serikali kwa kusikiliza kilio...
Mwishoe ni kuonekana Mtu anayeropoka kumbe Kichama anaongea kutafuta support na huku serikalini anaongea majibu ya kupangiwa na wataalamu.
Sasa uongo uko upande upi? Nadhani hiki kitu kiachwe na...
Natoa tu angalizo tunapouendea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu na ule Uchaguzi mkuu wa mwakani
Jiepushe kabisa kutumia Waganga wa Kienyeji, Wachawi na Rushwa kwani hao ni maajenti wa...
Mheshimiwa Waziri (Mstaafu) [MB] ulikua mbunifu sana katika sekta ya Mawasiliano. Toka Uhuru hakuna Waziri aliyewahi kupanda kwenye minara ya Mawasiliano Ila wewe umeweza.
Na umeacha alama...
Wakati Shujaa Magufuli anachukua Wabunge wa Chadema akina Dr Mollel, Waitara, Gekuli, Silinde na Katambi na kuwapa Uwaziri kadhalika Viongozi wa ACT Wazalendo Anna na Prof Kitila wengi walidhani...
Wakati wote na mahali pote Mchungaji Msigwa anaelezea ubaya wa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe tu na huwezi kumsikia akielezea ubaya wa Chadema kama chama
Ogopa sana Mtu wa namna kwani ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.