Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia. Hakuna Maada nyingine...
55 Reactions
109 Replies
3K Views
Hakunaga Uhuru usio na Mipaka Uhuru wa kwanza kabisa kwa mwanadamu ulitolewa pale Bustani ya Eden na Mungu wa Mbinguni mwenyewe Uhuru ule Mungu aliuwekea Mipaka; "Matunda YOTE ya Bustani...
2 Reactions
5 Replies
359 Views
Mwenge ni protocal ya Rais, nilitarajia Mkuu wa Mkoa wa Arusha leo akabidhi mwenge kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara. Kulikoni Arusha!? Hata mgomo wa wafanyabiashara Namanga, kwa nini Mkuu wa Mkoa wa...
11 Reactions
62 Replies
5K Views
1.Jerry Silaa ni mbunge anatumikia mhimili wa bunge ambao unapaswa kujitegemea. 2.Jerry Silaa ni waziri anatumikia serikali ambayo nayo ni mhimili unaojitegemea 3.Jerry Silaa ni wakili wa...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
KAMATI YA KURATIBU UHAMAJI NGUVUKAZI YAZINDULIWA Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu -Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe.Patrobas Katambi amezindua Kamati ya Kitaifa ya Wataalamu...
1 Reactions
3 Replies
262 Views
Nimeangalia headlines ya Azam leo tarehe 25 Julai 2024 kwenye UTV ambapo leo kulikuwa na issue kubwa ya RAIS kuadhimisha siku ya Mashujaa, habari hiyo haikuwa kwenye headline. Kulikuwa na Treni...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Chadema apange safu ya kuzunguka kijiji kwa kijiji kama ifuatavyo 1. Singida na Dodoma- Tundu Kisu 2. Tanga, Pwani na DAR es salaam- Freeman Mbowe 3. Mwanza na Mara -John Heche 4. Lindi na Mtwara...
3 Reactions
3 Replies
280 Views
Mwaka 2020 alizurura na kundi kubwa na mlinzi mwenye mishale kama anaenda kuwinda swala. Hakuna cha maana alichokisema kwa Watanganyika zaidi ya kuwa na jazba ya kupigwa masasi Tanganyika...
2 Reactions
22 Replies
622 Views
Kwanza mjue cheo ni dhamana kubwa hata unapotolewa unaumia, Mwigulu ni mtu aliyekulia mazingira magumu sana na anajua matatizo muhimu ya watanzania kwa kuyaishi, wakati Nape kakulia kwenye...
9 Reactions
91 Replies
12K Views
Kwanza naanza kwa kusema rais magufuli unakosea sana kwa kusema kwamba ikulu umeitafta mwenyewe, sentensi hii inawaumiza sana watu waliopigana kufa na kupona, Kuna watu muhimu ambao bila wao leo...
24 Reactions
159 Replies
35K Views
Tuna Mategemeo Kibao kila ziliapo kengele za Kuanza mchakato wa kampeni za Uchaguzi mkuu kitaifa! Kilichonivutia kwa Magufuli 1.Jinsi ya Kusimamia anayoyaamini hasa kwa wale wanaokwamisha...
29 Reactions
146 Replies
11K Views
Kama mlivyosoma lakin niwakumbushe anayeongea kwa Video hii ni musiba, Anasema Nape, Makamba na Kinana wamehujumu nguvu ya Magufuli nchini Majina 14 yahusishwa katika hujuma ili kuusaka irais 1...
13 Reactions
174 Replies
24K Views
Akiongea leo jijini Mwanza, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa kamati kuu ya CCM ndugu Nape Nnauye amesema kuwa hana msalie mtume na wanaotumia fedha kununua uongozi. Aidha Nape Nnauye ameweka wazi...
12 Reactions
147 Replies
22K Views
Wafadhili wa Mheshimiwa Membe wamempatia kitita cha kutosha kufanya mapinduzi ndani ya CCM Hii ni Mpango Na utitiri wa wakwepa kodi watenge Tshs triolini moja kununua wabunge wa ccm kwa bilioni...
29 Reactions
278 Replies
53K Views
Tundu Lisu amejitangazia kama ndio mgombea wa chadema katika uchaguzi mkuu ujao wakati bado hajakubaliwa na wenzake chamani. Huko Chadem hakuna mtu aliwahi kugombea kwa vipindi viwili...
2 Reactions
25 Replies
622 Views
Katika mfumo wa kidemokrasia, uchaguzi huru na wa haki ni kiini cha utawala bora na uwajibikaji. Katika muktadha wa Tanzania, uchaguzi wa serikali za mitaa una nafasi muhimu katika kuwezesha...
0 Reactions
1 Replies
397 Views
Jana nilikuwa na sikiliza wagombea WA TLS suala moja wapo waliongelea ni kuhusu Maamuzi ya mahakama juu ya Kesi ambazo ni kinyume cha katiba, ambazo Kwa namna moja au nyingine Bunge linatakiwa...
2 Reactions
10 Replies
414 Views
ACT Wazalendo wamepewa Nusu Mkate Zanzibar wametulia Halima Mdee na wenzake wamepewa Nusu Mkate bungeni wametulia Tulia Chadema walivyoingia Kwenye Maridhiano wakatulia na 2025 wakiachiwa...
3 Reactions
11 Replies
224 Views
MBUNGE ATUPELE MWAKIBETE AFIKA KATA YA LUFILYO KUCHANGIA MIRADI YA MAENDELEO Mbunge wa Jimbo la Busokelo Mkoa wa Mbeya, Mhe. Atupele Mwakibete amefika katika Kata ya Lufilyo kwa lengo la kukagua...
0 Reactions
2 Replies
218 Views
Na Mwandishi Wetu- Zimbabwe Tanzania inatarajiwa kuwa Mwenyeji wa Kongamano la Pili la Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism), Kanda ya Afrika kuhusu utalii wa vyakula vya...
0 Reactions
2 Replies
270 Views
Back
Top Bottom