Rais Samia amewaonywa Viongozi wote walio pewa dhamana kukumbuka kuwa cheo ni sawa na nguo ya kuazima hivyo wanapaswa kutenda kazi kwa uadilifu na kwa masilahi ya nchi, ameyasema hayo wakati...
Kiufundi unaweza ukasema ni mawaziri watano. Lakini pia ukisema ni mawaziri wanne napo utakuwa hujakosea maana kuna huyo mmoja alirithiwa na baadaye kidogo ndo akabadilishwa.
Ni hii wizara ya...
Nchi hii tumetoka mbali sana na it is as if tulikuwa washamba nchi nzima mpaka Kenya walikuwa wanatucheka.
Nchi imetoka mbali hii.
Ingekuwa hata mama kila anachonunua au kujenga anapiga promo...
Akihojiwa na Mwanahalisi Digital, aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA na baadaye kuhamia CCM, Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa kuna orodha kabisa imewekwa ya Watu wa kuondoka...
Hakuna ubishi ya kwamba watanzania wanajitaji chama cha kuweza kuwa na sera mmbadala dhidi ya chama tawala.
Hata hivyo ,vyama vilivyopo vimekosa kukubalika kwa watanzania walio wengi kutokana na...
Ni mawazo tu kwamba hivi Mama akitaka ku win watanzania ambao kuna baadhi wamekata tamaa 100% kuhusu viongozi wao kukumbatia uozo, ampe Mpina Wizara angalau si Kubwa Kama ya fedha ila walau Wizara...
Akiongea mbele ya Rais Samia Ikulu leo July 26, 2024 wakati wa uapisho wa viongozi walioteuliwa Makamu wa Rais Philip Mpango amesema;
Pia soma: Rais Samia: Cheo ni sawa na nguo ya kuazima ambayo...
Ukiniuliza kwa nini muziki wa Reggae hauna vibe siku hizi jibu ni moja tu, dunia ya sasa hivi hakuna ukoloni wala ubahuzi wa rangi.
Aina hiyo ya muziki ilikuwa kwa ajili ya ukombozi, sasa kama...
Ni Maneno ya Nabii Nicolaus Suguye akiwa kanisani Kwake akiendesha Huduma ya Ibada.
Nabii huyo ambaye anaendesha Kanisa la WRM- Word of Reconciliation Ministries lililoko Kivule Matembele ya Pili...
Ukisoma historia ya john okello ni mtu aliyezaliwa mazingira ya kimaskin kama ilivyo kwa jamii nyingi za ki-afrika za kipindi kile
wapigania uhuru wengi wa kiafrika kama nyerere, jomo kenyatta...
Rais Kikwete ametangaza nia ya kuanza kwa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa. Rais amesema reli nyembamba inapatikana eneo la Afrika Mashariki tu.
Mh. Rais kayasema hayo mkoani...
Leo huku ya shauri alilofungua Maambukusi imetoka. Wakati kesi hii inaanza hadi inamalizika vyombo vyote vikubwa vya habari nchi vilijiweka mbali na viunga vya Mahakama.
Hakuna chombo...
https://www.youtube.com/watch?v=epWYJ_SY8uU
United States well I hope we do have a
0:57
young lady at some point become
1:00
president of the United States I can
1:06
tell you how I think it will...
Labda baadae waboreshe, ili watu wasafiri wanaokaa mbali na hiyo railway line wasogezwe labda kituoni pugu, Chalinze, kariakoo. Tofauti ya nauli ya basi na Hilo SGR ni aftatu dar Moro, Sasa sisi...
Tunaelekea na tumekaribia msimu wa uchaguzi pamoja na mwaka wa uchaguzi mkuu..
Halipingiki fedha ni chambo muhimu ktk kufanikisha uchaguzi ktk vyama na kwa wagombea udiwani,ubunge na urais.Lakini...
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amekiri uwepo wa Mauaji na Utekaji Watoto lakini siyo kama yanavyoripitiwa
Chalamila amesema matukio mengi yakifuatiliwa yanabainika siyo kweli.
---
Mkuu...
Awali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa...
Kwa wale ambao tumebahatika kuijua CCM kwa undani, Makali ya Magufuli yataisha mara tu baada ya Kuapishwa kuwa rais 2020/2026.
Nimemuona Bashiru Twitter akiwaonya Nape na Kigwangala kwa Mambo...
Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni...
Mkuu wa Mkoa wa Mara amewakaribisha viongozi, watendaji na wananchi wote kushiriki katika maadhimisho ya miaka 60 ya Mwenge wa Mwitongo yatakayofanyika nyumbani kwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.