Harakati za uchaguzi mkuu zinakaribia lakini naona watu imara tunaotaka wakatusaidie kwenye mhimili wa bunge tunaweza kuwapoteza kwa kutamani kugombea urais na kukosa fursa ya kutusaidia kutunga...
Tuliwaambia tangu mwanzo kwamba kuenguliwa kwa wakili Boniface Mwabukusi kulikuwa na mkono wa serikali kwa sababu kuna majizi huko serikalini ambayo hayataki Mwabukusi awe Rais wa TLS. Leo...
Rais Samia amewaonya vikali wateule wake, aliowateua majuzi, kuwa wasitumie madaraka yao kupiga "dili" za pesa, badala yake akawaambia ya kuwa wanatakiwa kufanya kazi Kwa weledi mkubwa na...
Moja kwa moja kwenye madam.
Mwigulu Mchemba Waziri Mwenye dhamana ya mambo ya fedha, ni miongoni mwa vigogo ambao Mh Rais anawaogopa.
Mgogororo wa wa kariakoo ulipotokea awali , wafanyabiashara...
Ni sheria au taratibu gani katika nchi hii zinasema jambo likiwa mahakamani lisijadiliwe tena? Faida yake ni ipi kwetu kwenye suala zima la demekrosia na uhuru wa mihimili?
Nimekuwa nikiisikia...
MIAKA 20 KIFO CHA BRIG GEN MOSES NNAUYE
Viongozi mbali mbali wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar, waasisi wa TANU na ASP, wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wastatafu...
Habari za Muda huu , matumaini yangu ni kwamba tunaendelea vema huko kwetu,
Kuna masuala mengi yanachanganya sana katika Taifa letu la Tanzania, haya ni kuhusu uharifu katika maeneno mbali mbali...
Sitaki kuwa Mfanafiki, nimefarijika sana kuona Jamaa anawekwa pembeni,
Sababu zangu za Kutaka awekwe pembeni ni kwasababu ya kuanza kujiandaa kimtandao kuwa räis, nguvu kubwa imekuwa inatumika...
Imearifiwa wakati Mbunge wa Bumbuli Mheshimiwa January Makamba akitarajiwa kuwasili jimboni humo mwanzoni mwa mwezi ujao, wapiga kura wake wanajiandaa kumpa mapokezi ya kishindo.
Tuombe sana...
"Kuhusu kuwa Rais hili linasemwa sana nami niseme, kwangu na kwa wasionikubali hili jambo sio la kupania kwani Mungu ndiye hupanga, akitaka uwe hakuna awezaye kuzuia usiwe, na hadi mbingu na ardhi...
Ni hatari sana
Waganga wa jadi zaidi ya 900 kutoka Gamboshi na Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, wametoa onyo kali kuwa watampoteza mwanachama yeyote wa CCM, atakayethubutu kuchukua fomu ya...
Akiwa Waziri katika awamu mbali mbali alikuwa ni mwana CCM na waziri anayefanya kazi na utendaji wake ulikuwa juu kuliko mtanzania yeyote aliyekuwa katika uongozi au sekta yeyote ile ya serikali...
Mara utasikia Kidumu chama Tawala, wanahitikia KIDUMUU, Pembezoni utasikia Ngangari Jino kwa jino,
Mwishoni kabisa utasikia Peoples' wanaitikia power. Katika kuvichunguza vyama vya siasa...
Nilijiuliza sana
Hivi zile clip za maongezi ya Lissu na Baadhi ya watendaji wa Accacia alizipata wapi?
Nikapotezea
Nikajuliza Clip za Anna Kilango kazipata wapi?
Juzi nikasikia kwamba ana voice za...
AFYA ya Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk Harrison Mwakyembe, ni tete baada ya kuugua ugonjwa uliomsababisha kuvimba mwili wote.Habari zilizopatikana na kuthibitishwa na yeye mwenyewe zinaeleza kuwa...
Rais Magufuli akiwa kwenye uzinduzi wa Kitabu cha Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu, Mzee Benjamin Mkapa amefunguka mambo makubwa mno hajawahi kuyasema popote, mambo aliyoyasema ni pamoja na utendaji...
Hii yaweza kuwa rekodi ya Dunia ya mikutano hafifu ya hadhara iliyotia aibu ya Mahudhurio, Haijulikani Mbunge kama Huyu alipataje watu wa kumchagua.
Akihutubia mkutano huo duni, huku akitetemeka...
Government: International drug ring smuggled heroin to Muskegon from Tanzania; suspect charged
MUSKEGON, MI An Illinois man faces federal felony charges for allegedly being part of an...
Waziri wa Habari mh Nape amemtaka Lema kuweka Akiba ya Maneno na amemuuliza " naweza kuwa Mpumbavu?"
Waziri Nape amemshukia Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ukurasani X...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.